×

Ijumaa

UTAJUAJE KAMA UPO KWENYE MAPENZI HATARISHI? SOMA HAPA

MATUKIO ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na...

READ MORE

TUNDA, LYINN VITA MPYAA KWA DIAMOND

MAHABA kama yotee! Kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii kikimuonesha video queen matata wa Bongo, Annastazia Sebastian Kimaro...

READ MORE

BEN POL: KUTOKA GIGY MONEY HADI MONALISA!

Benard Michael Paul ‘Ben pol’MWAKA 2013, taasisi ya vijana inayotambulika kama Youth For Africa (YOA) ilitoa tuzo zake kwa mara...

READ MORE

BILLNASS AFUNGUKA BIFU LAKE NA DOGO JANJA

BAADA ya kutupiana maneno ya kashfa mitandaoni na msanii mwenzake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambayo yalizua gumzo kwamba wawili hao...

READ MORE

MBASHA AMFUNGUKIA WEMA SEPETU

MSANII wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu ishu inayoendelea sasa hivi mitandoni kuwa nani...

READ MORE

PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU

IJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano...

READ MORE

MADAM RITA: ALIPUUZWA NA KUKATISHWA TAMAA, AKAINUKA NA KUTUSUA!

KATIKA maisha hakuna mtu anayepanda bila kukanyaga ngazi. Kwa hiyo ili maisha ya binadamu yakamilike, yanatakiwa kupitia njia hizo. Unaweza...

READ MORE

MAKONDA ALIVYOMMALIZA MOBETO KWA WEMA

AMEMMALIZA Mobeto (Hamisa)! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu wa mjini waliohudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mwigizaji Wema Isaac Sepetu na Mkuu...

READ MORE

AIBU KUBWA! MUME WA MTU ATAITIWA SKENDO KUPIGA CHABO

MOROGORO: Hii ni aibu ya mwaka! Ndiyo iliyompata mume wa mtu, Fikiri Juma ambaye ni baba wa familia, kufuatia kutaitiwa...

READ MORE

AJALI MBAYA… DEREVA WA NAPE AFICHUA MAZITO

BAADA ya hivi karibuni kupata ajali mbaya ya gari, dereva wa Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, Michael Sangu ‘Mike’...

READ MORE

MTOTO WA PILI ARUDISHA NDOA YA ESHA BUHET

MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Esha Buhet amefunguka kuwa mtoto wake wa pili aitwaye Claribel amerudisha ndoa yake iliyokuwa imeshavunjika na...

READ MORE

SABBY ANGEL APIGWA NDOA YA 5

BUYU raha yake uupate ukiwa wa moto kutoka jikoni na siyo ule uliokaa juani ambao haunogi ukiumun’gunya! Ubuyu uliopo mezani...

READ MORE

RAYVANNY: MGAHAWA WA JUISI ULINIFANYA NIMPATE FAYMA

MPENZI msomaji tunazidi kutiririka katika safu yetu hii yenye kuvutia, ambapo wiki iliyopita tulikuwa na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo,...

READ MORE

SEPTEMBA CHUNGU KWA MASTAA HAWA

FEBRUARI, mwaka jana, ilikuwa chungu kwa mastaa wengi wa filamu na Bongo Fleva baada ya kutajwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

BEN POL ATOBOA SIRI YAKE NA MONALISA

STAA wa Muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoboa siri yake na mkongwe wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’...

READ MORE

WEMA AANDIKA HISTORIA

 KUFUATIA maandalizi baab’kubwa ya shughuli yake ya kukata na shoka ya kuzaliwa (birthday), staa grade one Bongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

STEVE: TUUNGANE KUWAOMBEA WENZETU

MWIGIZAJI na komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wote kwa jumla bila kujali wa muziki au filamu...

READ MORE

DIANA KIMARI ADAIWA KUKACHA KANISA!

UBUYU ukimpa asiye na meno, kamwe hawezi kumung’unya, raha yake mpe mwenye meno yote 32! Ubuyu uliotua kwenye meza ya...

READ MORE

SIRI WEMA KUMFUNIKA MOBETO YAFICHUKA

BAADA ya kuwepo kwa mvutano wa nani anastahili kuwa mrembo bora wa Tanzania (Tanzania Sweetheart) kati ya Hamisa Mobeto na...

READ MORE

UNATAKA KURUDIANA NA X WAKO? NI VIZURI UKAYAFAHAMU HAYA

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita...

READ MORE

TOP 5 MASTAA WALIOTIBUANA NA WAZAZI WAO

KUNA usemi usemao ‘uchungu wa mwana aujuaye mzazi’, ukiwa na maana kuwa mama ndiye mwenye uchungu zaidi na mtoto wake.  Ni...

READ MORE

HOYCE TEMU ALIACHA KAZI BENKI ILI AISAIDIE JAMII

Hoyce Temu MWAKA 1999 ni miongoni mwa miaka ambayo haitasahaulika kwenye kinyang’anyiro cha Miss Tanzania. Kwa waliobahatika kukishuhudia watakumbuka namna...

READ MORE

KIKI YA UWOYA, DOGO JANJA YAFIKA MWISHO

WAFUATILIAJI wa habari za mastaa Bongo, watakumbuka wakati ule mastaa wa Bongo, Irene Uwoya na mwenziye Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’...

READ MORE

KITIMTIM DAWA NGUVU ZA KIUME

NI kitimtim dawa za nguvu za kiume! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali kupitia kikosi kazi cha Manispaa ya Ilala...

READ MORE

Ajibu Awapa Tahadhari Simba SC

  KIUNGO mshambuliaji kipenzi cha Wanayanga, Ibrahim Ajibu amewaambia mashabiki wa timu hiyo waondoe hofu yapo mambo mengi yanakuja kuelekea...

READ MORE

ESMA: NITACHANGUA MWANAUME KAMA KARANGA

BAADA ya kuachana na mumewe, dada wa mwanamuziki maarufu wa Afro-Pop, Na­sibu Abdul ‘Diamond Platinumuz’, Esma Khan amefunguka kuwa amejifunza...

READ MORE

CHUCHU ATOA POVU MIMBA KUCHOROPOKA

MWIGIZAJI wa kit­ambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Chu­chu Hans ametoa povu baada ya kudaiwa kuwa alinasa ujauzito ukachoropoka...

READ MORE

ESTER KIAMA ARUDI KIJIJINI KULIMA

MWIGIZAJI wa filamu za Ki­bongo, Ester Kiama ameamua kurudi kijijini kwao, Dumila mkoani Morogoro kuan­galia kama anaweza akajishughuli­sha zaidi na...

READ MORE

AIKA : MIAKA 10 YA MAPENZI YETU KAMA 2 TU !

Mwanamama kutoka Bongo Flevani, ambaye ni memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mariale amesema miaka 10 waliyoishi ya kimapenzi...

READ MORE

ODEMBA APORWA MUME MCHANA KWEUPE!

UBUYU ni miongoni mwa matunda ambayo hayachoshi hasa ukiwa unajua jinsi ya kuumun’gunya ili usichubuke ulimi! Ubuyu mtamu uliotua kwenye...

READ MORE

KISA LAANA QUEEN DARLEEN AMWANGUKIA BABA’KE

BAADA ya kuwa kwe­nye mgogoro kwa muda mrefu na baba yake mzazi, Abdul Juma ‘Baba D’, ili kukwepa laana ya...

READ MORE

KWANINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAOI ?

NI Jumatatu nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia pumzi yake. Tumshukuru kwa hilo. Karibu jamvini mdau.  Mada hapo juu ni swali ambalo...

READ MORE

MAUA SAMA AFUNGUKA KUMWAGWA NA MZUNGU

KUNA wakati ukiufuatilia sana muziki wa Bongo Fleva utakuwa unaona unabadilika kwa kasi siku hadi siku. Kuna kipindi utaona unaenda...

READ MORE

LUNGI AMWASHIA MOTO GIGY , KISA ZARI

DAR ES SALAAM: Mwigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amemwashia moto msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford...

READ MORE

TARAJI HENSON MIMBA NDII!

NANI alikwambia ukianza kuzeeka ngumu kuzaa? Sikia hii; Staa wa Tamthiliya ya Empire anayetumia jina la Cookie, Taraj P. Henson...

READ MORE

FLAVIANA MATATA ATAENDELEA KUWA MATATA KWELI

UKIFIKA katika Jiji la Los Angeles, Marekani kuna eneo linaitwa West Sunset amb-alo ndani yake kuna kampuni moja kubwa ya...

READ MORE

TOP 8 MISS AFRICA 2018

THULISA KEYI (SOUTH AFRIKA) Thulisa Keyi huyu ndiye namba moja kwenye lisiti hii. Ni mrembo aliyeshinda kinyang’anyiro hicho kilichofanyika mwishoni...

READ MORE

UNATAKA KURUDIANA NA EX WAKO ? NI VIZURI UKAYAFAHAMU HAYA

NI IJUMAA nyingine tunapokutana jamvini! Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni...

READ MORE

BAADA YA KIFO CHA PATRICK… SIRI NZITO YA MUNA YAVUJA!

SIRI imefichuka kuwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alfonce Nungu almaarufu Muna Love ambaye hivi karibuni alifiwa na mwanaye,...

READ MORE

BOSI CHUO KIKUU AJIUA KWA SUMU

MENEJA Rasilimali Watu wa Chuo Kikuu Huria (Open University au OUT), Brown Ngingo anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu, nyumbani kwake...

READ MORE