×

Ijumaa

Kiba, Namba Hazidanganyi Mzee Baba

ALI Saleh Kiba ndiyo ma­jina matatu yanayo­tambulika kiseri­kali. Mengine ni King Kiba au Ali Kiba. Mzee Baba ni swaga tu...

READ MORE

Prezzo Azichukia Pombe

MKONGWE kwenye gemu la Hip Hop Kenya, ametoa ujumbe wa kushtua kwa mashabiki wake baada ya kusema kuwa anazichukia pombe....

READ MORE

HEEE! Eti Tiwa Savage Anatoka na Wizkid!

HABARI za chini ya kapeti zinaeleza kuwa mastaa wawili wasioshikika kwenye muziki, Wizkid na Tiwa Savage ni wapenzi. Ishu nzima...

READ MORE

VIDEO QUEEN MBARONI KWA WIZI

MUUZA sura kwenye video za Kibongo ‘Video Queen’ aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mitandaoni, Agness Mmasi, yamemkuta mazito,...

READ MORE

Faiza Anasa Ujauzito Tena, Kilichompata Ni Machozi

UTAMU wa ubuyu hauchagui mtoto wala mtu mzima, wote ni twende tu! Mwigizaji wa sinema za Kibongo ambaye ni mzazi...

READ MORE

Uwoya, Dogo Janja Wakesha Kusaka Mtoto

MKALI wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya na mumewe, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, wamesema...

READ MORE

KIMENUKA! Tunda Alikoleza Bifu Lake Na Mobeto, Kurudiana na Diamond

KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa...

READ MORE

Mfanyabiashara Ateswa, Auawa!

MFANYABIASHARA mmoja aliyetambulika kwa jina la Godfley Charles ameteswa na kuuawa na watu wasiofahamika baada ya kukatwakatwa na mapanga wilayani...

READ MORE

NDOA YA MWANAHERI YAKWAA SKENDO No.1

  MAMBO ni moto! Saa chache baada kufungwa, ndoa ya kimyakimya ya staa wa Bongo Movies na Tamthiliya, Mwanaheri Ahmed...

READ MORE

Nuh Mziwanda Alivyojichanga Kusimamisha Mjengo

DUSKODUSKO ni maneno maarufu kwa sasa mtaani, ambayo humaanisha fedha ndogondogo. Vijana wengi hupenda kulitumia pale wanapogawana, mtu anapojichanga kutunza...

READ MORE

TAJIRI BONGO AJIUA KWA RISASI

  MFANYABIASHARA ambaye ni tajiri maarufu mjini Mafinga wilayani Mufindi, Iringa, George Ndendya (50), anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kwa...

READ MORE

WEMA AMFANYIA KITU KIBAYA MAMA KANUMBA

Hii siyo sawa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu hivi karibuni kudaiwa kumfanyia kitu mbaya...

READ MORE

CHIDINMA ALIZALIWA KIPOFU, LEO NI MWANAMUZIKI TAJIRI!

SAFARI ya mafanikio ina mabonde na milima, lakini ikiwa na siri kubwa ambayo ni kushikilia na kuamini kile ambacho unafikiri...

READ MORE

ABIRIA ADAIWA KUMNYONGA KONDA HADI KUFA!

  DAR ES SALAAM: Kondakta wa daladala aina ya Nissan Civilian lenye namba za usajili T 247 DDT lililokuwa likifanya...

READ MORE

NABII ‘MTOTO’ ATIKISA DAR, ANA MIAKA 22, UTAJIRI WAKE UNATISHA – VIDEO

KILA kukicha wanatokea manabii wanaokuja na staili mbalimbali za mahubiri na miujiza ya kila aina, wakati Nabii Tito ambaye alikuwa...

READ MORE

BAADA YA AKWILINA KUZIKWA, DENTI MWINGINE DAR AUAWA KINYAMA!

  WAKATI ripoti ya uchunguzi wa kipolisi juu ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafi...

READ MORE

WASTARA, MAMA SOPHIA: ASANTENI SANA GLOBAL

KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Amani, Risasi na Ijumaa Wikienda imekuwa ikifanya kazi kubwa ya...

READ MORE

Wolper Anajuta Kupoteza Muda Wake

STAA mwenye kuijulia mitindo ya nguo Bongo, Jacqueline Wolper anajutia kupoteza muda wake mwingi kukomaa na filamu, badala yake anaona...

READ MORE

TAUSI AFUNGUKA KUACHA ‘NIDO’ NJE

KOMEDIANI mwenye jina kubwa Bongo, Tausi Mdegela amefungukia ishu ya kuacha matiti ‘nido’ zake nje kisha kutupia picha kwenye ukurasa...

READ MORE

AUNTI LULU AGEUKIA MUZIKI  WA INJILI

    MARA baada ya kuokoka, mtangazaji Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameamua kugeukia Muziki wa Injili ambapo ameanza kufanya mazoezi...

READ MORE

Country Boy Atamani kufanya Kolabo na Khadija Kopa

RAPA kutoka Kundi la Watu Chee, Country Boy ambaye wimbo wake wa Turn Up unafanya vizuri kwenye gemu la Muziki...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, FEB 19, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 19, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

LAZIMA SAJENTI AMZALIE DULLAH MAKABILA

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Husna Idd ‘Sajenti’ ameapa kuwa lazima ampatie japo mtoto mmoja staa wa Singeli, Abdallah Makabila...

READ MORE

DHARAU ZIMEMFIKISHA ODAMA HAPO ALIPO

STAA wa kitambo kwenye Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ anaamini kuwa dharau na kejeli alizopitia kwenye tasnia hiyo ndizo zilizomfanya...

READ MORE

ATAKAYEMUOA JIKE SHUPA AJIPANGE!!

MUUZA nyago aliyetamba kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ anakiri kwamba,...

READ MORE

Diamod Tekeleza Ulichokiahidi, Acha Ubabaishaji

  KWA wafuatiliaji wa masuala ya burudani, mtakumbuka kwamba mwishoni mwa mwaka 2013, msimu wa sikukuu za Krisimasi na Mwaka...

READ MORE

Kidoti Kinampagawisha Kidoti

MWANAMITINDO na Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), Jokate...

READ MORE

Mabaamedi Wamlipua Bosi Wao Irene Uwoya

UBUYU wa leo hatujauvukia maji kutoka Zanzibar, bali tumeupata maeneo ya Magomeni-Kwa Fundikira, Dar, unaitwa ubuyu wa vimto ambapo unamung’unywa...

READ MORE

Tunda, Acha Ulimbukeni Wa Maisha, Tengeneza ‘Future’ Yako

   ANAFAHAMIKA zaidi kwa jina la Tunda, na ukimdadisi sana ataishia kukwambia kwamba jina lake halisi anaitwa Tunda Sebastian, namzungumzia...

READ MORE

Maskini Wema…Apigwa Mamilioni Ya Pesa

Wiki moja baada ya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu kudukuliwa na...

READ MORE

MZEE MAJUTO: Niombeeni Jamani, Tezi Dume Si Mchezo!

MKONGWE wa filamu za Kibongo aliye kipenzi cha wengi, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye kwa sasa ni mgonjwa ametoa ya...

READ MORE

MBASHA AFUNGUKA KUTOKUOA TENA

STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa...

READ MORE

Uwoya Aja na ‘Uwoya’ Mpya Msimshangae

STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema kuwa ameamua kubadilisha mfumo wa maisha yake hivyo mashabiki wake...

READ MORE

Rose Ndauka: Natamani Kuongeza Mtoto Mwingine

MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa...

READ MORE

Wakali wa Mitindo Afrika… Wapo Hapa

MIONGONI mwa tasnia kubwa duniani, katika masuala ya burudani ukiachana na muziki na filamu, tasnia nyingine ambayo ina mashabiki wengi...

READ MORE

Chuchu: Siwezi Kuzaa Tena na Ray

UKITAJA ‘kapo’ za mastaa ambao wamefanikiwa kuwa kwenye uhusiano na kubarikiwa kupata watoto wakiwa pamoja, huwezi kuacha kuwataja mastaa wakubwa...

READ MORE

Mama Aanika Siri ya Kanumba na Nabii Tito

  BAADA ya picha kusambaa za aliyekuwa staa wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba akiwa na Nabii Tito ambaye kwa...

READ MORE

Mke wa Deo Filikunjombe, Waziri Mambo Hadharani

Mambo ni moto! Ubuyu ulionyooka uliolifikia gazeti hili unadai kuwa, waziri mmoja mchapakazi (jina tunalihifadhi kwa sasa), anadaiwa kurithi mikoba...

READ MORE

Lulu Diva Jeuri Hii Kaipata Wapi?…Anaishi Kwenye Mjengo wa Kifahari

WAKATI wasanii wengine wakilia njaa kali sambamba na kuwa na maisha ya kawaida, hali ni tofauti kwa msanii wa Bongo...

READ MORE