×

Kimataifa

Lavrov Azuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Atajwa Pia Kutua Uganda

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov amezulu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni muendelezo wa...

READ MORE

Jeshi Nchini Myanmar Lawanyonga Wanaharakati Wanne wa Demokrasia

WANAHARAKATI wanne wa Demokrasia wa nchini Myanmar akiwemo mbunge wa zamani wameuawa kwa kunyongwa na Jeshi la nchi hiyo kutokana...

READ MORE

Mike Tyson Asema Siku Yake ya Kufa Imekaribia, Atoa Ushuhuda kwa Daktari Wake

MWANAMASUMBWI mkongwe kutoka Marekani, Mike Tyson ameushangaza ulimwengu baada ya kudai kwamba kila mara anapotafakari kuhusu maisha yake siku hizi,...

READ MORE

Shirika la Afya Duniani Latangaza Homa ya Nyani Kuwa Tishio la Afya Ulimwenguni

SHIRIKA  la Afya Duniani WHO limeutangaza mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nyani ambao tayari umeathiri zaidi ya watu 17,000...

READ MORE

Mjane wa Gaddafi Akata Rufaa Nchini Malta Kupinga Mabilioni ya Pesa Kurudi Libya

MJANE wa aliyekuwa Rais wa Libya Hayati Muammar Gaddafi amekata rufaa ya maamuzi ya Mahakama ya nchini Malta iliyoidhinisha kiasi...

READ MORE

Bindu, Mwanamke wa Kihindi Aliyejioa Mwenyewe, Ashawishiwa na Muvi ya Netflix

MWANAMKE mmoja anayefahamika kwa jina la Kshama Bindu raia wa India mwenye umri wa miaka 24 amekuwa gumzo mitandaoni baada...

READ MORE

Rais Biden Akutwa na Covid-19, Taarifa Yatikisa Ikulu ya Marekani

RAIS wa Marekani Joe Biden ameripotiwa kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Covid-19 hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Sri Lanka Yashuhudia Uapishwaji wa Rais Mpya, Apewa Matarajio Makubwa

RAIS mpya wa Sri Lanka Rani Wickremesinghe ameapishwa leo kufuatia maadamano makubwa ya umma yaliomlaazimisha mtangulizi wake kuikimbia nchi. Kuapishwa...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italia Atangaza Kujiuzuru, Ugumu wa Maisha Watajwa kama Sababu

WAZIRI Mkuu wa Italia Mario Draghi amethibitisha kutuma barua kwa rais wa nchi hiyo Sergio Mattarella kutaka kujiuzuru wadhifa wake...

READ MORE

Zaidi ya Watoto 358 Waripotiwa Kuuawa Kwenye Vita ya Urusi na Ukraine

RIPOTI mpya ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Ukraine imebainisha kuwa jumla ya watoto 358 wameripotiwa kuuawa katika vita inayoendelea...

READ MORE

Padri Mmoja Aliyetekwa Nyara Akiwa na Wenzake Auawa kwa Kupigwa Risasi Nigeria

  PADRI mmoja wa Kanisa la Katoliki anayefahamika kwa jina la John Mark Cheitnum ambaye alitekwa nyara akiwa na wenzake...

READ MORE

Nchi ya Uingereza Yaweka Rekodi Mpya ya Ongezeko la Joto, Watano Waripotiwa Kufariki

NCHI ya Uingereza imeweka rekodi mpya ya ongezeko la joto hadi kufikia kiasi cha 40.2C katika Jiji la London kufikia...

READ MORE

Putin Kukutana na Rais wa Iran na Uturuki Kujadili Mustakabali wa Syria na Ukraine

RAIS wa Urusi Vladimir Putin anatarajiwa kukutana na rais wa Iran Ebrahim Raisi huko Tehran katika kikao ambacho pia kitamhusisha...

READ MORE

Unyayo wa Dinosaur Mwenye Miaka Milioni 100 Wagundulika nchini China

KATIKA moja ya Mgahawa Kusini-Magharibi mwa nchi ya China umegundulika unyayo wa Dinosaur anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka milioni...

READ MORE

Rais wa Ukraine Awafuta Kazi Mkuu wa Ujasusi na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali

RAIS wa Ukraine Volodymir Zelenskiy amewafuta kazi mkuu wa huduma za ujasusi na mwendesha mashtaka mkuu wa serikali  huyo amesema...

READ MORE

Muuza Madawa ya Kulevya Maarufu wa Mexico Rafael Quintero Akamatwa

Mamlaka nchini Mexico zimemkamata mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya Rafael Caro Quintero, ambaye alikuwa kwenye orodha ya FBI ya...

READ MORE

Mfungwa Aliyewapa Wenzake Mimba Ahamishwa Gereza, Kuzuia Asije Akawapa Wengine

  MFUNGWA Demi Minor (27), ambaye miezi michache iliyopita alizusha gumzo kubwa baada ya kuwapa ujauzito wafungwa wenzake katika Gereza...

READ MORE

Rais Joe Biden Akutana na Viongozi wa Mataifa ya Kiarabu Jeddah Saudi Arabia

RAIS wa Marekani Joe Biden leo anatakuna na viongozi wa mataifa ya kiarabu kwenye mji wa mwambao wa Jeddah nchini...

READ MORE

Mke wa Zamani wa Donald Trump, Ivana Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 73

MKE wa kwanza wa  Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, Ivana Trump amefariki dunia Julai 14, 2022 nyumbani kwake ...

READ MORE

Msuva: Rais wa Timu Alikuwa Hapokei Simu Zangu, Nilimuombea Afe

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva ambaye alikuwa akikipiga katika Klabu ya Raja Casablanca amefunguka magumu aliyoyapitia...

READ MORE

Ahukumiwa kwa Kesi ya Kumbaka Mtoto wa Miaka 10, Ambaye alikataliwa Kutoa Ujauzito

MWANAUME mmoja katika mji wa Ohio nchini Marekani amehukumiwa kwa kosa la ubakaji baada ya kumpatia ujauzito binti mwenye umri...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka Atoroka Nchi kwa Kutumia Ndege ya Jeshi, Ndugu Yake Atimkia Marekani

RAIS wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa (73) ametoroka nchi yake kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi hiyo akiwa yeye...

READ MORE

Twitter Kumshitaki Elon Musk Baada ya Kujitoa katika Dili la Kununua Kampuni Hiyo

BODI ya Wakurugenzi wa Mtandao wa Twitter wamesema wanatarajia kumfungulia kesi Mahakamani Bilionea na Tajiri namba moja duniani Elon Musk...

READ MORE

Utata Kifo cha Rais Dos Santos Maiti Yake Kuchunguzwa, Mawakili Watoa Tamko Zito

MAHAKAMA mjini Barcelona imeidhinisha uchunguzi wa mwili wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos ufanyike.   Alifariki katika...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Uingereza Athibitisha Kugombea Nafasi ya Waziri Mkuu Iliyoachwa Wazi

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Liz Truss amethibitisha nia yake ya kugombea nafasi ya Waziri...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka na Waziri Mkuu Wajiuzulu Kufuatia Maandamano Makubwa Kupinga Ugumu wa Maisha

SPIKA wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa...

READ MORE

Maelfu ya Wandamanaji wa Sri Lanka Wavamia Ikulu Kupinga Ugumu wa Maisha

MAELFU ya waandamanaji wamevamia makazi ya Rais Gotabaya Rajapaksa katika mji mkuu wa  Sri Lanka waandamanaji kutoka maeneo yote ya...

READ MORE

Kundi la Boko Haram Lavamia Gereza na Kuwaachia Huru Wafungwa Zaidi ya 600

TAARIFA kutoka nchini Nigeria zinaarifu kwamba wanamgambo wa kundi la Boko Haram juzi walivamia gereza moja nchini humo na kuwafungulia...

READ MORE

Mfalme wa Cocaine wa Milan Arudishwa Italia Baada ya Kukamatwa Brazil

MMOJA wa watu wanaosakwa sana nchini Italia, Rocco Morabito, amelabidhiwa kwa serikali ya Italia huko Roma baada ya kusafirishwa kutoka...

READ MORE

Msafara wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari Washambuliwa kwa Risasi

WATU  wenye silaha wameshambulia msafara wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari huko Katsina, jimbo anakotoka kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa...

READ MORE

Wakimbizi 22 Raia wa Mali Wafariki Dunia Wakiwa kwenye Boti Kuelekea Nchini Libya

JUMLA ya watu 22 waliothibitishwa kuwa ni raia wa nchi ya Mali wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukwama baharini kutokana...

READ MORE

Anunua Ice Cream ya Kopo na Kukuta Chura Ameganda, Adai Imetoka Kama Ilivyo Kiwandani

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Tracy Wiemelt Holtman yamemkuta baada ya kununua Ice cream dukani lakini alipofungua bakuli husika...

READ MORE

Droni Zanaswa Zikisafirisha Dawa za Kulevya Nchini Hispania, Zinabeba Hadi Kilo 200

JESHI la Polisi nchini Hispania wamekamata droni tatu zisizo na rubani za kutumiwa chini ya maji zilizotengenezwa kusafirisha dawa za...

READ MORE

Meya Afunga Ndoa na Mamba, Ambusu Mdomoni kama Ishara ya Upendo

TUKIO la kustaajabisha limetokea huko San Pedro nchini Ufilipino ambapo Meya wa eneo hilo anayefahamika kwa jina la Victor Hugo...

READ MORE

Akaunti za Twitter na Youtube za Jeshi la Uingereza Zadukuliwa, Jeshi Kufanya Uchunguzi

AKAUNTI za mitandao ya kijamii ya Twitter pamoja na Youtube za Jeshi la Uingereza zimedukuliwa na watu wasiojulikana huku zikionesha...

READ MORE

Kijana wa Miaka 22 Atiwa Nguvuni kwenye Mauaji ya Copenhagen, Denmark

  IMEBAINIKA kuwa kijana mwenye umri wa miaka 22, ametiwa nguvuni baada ya kubainika kuwa ndiye mhusika wa shambulio la...

READ MORE

Balozi Maimuna Tarishi Atoa Ufafanuzi Kuhusu Pori Tengefu la Loliondo Akiwa Ughaibuni

BALOZI Maimuna Tarishi, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva alimpongeza Bi. Michelle Bachelet...

READ MORE

Watatu Wafariki na Maelfu Hatarini Kutokana na Kusitishwa kwa Misaada ya Chakula Sudani Kusini

WATOTO wawili na mtu mzima mmoja wameripotiwa kufariki kutokana na njaa ikiwa ni baada ya Umoja wa Mataifa kupitia Programu...

READ MORE

Waandamanaji Nchini Libya Wapiga Mawe Jengo la Bunge, Wadai Katiba Mpya

KIKUNDI cha waandamanaji katika Mji Mkuu wa Libya, Tripoli wamepiga mawe Jengo la Bunge ikiwa ni sambamba na kuchoma moto...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Israel Aachia Madaraka, Netanyahu Ajipanga Kurudi Madarakani

ISRAEL imemtangaza Yair Lapid kama Waziri Mkuu mpya wan chi hiyo akichukua nafasi ya Waziri Mkuu Naftali Bennett aliyakaa madarakani...

READ MORE