×

Ijumaa

…simulizi inasikitisha

Na Johnson James, IJUMAA GEITA: Usiku wa kuamkia Januari 30, mwaka huu ulikuwa wenye huzuni na simanzi kubwa kwa familia...

READ MORE

Alawi junior amtundika mimba Lady Naa

Msichana wa mjini ambaye pia ni mtangazaji, Nasra Rajesh ‘Lady Naa’ amepewa ujauzito na mwanamuziki Alawi Junior ambapo inadaiwa kuwa...

READ MORE

Masanja aibuka na oparesheni ya mtaani

Maono! ‘Hapa Kazi Tu’ inazidi kushika kasi baada ya Mwimbaji, Mchekeshaji na Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ kuamua kuibuka na...

READ MORE

Who is next? (Nani Anafuata?)

Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’. Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda Dar es Salaam: Who is next (nani anafuatia?) Ndivyo Wabongo wengi...

READ MORE

Mtandao wa waganga kuunganisha watu Freemason

Kiongozi Mkuu wa Freemason Ukanda wa Afrika Mashariki, Sir Andy Chande. Stori: Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha, WIKIENDA DAR ES...

READ MORE

Zari ahofia kuishi Bongo!

Mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady. Stori: MUSA MATEJA, WIKIENDA Dar es Salaam:...

READ MORE

Mama Mke wa Mtu Amwaga Radhi!

Stori: Dustan Shekidele, Ijumaa Morogoro: Aibu! Mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la mama Neema amejitoa fahamu na kumwaga radhi mbele...

READ MORE

Jokate, Kiba Kumwagana, Kumbe Chanzo Mimba

Ali Kiba na Jokate Stori: Hamida Hassan, Ijumaa Dar es Salaam: Wakati mastaa wenzake Bongo, Wema Isaac Sepetu na Kajala...

READ MORE

Wema, Najma Washea Penzi la Idris

Wema Sepetu na baba kijacho wake, Idris Sultan. Stori: Hamida Hassana Ijumaa Ubuyu mpya kabisa uliotua kwenye meza ya dawati hili unadai...

READ MORE

Shetta; Uislam Pembeni, Hereni, Tatuu Fresh tu

Musa mateja Ukiucheki mwili wa Mwanamuziki Shetta, sehemu kubwa utaona umepambwa na michoro ya tatuu huku sikioni akiwa na hereni....

READ MORE

Joyce Kiria wadau wamjia juu, wamtusi

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa hewani kupitia EATV, Joyce Kiria. Hamida hassan Katika siku za hivi karibuni, Mtangazaji...

READ MORE

Mzungu wa Diamond ‘Alizwa’ Simu

Prodyuza mahiri kutoka nchini Norway, Carl Hovind. musa mateja Yamemkuta! Prodyuza mahiri kutoka nchini Norway aliyekuja Bongo kwa lengo la...

READ MORE

Eti mimba ya Kajala nayo figisufigusi, huo sasa utani!

Kajala Masanja. MOJA kati ya majina makubwa katika Bongo Muvi ni Kajala Masanja, ambaye kwa nyakati tofauti amebeba headlines katika...

READ MORE

Mtabiri: Wema atazaa mtoto wa kike

Gladness Mallya WAKATI Wema Sepetu na mpenzi wake, Idris Sultan wakibishana juu ya jinsi ya mtoto atakayezaliwa, mtabiri maarufu Bongo,...

READ MORE

Mrembo yamkuta mazito India, afa

Mariamu Salum akiwa hospitali. Stori:Gabriel Ng’osha na Gladness Malya, Wikienda DAR ES SALAAM: Inauma sana! Mrembo wa Kibongo, Mariamu Salum...

READ MORE

Maiti ya Mbongo kuzuiliwa India, baba bado ahaha!

Stori: Mwandishi Wetu, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Baada ya mtoto Abel Machanga aliyefia India akipata matibabu na maiti yake kuzuiliwa...

READ MORE

Akaunti ya Tiffah yasoma Sh.Mil 200

  Stori: Musa mateja, wikienda Dar es Salaam: Watoto ni Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Wakati akitimiza siku 180 yaani...

READ MORE

Who is the father (Nani baba wa mtoto?)

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Idris Sultan. Stori: Mwandishi Wetu, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Who is the father (nani baba...

READ MORE

Nisha: Nikilala na kuamka na Barakah inatosha

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na ‘Barakah Da Prince. Stori: imelda mtema, Wikienda Dar es Salaam: Staa wa...

READ MORE

Mtoto Amtoa Nishai Sabby

Staa wa Bongo Muvi, Sabrina Omary. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Makubwa! Mtoto wa staa wa Bongo Muvi,...

READ MORE

Diamond aajiri msomi amkatikie mauno!

Mwanamuziki aliyejipatia umaarufu mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Musa mateja, ijumaa Dar es Salaam: Hii ni zaidi ya kufuru! Mwanamuziki...

READ MORE

Davina: Nimezaa sijazeeka na bado nalipa

Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Na Hamida Hassan Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amedai...

READ MORE

Shilole: Amtesa Nuh kwa tatuu

Nuh Mziwanda. Hamida hassan Kama huna taarifa basi kaa ukijua kuwa, lile penzi lililokuwa na sarakasi nyingi, mara wafumaniane, mara...

READ MORE

Ung’eng’e wamrudisha shule Ester

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Na Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama amesema kuwa kutokana na ugumu...

READ MORE

Fedheha! Mke Adaiwa Kuiba Fedha za Vicoba

Mtuhumiwa, Mariam Deogratius Mongela na Chande Abdallah, Ijumaa Dar es Salaam: FADHILA ya Punda Mateke! Hakuna neno zuri linaloweza kutumika...

READ MORE

Mapedeshee, miye siyo ‘maharage ya Mbeya’ – Mariam

Na Hamida Hassan Staa wa filamu ya ‘Best Man’, Mariam Ismail ameibuka na kusema kuwa utulivu wake ndiyo unamfanya awe...

READ MORE

Wema aanza mazoezi ya kulea mtoto

Mwandishi Wetu, Ijumaa Dar es Salaam: Habari ya mjini kwa sasa ni ujauzito wa Wema Isaac Sepetu ambapo inadaiwa kuwa...

READ MORE

Joanita Alia na Wanunuzi wa Filamu Feki

Na Mwandishi Wetu Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’ amesema kuwa, filamu yake mpya ya Nitakufa Kwa Ajili Yako...

READ MORE

Wastara atengwa Bongo Muvi

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA, IJUMAA DAR ES SALAAM: Baada ya staa wa...

READ MORE

Saluni za ngono, kimenuka Dar

Muhudumu wa mija ya saruni akijificha kuikimbia kamera. Issa Mnally na Chande Abdallah, IJUMAA DAR ES SALAAM: Kweupee! Oparesheni Fichua...

READ MORE

Kidoa, Samatta wanaswa

Video Queen Asha Salum ‘Kidoa’ akipozi na Samatta.  Waandishi wetu, Ijumaa DAR ES SALAAM: Baada ya hivi karibuni Video Queen...

READ MORE

Anti Lulu afurahia Wastara kuolewa

Mwanadada Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. NA HAMIDA HASSAN MWANADADA Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ameweka wazi kuwa, amefurahishwa na Anti Lulu aliyewahi...

READ MORE

OFM Yashuhudia Live Mgonjwa Akifa Mapokezi

Ndugu wa marehemu wakilia kwa simanzi kubwa. Stori: OFM, WIKIENDA Morogoro: Inauma sana! Kile Kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...

READ MORE

Kidoa umbo lake matata lampa wakati mgumu

Muuza nyago anayeshikilia Taji la The Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’. Imelda mtema Ni shedah! Muuza nyago anayeshikilia...

READ MORE

Mazito yaibuka ndoa mpya ya Wastara

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akiwa na mumewe.Sadifa Juma. Dar es Salaam: HAYA ni mazito! Nyuma ya shughuli...

READ MORE

Zari ampeleka Tiffah kufanyiwa tambiko

Zarinah Hassan ‘Zari’ akichochea kuni.   Stori:Musa Mateja,  DAR ES SALAAM: Utamaduni! Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Jennifer Mgendi, Mussa Banzi wang’ang’aniwa lokesheni

Gabriel Ng’osha Kanga foto! Staa wa sinema na nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na mwigizaji mwenzake, Mussa Banzi walijikuta waking’ang’aniwa...

READ MORE

Mkongo Awamaliza Mastaa

Pedeshee Mkongo, Rajab Mwami Mwandishi wetu Pedeshee Mkongo anayefahamika kwa jina la Rajab Mwami, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...

READ MORE

OFM yatumbua jipu Hospitali ya Palestina

Taa za chooni zikiwa haziwaki. Chande Abdallah na Boniface Ngumije Kwa mara nyingine, kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...

READ MORE

Bomoabomoa, Wastara azimia mara 2

Wastara akiwa na hudhuni baada ya nyumba zake kuwekewa X. Hamida Hassan na Richard Bukos MAJANGA! Bomoabomoa inayoendelea jijini Dar...

READ MORE