×

Habari

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Mei 11, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 11, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kwa Wagombea Ubunge wa EALA, Chadema

Matokeo ya uchaguzi kwa wagombea nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki EALA kutoka Chadema. 1. Profesa Abdalla Safarikura 35. 2....

READ MORE

VIDEO: Lijualikali Asimulia Mengi Yaliyomkuta Jela

MBUNGE wa Ulanga kwa tiketi ya Chadema, Peter Lijualikali jana alisimulia mengi yaliyomkuta wakati akitumikia kifungo cha miezi sita jela...

READ MORE

Cheka, Mbelwa Wasimulia Walivyong’atana Ulingoni

Na Ibrahim Mussa | Championi Jumatano | Makala ZIMEPITA takribani siku 136 sawa na miezi minne na siku 11 tangu...

READ MORE

Mwanafunzi Akamatwa na Bastola, Risasi 13

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, Lazaro Mbise (23) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na...

READ MORE

TFF Yavitahadhalisha Vyombo Vya Habari Kuacha Kampeni Chafu

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka baadhi ya vyombo vya habari nchini kuacha mara moja kampeni za...

READ MORE

Maalim Seif Aibukia Kanisani Kwa Askofu Gwajima

LEO Mei 10, 2017, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hammad amekwenda kumtembelea Mchungaji wa Kanisa...

READ MORE

Musukuma: Wabunge Wawili ndo Hawakwenda kwa Waganga Wakati wa Uchaguzi

Mbunge wa Geita kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amezua mvutano bungeni kufuatia kile alichokisema kuwa...

READ MORE

Arusha: Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Akamatwa na Polisi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles Mkumbo amesema wanamshikilia mmiliki wa basi dogo aina ya...

READ MORE

VIDEO: Askari Wanaochoropoka na Tochi Vichakani Hawana Mafunzo -Kangi Lugola

DODOMA: Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amesema kuwa majeshi ya usalama hapa nchini yamesahaulika na yanachukuliwa kama ni ya kawaida...

READ MORE

Nandy Akiri Wakware Kumsumbua

  MWANADADA anayefanya poa na ngoma yake ya One Day, Faustina Charles ‘Nandy’ amekiri kuwa anapata usumbufu mkubwa kutoka kwa...

READ MORE

Askofu Gadi Aomboleza Vifo vya Wanafunzi 32

ASKOFU wa Kanisa la Good News For All Ministry la jijini Dar es Salaam, Dkt. Charles Gadi ameomboleza vifo vya...

READ MORE

Yaliyojiri Bungeni Leo Jumatano

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge...

READ MORE

VIDEO: Mama wa Mtoto Aliyenusurika kwa Mabomu Akafariki kwa Ajali Karatu

KUFUATIA tukio la ajali mbaya iliyoondoka na roho za watu 35 miongoni mwao wakiwemo wanafunzi 32 wa Shule ya Lucky...

READ MORE

Darassa, Mbona Umekopi na Kupesti?

GABRIEL NG’OSHA | RISASI MCHNGANYIKO | BARUA NZITO NIANZE kwa kutoa pole kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa familia...

READ MORE

Nay: Shilole Atafunika Usiku wa Wapo Dar Live

Stori: NA MWANDISHI WETU | RISASI | Risasi Vibes STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anatarajiwa kuungana...

READ MORE

Wanasheria Simba Watafuta Kadi ya Fakhi

Said Ally | Championi Jumatano | Habari LICHA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) chini ya mwenyekiti wake, Hamad Yahaya...

READ MORE

Fuatilia Live Yanayojiri Bungeni Leo Mei 10

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili bajeti za...

READ MORE

‘Watanzania Wengi Hawana Taaluma ya Kusimamia Miradi’

BAADHI ya Watanzania wamekuwa wakikwama kuendeleza miradi yao kutokana na kukosekana kwa wataalam wenye taaluma ya kuratibu miradi hiyo. Hayo...

READ MORE

Tammy: Mwaka Mmoja Ujao Nitakuwa Anga Zingine

Stori: OJUKU ABRAHAM | RISASI MCHANGANYIKO | DAR ES SALAAM TAMARAH Ally Nyamgunda ni binti mdogo tu aliyezaliwa Februari 14,...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Mei 10, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 10, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Majaliwa: Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi Zingatieni Mipaka ya Madaraka Yenu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuzingatia mipaka ya madaraka yao na kuhakikisha...

READ MORE

Yanga Yaipiga Kagera Sugar bao 2-1 Uwanja wa Taifa

Mchezo umemalizika DK 90 Yanga wanaondoka kifua mbele… Dk 3 zimeongezwa kabla mchezo kumalizika Dk 87, Mbaraka Yusuf wa kagera...

READ MORE

SportPesa Yazinduliwa Rasmi Hapa Nchini

  Kampuni ya SportPesa yenye makao yake makuu nchini Kenya ambayo hivi karibuni ilikuwa ikitajwa kutaka kuzidhamini Simba na Yanga,...

READ MORE

Mapacha Walioungana: Tuna Ndoto za Kuolewa

   STORI: MWANDISHI WETU | UWAZI NJOMBE: Mabinti pacha walioungana kiwiliwili ambao ni yatima, Consolata na Maria Mwakikuti (19) wa...

READ MORE

Serikali Kuanzisha Mkoa Mpya wa Kipolisi Rufiji

Serikali inatarajia kuanzisha mkoa mpya wa kipolisi rufiji mkoani Pwani ili kusogeza huduma ya kipolisi karibu zaidi na wananchi na...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Ambulance 3 kwa Wabunge

IKULU: Rais Magufuli ametoa magari matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa Wabunge wa majimbo ya Nkasi, Shinyanga na Tabora. Mbunge...

READ MORE

ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti

ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two,...

READ MORE

AJALI: Basi la Allys na Coaster Yagongana Shinyanga, 60 Wanusurika Vifo

SHINYANGA: Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo, huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya baada ya basi mali ya Kampuni ya...

READ MORE

PICHA: Bi Samia Awatembelea Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Karatu

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  Sadia Isamel Awadhi mwenye...

READ MORE

Lema, Msigwa Wakinukisha Bungeni leo, Kisa Salamu za Rambirambi

Wabunge wawili wa Chadema, Peter Msigwa wa Iringa Mjini na Godbless Lema wa Arusha Mjini wameomba mwongozo wa Spika kuhusu...

READ MORE

LIVE: Uzinduzi wa SportPesa Tanzania

Unaweza kusema asiye na mwana aeleke  jiwe, au ukatumia ule msemo wa leo ndiyo leo. Maana kampuni mpya ya michezo...

READ MORE

PICHAZ: Watoto Wawili Ajali ya Karatu Wazikwa, Mmoja Asafirishwa Tanga

WATOTO wawili kati ya 32 waliofariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita wilayani Karatu walizikwa jana huku mmoja akisafirishwa na...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Mei 9

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili bajeti za...

READ MORE