×

Ijumaa

Sharobaro amlipia mahari Riyama!

Stori:  Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Hatimaye! Taarifa ikufikie kwamba, staa wa kitambo wa Bongo Muvi, Riyama Ally amelipiwa...

READ MORE

Ray c anaswa kazimika

Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya. Stori:  Musa Mateja, Wikienda DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Jamaa azidisha ‘dozi’, aanguka, afa

STORI: Dustan Shekidele, Wikienda Morogoro: Janga la kitaifa! Wakati wasanii wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Rashid Makwilo...

READ MORE

Thea amkataa Jokate kwenye uigizaji

Jokate Mwegelo. Na hamida hassan Msanii wa filamu wa ‘long time’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ ameibuka na kusema kuwa yeye...

READ MORE

Steve anaswa kashikilia ‘zigo’ la Wellu

Na Musa Mateja Msanii wa filamu anayeheshimika Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ juzikati alinaswa akiwa amemshikilia kimahaba msanii mwenzake,...

READ MORE

Lucky: Mbali na uigizaji, mimi ni mkulima mzuri tu

Leo kwenye safu hii tunaye msanii mkongwe, Luckyness Mokiwa ‘Lucky’. Katika maswali 10 aliyoulizwa amefunguka mengi kuhusu maisha pamoja na...

READ MORE

Gigy, Abdu Kiba full malovee!

Stori: Mayasa Mariwata Ilikuwa juzikati ndani ya Ukumbi wa Club Bilcanas ambapo mwanadada mwenye figa f’lani bomba, Gigy Money juzikati...

READ MORE

OFM yatumbua jipu Mlimani City

Gari likitoka katika jengo hilo. Stori:  Amran Kaima, Ijumaa: OpAresheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni ilitumbua jipu...

READ MORE

Waliokamatwa kwa uchangu wahukumiwa

Machangudoa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi. Stori: Dustan Shekidele, Morogoro WAREMBO waliokamatwa hivi karibuni kwenye msako wa machangudo na...

READ MORE

Siri 5 ndoa ya Wastara kuvunjika!

Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma siku ya harusi yake na mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma. Stori: ...

READ MORE

Hamadombe Band kukamua New Vision Pub Kigamboni Pasaka

Hamadombe Band. Na Mwandishi Wetu Bendi ya Hamadombe sasa imebaki na vijana sita baada ya wawili kutupiwa virago hivi karibuni...

READ MORE

Ester Kiama adaiwa kufukia

Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kufulia na ndiyo maana amekuwa haonekani kwenye viwanja vya...

READ MORE

Zari adaiwa kumpa makavu Kajala

Zarinah Hassan ‘Zari’. Stori:  WAANDISHIWETU Ijumaa Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka...

READ MORE

Kinara wizi wa bodaboda Dar anaswa!

Kudura Kiboka anayedaiwa kuwa kinala wizi wa bodaboda  Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda Dar es Salaam: Hapa kazi tu! Jamaa anayedaiwa...

READ MORE

Lady Jay Dee: Nililala, nimeamka tena!

Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva kwa upande wa wanawake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’. Unapozungumzia wakongwe wa Muziki wa Bongo...

READ MORE

Diamond ateketeza Sh.Mil 100 ulaya

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na familia yake. Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo...

READ MORE

Mahakama yafungukia kibali cha Lulu kwenda Nigeria

Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu. Stori: Sifael Paul, Wikienda Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa...

READ MORE

Uchaguzi Zanzibar; wapiga kura wagawanyika

Mwananchi wa Zanzibar akipiga kura. Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar UCHAGUZI wa marudio uliofanyika jana Machi 20, Zanzibar umegawa wapiga kura...

READ MORE

Kijana Adaiwa kufa, Azikwa, Apatikana Akiwa hai

Simiyu: Mshtuko! Kijana Nyabongo Manosa (22) mzaliwa wa Mwabuma wilayani Meatu mkoni Simiyu, anayedaiwa kufariki dunia mwaka 2013 kisha akazikwa,...

READ MORE

Daktari: Maini ya Penny yameharibika!

Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Habari mbaya! Majibu ya daktari...

READ MORE

Akina Masogange, huyu Mkongo siyo

Ojuku Abraham UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi...

READ MORE

Ripoti Inatisha! Wapaka rangi wanavyomaliza wake za watu na mastaa

 Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao. STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa...

READ MORE

Dina: Nitongoze nikushikishe adabu

Nasra Mohamed ‘Dina’ Na imelda mtema Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Nasra Mohamed ‘Dina’ amefunguka kuwa kama...

READ MORE

JB, Ester wanaswa kimahaba gizani

Stori: Musa Mteja,Ijumaa Wasanii wa filamu Bongo, Jacob Steven na Ester Kiama juzikati walinaswa wakiwa kimahaba gizani, jambo lililoibua maswali...

READ MORE

Paul Makonda ‘awatumbua’ Bongo Muvi

Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda akiongea na wasanii wafilamu Bongo. Stori: Musa Mteja,Ijumaa Wasanii wa filamu Bongo, Jacob...

READ MORE

Mama aliwa na mamba mbele ya wanaye!

STORI: Stephano Mango, Wikienda Ruvuma: Inauma sana! Mwanamke Sharifa Makunganya, mkazi wa Kijiji cha Tulingane Kata ya Lukumbule wilayani Tunduru...

READ MORE

Staric amvutisha shisha demu wa Manyika

Stori:  Andrew Carlos Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Richard Sitta ‘Staric’ ameshangaza watu baada ya kuvuja kwa picha zikimuonesha...

READ MORE

Wanaswa kwa kulima bangi, watiwa mbaroni

Stori: Stephano Mango, Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia wakazi wawili wa Vijiji vya Mseto na Liparamba wilayani Nyasa...

READ MORE

Pam D astukia wanaume kumlemaza

Pam D Stori: hamida hassan Binti ambaye sasa hakamatiki kwenye ulimwengu wa muziki Bongo, Pam D amefunguka kuwa, sasa hivi...

READ MORE

Joanitha, Gigy kuchuana kwenye uigizaji

    Fatuma Makame ‘Joanitha   Na Hamida Hassan Staa wa Filamu Bongo, Fatuma Makame ‘Joanitha’ na Video Queen Gift...

READ MORE

Unavyoweza kushindwa kwa sababu ya kuogopa kushindwa

Katika makala zangu nilizowahi kuandika huko nyuma, niliwahi kusema kuwa, mafanikio ni kwa kila mtu. Yeyote anayeweka dhamira ya dhati...

READ MORE

Tiko atamani tatuu, Azuiwa na kifo, dini!

Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan ‘Tiko’. Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan ‘Tiko’ amesema...

READ MORE

Mke, mume wazua timbwili studio za radio

Wakiwa studio. Stori:  Dustan Shekidele, Wikienda Morogoro: Kioja! Mwanamke Betina Kimbe (25) na mumewe, Emmanuel Peter (30), wamezua timbwili ‘hevi’...

READ MORE

Lulu agonganisha mabwana 2 Nigeria

Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ akifurahia ushindi wa Tuzo za African Magic Viewers Choice (AMVCA) zilizofanyika nchini Nigeria hivi karibuni. STORI:...

READ MORE

Vigogo wa unga, Jack Patrick ahojiwa gerezani

Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ . Stori: Sifael Paul na Musa Mateja, Wikienda Dar es Salaam: Kila kona kimenuka! Ule...

READ MORE

Mama Diamond atoa siri ya Zari

Mama Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’ Stori:  Musa Mateja, Wikienda Dar es Salaam: Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu...

READ MORE

Mwanamke Siyo figa, sura hata mbuzi anayo!

Mpenzi msomaji wangu ni Jumatatu nyingine murua tunakutana tena kwenye safu yetu hii ya XXLove kwa ajili ya kupeana elimu...

READ MORE

Kikongwe afariki dunia

Stori:  Mwandishi Wetu, Wikienda Dar es Salaam: Kikongwe Madina Kiumbe, mkazi wa Mwenge, jijini Dar, aliyezaliwa mwaka 1930, huko Ujiji...

READ MORE

Gigy na madai ya kutumia unga, bangi

Stori: MAYASA MARIWATA MUUZA nyago gumzo Bongo kutokana na matukio yake, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amedaiwa kuwa anatumia unga na...

READ MORE