×

Ijumaa

Pam D: Nikivaa nguo ndefu nawashwa

Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D. Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D amesema watu wasimshangae kwa kupenda kuvaa...

READ MORE

Kichupa cha ‘Utanipenda’ cha Diamond nyuma ya pazia

Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa  kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda. Staa...

READ MORE

Wastara auza vitu vyake vya ndani

Wastara Juma. Imelda mtema Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo...

READ MORE

Aunt Lulu, huko ni kujirahisi kulikopitiliza!

LULU Mathias Semagongo ndilo jina lake halisi, lakini watu wa burudani wanamfahamu zaidi kama Aunt Lulu. Ni binti mmoja mdogo...

READ MORE

Wema amuingiza mkenge Diamond

Staa wa Bongo, Wema Sepetu. MAPYA tena! Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo, Wema Sepetu kuuvaa msala wa kudaiwa...

READ MORE

Wema anaswa wizi wa maji

Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu. Kulwa Mwaibale na Musa Mateja Ufisadi? Wakati soo lake la kubambwa na...

READ MORE

Mrembo huyu amchokonoa Jokate kwa Kiba

Ali Saleh Kiba akipozi na mrembo huyo. Imelda mtema Habari ikufikie kuwa staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’...

READ MORE

‘Baba mzazi ananitaka kimapenzi’

Binti huyo akiwa amekaa kwenye kiti. Dustan Shekidele, Moro Fedheha! Binti mwenye umri wa miaka 17 (jina linahifadhiwa kimaadili) Amelia...

READ MORE

Joanita ala kichapo kutoka kwa mumewe

Imelda Mtema Haijakaa poa! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’ anadaiwa kula kichapo ‘hevi’ kutoka kwa mumewe, usiku wa...

READ MORE

Waziri wa Magufuli aacha gumzo!

Naibu waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi, Eng. Stella Manyanya. Gabriel Ng’osha MMOJA wa manaibu waziri waliochaguliwa na...

READ MORE

Wema, JB wamuigiza Diamond

Wema Isaac Sepetu. Deogratius Mongela na Mayasa Mariwata  Wamerudi! Mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacob Steven...

READ MORE

Mama atia ngumu Lulu kuondoka nyumbani

IMELDA MTEMA Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka...

READ MORE

kicheko, kilio ni sehemu ya mapenzi-2

Mpenzi msomaji ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye safu yetu hii ya maisha na uhusiano ya XXLove.Wiki hii ni muendelezo wa...

READ MORE

E bwana dah! Baby Madaha kafulia, ‘timing’ au nini?

Mwanamuziki Baby Madaha. MWANDISHI WETU Mwanamuziki Baby Madaha ambaye pia anafanya filamu yupo kimya, haijulikani kama kafulia, anakula ‘timing’ au...

READ MORE

Fundi anaswa na denti chumbani

Sadiq akiwa haamini baada ya kufumaniwa na mwanafunzi. Richard Bukos na Issa Mnally Kibano! Licha ya Rais John Pombe Magufuli...

READ MORE

Usafi Dar; Mateja waacha unga, waungana na Rais Magufuli

Rais John Magufuli akifanya usafi. Na Mwandishi Wetu Baadhi ya vijana wanaodaiwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya ‘Mateja’ wenye...

READ MORE

Mwanamke msagaji amlainisha Kidoa kwa Gari, Nyumba

Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Asha Salum ‘Kidoa’. Mayasa Mariawata Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya...

READ MORE

Wastara: najuta starehe zimeniponza

MAYASA MARIWATA STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa...

READ MORE

Aunt lulu alazimisha penzi kwa Koffi Olomide

Staa asiyekaukiwa na vituko, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. Hamida Hassan Staa asiyekaukiwa na vituko, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameonekana kulazimisha...

READ MORE

Rayuu afungukia kujiuza nje

Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. MAYASA MARIWATA MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefungukia ishu ya mastaa...

READ MORE

Jamaniee! mnaisoma namba ndo kwanza siku 33

Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’. Mwandishi wetu WANAISOMA namba! Ni siku 33 tu (leo), tangu Rais Dk. John Pombe...

READ MORE

Mlinzi akata roho gesti!

Polisi akiupiga picha mwili wa marehemu. SIMANZI! Ramadhan Mohamed Duku (52), mkazi wa Mji Mpya mjini hapa amekutwa akiwa amekufa...

READ MORE

Mbwa wa Wema kufuru!

Mmoja wa Mbwa anaofugwa na Wema. Musa mateja KUFURU! Mbwa wanaofugwa na bosi wa Endless Fame, Wema Isaac Sepetu, wamedaiwa...

READ MORE

Isha Mashauzi, Tevez mahaba upya

Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’. Richard BukosPenzi la dhati halifi! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike miaka kadhaa iliyopita,...

READ MORE

Najma ajiachia kimahaba

Najma Dattan ‘Naj’ akiwa na Emmanuel Chaula ‘Ice Boy’. STORI: GABRIEL NG’OSHA KHA! Picha za sexy lady kwenye Bongo Fleva, Najma...

READ MORE

Mama: Lulu nataka mjukuu

Mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila. STORI: BRIGHTON MASALU KUTOKA moyoni! Lucresia Karugila ni mama mzazi wa staa wa tasnia...

READ MORE

Aunt, Wema sasa wanazingua

Aunt Ezekiel STORI: IMELDA MTEMA MIZINGUO! Mastaa wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na Wema Isaac Sepetu, wanadaiwa kuwazingua...

READ MORE

Kidoa, Giggy pachimbika

Gift Stanford Giggy Money’. STORI: GABRIEL NG’OSHA PAMECHIMBIKA! Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya...

READ MORE

Yamoto, Kayumba wapo tayari kukinukisha Dar Live

STORI: ANDREW CARLOS MAMBO yameiva! Bendi funika bovu Bongo, Yamoto na Mshindi wa Bongo Star Search (BSS 2015), Kayumba Juma...

READ MORE

Zari amkuwadia dogo wa Diamond kwa Huddah!

Zarinah Hassan ‘Zari’. Musa mateja Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ anadaiwa kumkuwadia dogo anayeishi na kufanya...

READ MORE

Wastara akwaa jinamizi loa usagaji!

Nyota wa filamu nchini, Wastara Juma. Mayasa Mariwata na Andrew Carlos Jinamizi la usagaji limetua kwa nyota wa filamu nchini,...

READ MORE

Unatafutaje umaarufu ili ufanye utapeli, umalaya?

Za Chembe Lazima Ukae Ojuku Abraham, +255 719 786 355 MIAKA kadhaa ya kufanya kazi na watu wenye majina makubwa,...

READ MORE

Pacha wa Wema ni gumzo!

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akiwa na pacha wake. Hamida Hassan Ule msemo kwamba duniani ni wawiliwawili umeonekana kuwa...

READ MORE

Mike ampata mrithi wa Thea

Staa wa filamu za Kibongo Mike Sangu akiwa na mpenzi wake huyo mpya. Hamida Hassan Baada ya kimya cha muda...

READ MORE

E bwana dah! Moze Iyobo  hoi kwa busu

Musa Mateja Hii iliwashangaza wengi, ilikuwa pale Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo Moze Iyobo na  mchumba wake, Aunt Ezekiel...

READ MORE

‘Magufuli ni noma’

Sheila Mwanyiga. Mwandishi wetu Utendaji wa Rais John Magufuli ni noma na umekuwa ukifagiliwa kila kona. Hii siyo kwa Tanzania...

READ MORE

OFM yanasa bangi ikilimwa kando ya kituo cha biashara!

Viongozi wa Serikali wakiing’oa bangi hiyo. Waandishi wetu Kweli hii ni kali! Kile kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...

READ MORE

Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy Money. Hamida Hassan Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money anasema ukiwa na kipaji cha kuimba...

READ MORE

Yamoto Band kuachia mpya Des. 19 Dar Live

Musa Mateja BAADA ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, bendi inayotikisa kila kona, Yamoto inatarajia kushusha ngoma mpya...

READ MORE

Mtoto atibua ndoa ya Vanitha

Hamida Hassan Ndoa ya staa wa Filamu Bongo, Vanitha Omary juzikati ilitibuka baada ya mtoto anayeitwa Evrah kufananishwa na mumewe...

READ MORE