DAR ES SALAAM: Mastaa wahenga Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamefika pabaya baada ya...
READ MOREUHUSIANO wa kimapenzi siku zote unajengwa na imani. Wapendanao wanapaswa kuaminiana kwa asilimia mia. Waswahili wanakuambia bora ukosee njia lakini...
READ MOREWANAOWEWESEKEA uteuzi wa Miss Tanzania Namba 2, 2006, Jokate Mwegelo wameibua mapya, kwamba harakati za kusaka uongozi wa umma alizofanya...
READ MOREFEZA Kessy aka Manzi ya Arusha ni miongoni mwa mastaa ambao wamepata nafasi ya kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania nje...
READ MOREMPENZI msomaji tunazidi kuinjoi simulizi za watu mbalimbali juu ya namna walivyokutana na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tuliwaona mastaa...
READ MOREMITANDAO ya kijamii hasa Instagram kwa sasa ndiyo habari ya mjini. Huku mastaa wanajiachia kwa kuweka mambo yao mbalimbali bila...
READ MORETATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila...
READ MOREMAMBO ni hivi! Familia ya staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imesusia mwaliko wa bethidei wa mwanamitindo...
READ MOREKISHINDO kifo cha mtoto wa msanii Rose Alphonce ‘Muna’, Patrick Peter kingali kikivuma na kusababisha mapya kila uchwao, safari hii...
READ MOREMTU akipata mafanikio ya kushangaza, imezoeleka na wengi kuuliza: “Hebu nipe siri ya mafanikio yako?” Hata kwa Miss Tanzania...
READ MOREKUONESHA mzuka umemkolea, msanii wa Kizazi Kipya zao kutoka Jumba la Kuibua Vipaji Tanzania (THT), Faustina Charles ‘Nandy’ amejikuta akishindwa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuanika stika inyaoonesha amepima magonjwa yote, gumzo...
READ MOREIKIWA zimebaki siku saba kufikia ndoa ya mwanadada Zabibu kiba ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh...
READ MORETATIZO hili la mwanamke kukosa msisimko wa tendo la ndoa kitaalamu tunaita ‘Female Sexual arousal disorder’. Mwanamke akiwa na...
READ MOREUNA msemo wa Wahenga kutoka Magharibi mwa Tanzania mkoani Kigoma unasema; Mungu anatoa, hana choyo, usipomuomba pia anakuwa ghali. Kesho...
READ MOREDUNIA inakwenda kwa kasi kwelikweli, yale ambayo miaka kadhaa iliyopita yalikuwa hayawezekani, hivi sasa yanawezekana. Utandawazi umeleta mabadiliko makubwa...
READ MORE“MWAKA 2010 nilitoa wimbo wangu wa kwanza wa Uzuri Wako, kazi hii ilikuwa ina vikwazo vingi sana ila tukafanikisha lokesheni,...
READ MOREMAMBO yanazidi kunoga katika safu hii ya Siku ya Kwanza Kukutana, leo tunaye mrembo kutoka Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye...
READ MOREKUFUATIA kusambaa kwa picha zikimuonesha akiwa ametinga kikuku mguuni kisha kushambuliwa akihusishwa na skendo ya ushoga, hatimaye staa wa Afro-Pop,...
READ MOREUTATA mkubwa umeibuka kufuatia vifo vya vijana watatu waliotajwa kwa majina ya Ismail Linyembe, Twahir Said ‘Gama’ na Iddi Said...
READ MOREBAADA ya kuzagaa kwa madai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambaye yuko kwenye Kundi la WCB ambalo mkurugenzi...
READ MOREBADO msiba wa mtoto Patrick wa msanii wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ haujasahaulika! Bado sarakasi zilizotokea...
READ MOREMwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki juzi Jumatano alihamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wake baada ya kufanya sapraiz...
READ MOREULIMWENGU wa sasa umejaa wanawake wazuri sana, kila unayemuangalia unaona kuna vitu f’lani Mungu kamjaalia. Unaweza kukutana na msichana ambaye...
READ MOREMKONGWE kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kwa uchungu kuwa, kama sio timu za kwenye mitandao ya...
READ MORESTAA wa filamu kutoka Bongo Movie, Husna Idd ‘Sajenti’ ameeleza machungu yake kwa aliyekuwa mtoto wa msanii mwenzake ambaye ni...
READ MORENI wiki nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wangu katika ukurasa huu mzuri. Leo ningependa tujadiliane kuhusu jambo hili ambalo kwa kiasi...
READ MOREAFRICAN Stars Band ‘Twanga Pepeta’ imefuLia ile mbaya! Walich-okuwa hawa-kitaki wenye be-ndi hiyo yaani ku-pi-ga sh-oo kwe-nye ku-mbi za usw-azi...
READ MOREBINGO! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwanadada Wakonta Kapunda, kujipatia fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni hamsini na tano (55),...
READ MOREUNAPOMZUNGUMZIA Nancy Abraham Sumari, hakika unataja jina la miongoni mwa kinadada ‘special’ wa taifa hili ambao wana mchango mkubwa kwenye...
READ MOREMUIGIZAJI maarufu nchini Marekani, Taraji P Henson amefunga ndoa ya siri na mpenzi wake ambaye inasadikika walikuwa na uhusiano wa...
READ MOREBAADA ya kukinukisha katika mitandao na TV, muuza nyago ambaye pia ni mwanamitindo maarufu kutoka pande za Kenya, Vera Sidika...
READ MOREPENYE siri iliyofichwa na wengi husubiri wakati na sababu ili ifichuke, ndiyo maana Waswahili husema ‘hakuna siri ya watu wawili,’...
READ MOREKUWA mtu maarufu ni jambo moja, ‘ku-maintain’ huo umaarufu huwa ni jambo lingine tofauti. Unaweza kuwa maarufu kwa maana ya...
READ MOREMIONGONI mwa vitu ambavyo Hawezi kukwepa mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, ni historia yake kwamba aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000,...
READ MOREGUNDU! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya mwanamitindo ambaye pia ni staa wa filamu, Karrueche Tran ‘kupigwa kibuti’...
READ MOREMDADA mwenye asili ya Kenya na Mexico, Lupita Nyong’o amezidi kupeta ambapo safari hii anatarajiwa kupewa tuzo kubwa ya heshima...
READ MOREBAADA ya ukimya wa muda mrefu wa mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba, mzee Salehe hatimaye Ijumaa...
READ MOREBOB Manecky ni mmoja kati ya maprodyuza naweza sema waliofanikisha kwa kiasi kikubwa safari ya muziki wa Juma Khalid ‘Jux’....
READ MOREHuddah Monroe ‘The Boss Chick’ BAADA ya kukaa muda mrefu bila kupata mtoto, muuza nyago kwenye mitandao na mjasiriamali, Huddah...
READ MORE