×

Habari

Kemikali za Sumu Zapatikana Ikulu ya Gambia

….Kiongozi mpya wa Gambia Adam Barrow. ASKARI wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) wamegundua kemikali ya...

READ MORE

Simbachawene, DC Ilala: Wamachinga Waondoke Haraka Kwenye Barabara za Mwendokasi

DAR ES SALAAM: Wakizungumza kuhusu utekelezwaji na uboreshwaji wa Mradi wa Mabasi Yendayo Haraka jijini Dar mara baada ya uzinduzi...

READ MORE

Tanzia: Pam D Afiwa na Baba Yake

  Shedrack Nyato enzi za uhai wake. Staa wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefiwa na baba yake, Shedrack...

READ MORE

Mambo Yaanza Kunoga Shinda Nyumba Watu Kulamba Pikipiki, Tv, Simu

Wasomaji wa magazeti ya Global wakiwa katika pozi baada ya kujaza kuponi ya Shinda Nyumba awamu ya pili. Mr Uwazi...

READ MORE

Bonge la Mtu Lenye ‘Maguvu’ na Mlo wa Kutisha

  Hayat alivyo. KWA kawaida, vibonge wengi, yaani watu wenye miili mikubwa hasa wanene, huchukuliwa kama watu wasio na nguvu...

READ MORE

JPM Aendesha Basi la Mwendokasi, Awaagiza Simbachawene na Mbarawa Kufikia Jioni Wampe Ripoti ya Makusanyo ya Mradi

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono pamoja na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Sabby: Siwezi kutoka na Bella

“Sabby Angel” MSANII wa filamu na Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na...

READ MORE

United Inamuonea Zlatan Ibrahimovic

CHAMPIONI| MANCHESTER, England UKWELI unabaki palepale kuwa Manchester United ina wakati mgumu sana msimu huu wa Ligi Kuu England. Timu...

READ MORE

Kiungo Mtanzania amuita Msuva Ulaya

Sweetbert Lukonge| CHAMPIONI, Dar es Salaam WINGA wa Yanga anayefanya vizuri hivi sasa akiwa na kikosi cha timu hiyo, Simon...

READ MORE

Trump Kuzuia Wahamiaji Kutoka Nchi za Kiislamu Afrika na Mashariki ya Kati

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini sheria  ya kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo. Taarifa kutoka Marekani...

READ MORE

UVCCM Yatabiri Anguko la Vyama vya Upinzani

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema kutokana na kushamili...

READ MORE

Maimartha Atoa Fundisho Kwa Wanaojitapa Kuhusu Wapenzi Wao

  Maimartha Jesse. MTANGAZAJI na Mshereheshaji wa vipindi vya Televisheni Bongo Maimartha Jesse jana ameandika ujumbe mwenye fundisho kwa watu...

READ MORE

Breaking News: Kahemele Aachia Ngazi Simba

Katibu Mkuu wa Simba, Patrick Kahemele ameachia ngazi. Taarifa tulizozipata kutoka kwa  Kahemele zinaeleza aliandika barua na kamati ya utendaji...

READ MORE

Video: Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti

Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

READ MORE

Samatta, Juzi, Jana na Leo, Anaendelea Kuwanyoosha Ubelgiji, Apachika Bao Genk Ikiitwanga Kortrijk

atMshambuliaji Mbwana Samatta wa Genk kutupia mabao hii ikiwa ni mechi ya pili mfululizo. Samatta amefunga bao la pili katika...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania, Leo Jumatano Jan. 25, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, January 25 2016. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

Kortini kwa kuendesha gari akiwa amesimama

Mtu mrefu ameshtakiwa kwa kuendesha gari akiwa amesimama baada ya kukiri kupeleka gari vibaya. Adam Elliott alituhumiwa kwa kuwaonyesha madereva...

READ MORE

Mkenya ajiunga na klabu ya China kwa Ksh. Mil 467

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars Michael Olunga amejiunga na klabu iliopandishwa daraja katika ligi ya China...

READ MORE

Trump Akubali Kuiuzia Kenya Ndege za Kivita

Marekani imekubali kuiuzia serikali ya Kenya ndege za kivita na vifaa vingine vya kijeshi, kwa kima cha Dola Milioni 418...

READ MORE

Mzee Majuto Awafungukia Wanaosambaza Taarifa Kuwa Amefariki

AKIFANYA Kipindi cha  XXL ya Clouds FM leo Januuary 24, 2017, mtangazaji Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji maarufu hapa Bongo,...

READ MORE

Snura: Natamani kufanya Shoo, Wimbo au Filamu na Shilole

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya...

READ MORE

Orodha ya Wasanii na Filamu Zinazowania Tuzo za Oscar 2017

Filamu ya La La Land iliyotoka Disemba mwaka 2016 iweke rekodi katika tuzo za Oscar za mwaka huu baada ya kutajwa...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua ‘Mwendo Kasi’ Dar, Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe anatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa huduma ya mabasi yaendayo...

READ MORE

Kwa nini uchoshwe na chakula cha usiku?

Uhali gani shoga yangu? Kiafya mwenzako kama ulivyoniacha jana, kama ni mzima ni jambo la kumshukuru lakini pia kwa wale...

READ MORE

Picha: Wakazi wa Goba Wachangamkia Shinda Nyumba Awamu Ya Pili

Madereva bodaboda wakiangalia kuponi ya Shinda Nyumba kwenye Gazeti la Uwazi leo. Afisa Masoko, Kefa akiendelea kutoa elimu ya kujaza...

READ MORE

TFF yaipiga Yanga faini ya Tsh. Mil 1 kwa kuvunja sheria

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemwondoa Mwamuzi Hussein Athuman kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Vodacom...

READ MORE

Kabila la wala watu-3: Kumbe Mtoto wa Makamu wa Rais wa Marekani Aliliwa na Watu Hao

   ENDELEA ILIPOISHIA: Uombaji radhi ulifanyika katika shughuli maalum iliyoandaliwa na viongozi wa Jimbo la East New Britaish na shughuli...

READ MORE

Haya Ndiyo Anayoyafanya Mbunge Ridhiwani Kikwete Akiwa Nyumbani

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametupia picha mtandaoni ikimuonesha akiwa nyumbani kwake huku akitimiza majukumu yake ya malezi...

READ MORE

CCM Yawashukuru Watanzania Kwa Ushindi wa Ubunge, Madiwani

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha  Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole akizungumza na  vyombo vya habari. …Akisikiliza kwa...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi 2 Mwanza

MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakati wakijaribu kutoroka. Imeelezwa kuwa tukio...

READ MORE

Raheem Sterling Anunua Jumba la Kifahari, Bofya Ucheki Mapicha

Staa wa Manchester City, Raheem Sterling amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 3.1.   Jumba hilo liko...

READ MORE

Trump Kaanza Kutumbua Majipu, Aawafuta Kazi Mabalozi Wote wa Marekani Duniani

Kwa mujibu wa  The Independent na ParsToday wanasema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mbao Yaua na Kujeruhi 32 Iringa

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji...

READ MORE

Manara Atangaza Kumposa Wema Sepetu

Haji Manara (Kushoto), Wema Sepetu (Kulia). Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara...

READ MORE

Watanzania Waombwa Kuhudhuria Tamasha la Sauti za Busara

Kutoka kushoto ni Meneja wa Sauti za Busara,  Ramadhan Journey, Mkurugenzi Mtendaji wa Tamasha hilo,  Yusuf Mahmoud, Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Trump Afuta Biashara ya Marekani na Nchi Za Pasifiki

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump.  RAIS WA MAREKANI Donald Trump amefanya kile alichokiita siku yake ya kwanza kuanza kazi...

READ MORE

Chemsha Bongo Shinda Nyumba ya Pili

SHINDA NYUMBA Awamu ya Pili ipo kwa ajili yako, kwa uwingi wa zawadi kushinda ni lazima. Ni kwa shilinig 500/=...

READ MORE

Kauli ya Tundu Lissu Kuhusu Ushindi wa CCM Chaguzi Ndogo

Na. Tundu Lissu Waheshimiwa na makamanda poleni kwa mapambano na hongereni kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi hizi. Naona kila...

READ MORE

Zitto Kabwe Atoa Waraka Kuhusu Marudio ya Uchaguzi

Nachukua fursa hii kuwapongeza Sana kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi ndogo za udiwani na ubunge zilizomalizika hivi punde nchi...

READ MORE