×

Ijumaa

Wema Aingia Matatani Kisa Mashoga

  Mrembo wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amejikuta akiingia matatani kwa kudaiwa ‘kuwafuga’ wanaume wanaodaiwa ‘si riziki’ (mashoga) nyumbani...

READ MORE

Amber Lulu Ashtuka Kumwagwa Na Prezzo Wa Kenya

VIDEO Queen anayekuja juu kwenye Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ ameshtuka kusikia mwanamuziki maarufu wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’...

READ MORE

Wanaume Tata Wamtolea Udenda Idris

  WANAUME tata wameonekana kumtolea udenda Mshindi wa Shindano la Big Brother ‘Hot Shot’ 2014, Idris Sultan baada ya kuposti...

READ MORE

RAY AJITOLEA MAISHA KWA MWANAYE

  MWIGIZAJI wa kiume wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa, mwanaye aliyezaa na mwigizaji Chuchu Hans aitwaye Jaden...

READ MORE

Mama Uwoya Amtapika Dogo Janja, Wadaiwa Kupachikana Mimba

  Mwisho wa mjadala! Wakati mwanaye akidaiwa kupewa mjamzito, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya,...

READ MORE

‘Visu’ Vitano Vikali Afrika

UKIACHILIA suala zima la rangi ya ngozi na shepu, wanawake wengi wa Afrika wamejaliwa uzuri. Kwa mujibu wa jarida maarufu...

READ MORE

Pretty Kind Aufyata Kwa Waziri

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kindy’ ambaye siku chache zilizopita alipewa kibano cha kufungiwa asifanye sanaa miezi sita...

READ MORE

Kisa Kumposti Lulu… Kiba Ashambuliwa na Mashabiki

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani  ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa...

READ MORE

Steve Nyerere Alia na Majungu

KOMEDIANI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amelia na majungu kuwa, kama wasanii wa Bongo Movies wangeya-punguza, basi wangesonga mbele....

READ MORE

Harusi ya Wolper Kufanyika Bongo na Marekani

ILE sherehe ya ndoa yaani harusi ya staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe itakuwa na mbwembwe ambazo si...

READ MORE

Jahazi Lazidi Kuandamwa na Jinamizi

  KUNDI la Jahazi Modern Taarab limezidi kupata jinamizi la kukimbiwa na wanamuziki wake tangu kiongozi na mwanzilishi wake, Mzee...

READ MORE

Mastaa Hawa Wanaweza Kutoboa Bila Kujianika Nusu Utupu

NAMKUBALI sana Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jay Dee’. Namkubali kutokana na muziki wake anaoufanya lakini pia namna ambavyo ametengeneza ‘status’...

READ MORE

Bifu La Nandy, Ruby Kwisha!

KUTOKANA na madai ya hapa na pale kwamba wasanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na msanii mwenzake, Hellen George...

READ MORE

Irene Paul Adaiwa Kupotezwa Na Ndoa

MSANII kiwango kunako soko la Bongo Muvi, Irene Paul anadaiwa kupotezwa na ndoa na kwamba kwa sasa haonekani kwenye tasnia...

READ MORE

Mama Mobeto Afunguka Kuporwa Bwana na Bi Sandra

KWA siku kadhaa kumekuwa na ubuyu mzito kuwa, mwanaume anayedaiwa kumuona mama wa msanii wa Bongo Fleva, Sanura Kassim almaarufu...

READ MORE

Ushosti Wa Shamsa, Aunt Waibua Mambo!

  USHOSTI uliochipuka na kukolea hivi karibuni wa mastaa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel, umeibua mambo...

READ MORE

Wolper Umeshakua, Achana Na Hizi Kiki Za Kishamba!

HAKUNA mpenzi wa filamu za Kibongo am­baye hamjui Jacqueline Wolper, hii ni kwa saba­bu ya kujituma kwake kwenye kazi, hasa...

READ MORE

Sanchi Adai Posh Queen Ni Cha Mtoto Kwake

MWANAMITINDO Jane Ramoy ‘Sanchi’ ameibuka na kudai kuwa msichana ambaye kwa sasa anatamba kwenye mitandao ya kijamii kutokana na umbo...

READ MORE

Lucy Komba Akubali Kumzalia Mzungu Wake

MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye kipindi cha nyuma aliweka ngumu kumzalia mzungu wake, sasa anadaiwa kuwa kwenye mkakati...

READ MORE

Tunda Kwa Sasa Nipo Tayari Kuwa Mke Wa Mtu!

MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake, Tunda Sebastian, amefungukia kubadili muonekano wake kuwa, amefanya hivyo ili kukwepa kuonekana...

READ MORE

Agness Atoboa Siri Penzi La Rammy

MUUZA nyago machachari Bongo, Agness Mmasi amesema kuwa, kamwe hawezi kulisahau penzi la msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis, sababu...

READ MORE

Uchangudoa wa Zari Waibua Kimbembe!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kukiri kuwa...

READ MORE

Siwema Afungukia Kumuona Mwanaye kwa Nay

MZAZI mweza wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Siwema Edson amefungukia ishu ya kumuona mwanaye,...

READ MORE

Zama za Amber Lulu Kukaa Utupu Zimepita

MUUZA nyago ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Lulu Augen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa, kipindi cha kukaa utupu ili...

READ MORE

Wakali Hawa ‘Wamebuma’ 2017

MWAKA unazidi kuyoyoma, kwenye upande wa burudani hasa Tasnia ya Muziki, mbali na wanamuziki wenyewe kutathimini nini wamefanya kwa mwaka...

READ MORE

Dogo Janja; Aibu Hii Haikwepeki!

DOGO Janja ni msanii aliyeingia katika sanaa kwa namna ya ajabu kabisa. Licha ya Arusha anakotoka kuwa na historia ya...

READ MORE

Ramsey Alivyowalipua Ray, Wema!

STAA wa sinema za Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah amewalipua waigizaji wa filamu za Kibongo kwa kushindwa kuendeleza sanaa hiyo kwa...

READ MORE

Kabla ya 40 Ndiku…Uwoya Achafua Hali ya Hewa!

WHY? Hata kabla ya siku 40 baada ya kifo cha aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ au ‘Ndiku’, staa wa sinema...

READ MORE

Mastaa Hawa Wote Wamelala Selo 2017!

SHERIA ni msumemo! Huu ni msemo wa Kiswahili ambao ni maarufu na humaanisha kwamba hakuna mtu ambaye yupo juu ya...

READ MORE

Lady Jay Dee amganda Spicy

BAADA ya mwanadada ‘lejendari’ kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ kufanya vyema na Ngoma ya Together...

READ MORE

Wolper Kuonesha Kufuli Huo Ni Ushamba!

  JACQUELINE Massawe ndilo jina alilopewa na wazazi wake alipozaliwa kule kwao Moshi mkoani Kilimanjaro, lakini umma wa Watanzania na...

READ MORE

Hatimaye Wema, Makonda ‘Bifu’ Kwisha!

BAADA ya madai ya muda mrefu juu ya uwepo wa bifu kati ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na...

READ MORE

GIGY ABWATUKA KUNASA KIBENDI

MSANII wa filamu Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kutokana na uvumi uliopo kwamba amenasa kibendi na kusema watu waache...

READ MORE

Pretty Kindy Ajitapa Kumfunika Kidoa

MUUZA nyago mwenye umbo matata Bongo, Suzy Richard ‘Pretty Kindy’ amejitapa kumfunika, msanii wa filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijizolea...

READ MORE

Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole

  MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake...

READ MORE

Hatimaye Mobeto Ambwaga Zari!

NOVEMBA 10, mwaka huu, ilikuwa kicheko kwa upande wa mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Mama Kanumba Afungukia Cheko Lake Mahakamani

MAMA wa aliyekuwa mwigizaji mahiri wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefungukia cheko alilolitoa mahakamani wakati wa hukumu...

READ MORE

Siri Ya Wema Kupukutika Yafichuka!

VYUMA vimekaza? Siri ya staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupukutika imefichuka baada ya picha zake kusambaa...

READ MORE

Hamorapa Kwishaaa! Meneja Wake Afunguka Mazito

  UBUYU wa leo unatakiwa uumun’gunye taratibu, ukipenda unaweza kushushia na maziwa maana unaambiwa mzee wa kiki ambaye alijizolea umaarufu...

READ MORE

Mama Kanumba Kumtembelea Lulu Gerezani

MAMA wa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema kuwa, kutokana na matatizo yaliyompata staa wa filamu...

READ MORE