WAZIRI MKUU wa Uingereza Boris Johnson anatarajiwa kupigiwa kura ya kukosa Imani na wabunge wa Chama chake cha Conservative. ...
READ MOREZAIDI ya watu 50 wanahofiwa kufariki baada ya watu watano waliokuwa na silaha kuwafyatulia risasi waumini wa Kanisa la Mt....
READ MORENCHI ya Uturuki imefikia uamuzi wa kubadili jina lake linalotambulika siku zote la Turkey na sasa itafahamika kama Turkiye. ...
READ MOREMKUU wa Usalama wa zamani wa Afrika Kusini Arthur Fraser amemfungulia mashitaka ya kosa la jinai Rais wa nchi hiyo...
READ MOREKWENYE kipindi cha mahojiano alichofanya na Televisheni ya Ufaransa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amekanusha tuhuma...
READ MORESERIKALI ya Marekani ipo kwenye mpango wa kuipatia Ukraine mfumo wa kurusha roketi nyingi za masafa marefu unaojulikana kama M270...
READ MOREUBELGIJI itamrudishia rasmi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi jino ambalo Kamishna wa Polisi wa Ubelgiji anadai...
READ MOREKANSELA wa Ujerumani Olaf Scholz amekutwa katika hali ya mshangao baada ya kuzomewa na wananchi wa mji wa Dusseldorf kutokana...
READ MOREKatika kuonyesha mwanamke anatimiza ndoto na kuwa kinara katika jamii bila kuwa na changamoto mbalimbali zitakazo mkatisha tamaa katika kufikia...
READ MORERAIS wa Marekani Joe Biden amesaini mswada uliopitishwa na Bunge la Seneti la Marekani wenye thamani ya dola bilioni 40...
READ MOREKITUO cha kijeshi cha Lviv nchini Ukraine kimeharibiwa vibaya na shambulio la kombora la Urusi, Gavana wa eneo hilo, Maksym...
READ MOREFINLAND imesema haiogopi vitisho vya Urusi na kudai kwamba kuungana kwao na Muungano wa Kijeshi wa NATO utaleta thamani kubwa,...
READ MORERAIS wa Palestina Mahmoud Abbas amedai anafikiria kuipeleka kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la...
READ MORESWEDEN imethibitisha kuwa itawasilisha maombi ya kuwa mwanachama wa NATO katika mabadiliko makubwa ya kihistoria kutokana na uvamizi wa Urusi...
READ MOREEMMERSON Mnangagwa; ni Rais wa Zimbabwe ambaye amezindia shamba kubwa la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya Dola...
READ MOREFINLAND imethibitisha Urusi kuikatia huduma ya umeme, Kampuni ya usambazaji wa umeme nchini Finland ya Fingrid imethibitisha kuwa hakuna tena...
READ MOREKOREA KASKAZINI imeripoti vifo vya watu 21 kutokana na tatizo la Uviko-19 ambalo limeingia nchini humo ikiwa ni siku ya...
READ MOREMAZISHI yanafanyika leo ya mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh aliyeuawa na majeshi ya Israel nchini Palestina katika kambi...
READ MOREMAMLAKA mjini Kiev nchini Ukraine imekamata mali za benki kuu mbili za Urusi nchini humo ambazo ni Sberbank na VEB.RF....
READ MORETWITTER imewatimua kazi Mameneja wawili wa ngazi ya juu na kusitisha ajira ikiwa ni mpango wake wa mabadiliko chini ya...
READ MORERAIS wa Finland Sauli Niinisto ametangaza nchi yake kujiunga na Jumuiya ya Umoja wa kujihami wa Mataifa ya Magharibi (NATO),...
READ MOREMTANZANIA Rogers Kyaruzi mwenye umri wa miaka (30), aliyehamia Marekani akiwa mdogo, ametambulika kuwa ndiye aliyeuawa kwa kupigwa risasi na...
READ MORESERIKALI ya Taliban imepiga marufuku kwa wanawake nchini humo kutembea bila kuvaa Nikabu (Nguo maalumu ya kuficha uso) katika maeneo...
READ MOREKOREA KASKAZINI imefyatua kombora jingine kutoka kwenye nyambizi ya kivita ambalo limesafiri na kutua nje kidogo ya eneo la kiuchumi...
READ MOREVIKOSI vya majeshi ya Marekani, Uingereza, Latvia na Estonia vimefanya mazoezi ya pamoja Magharibi mwa nchi ya Finland. Katibu...
READ MOREUMOJA wa Ulaya umeibuka na mpango wa kuiwekea vikwazo vingine nchi ya Urusi kuhakikisha inapigwa marufuku kuuza mafuta barani Ulaya...
READ MORERAIA mmoja katika Jiji la Shanghai nchini China amepelekwa mochwari kwa bahati mbaya akidhaniwa ni maiti kumbe bado yupo hai...
READ MOREMajeshi ya Urusi katika mji unaoshikiliwa na majeshi hayo wa Melitopol yamegundulika kuiba Trekta la mkulima mmoja nchini Ukraine lenye...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Tiverton na Honiton nchini Uingereza Neil Parish yupo chini ya uchunguzi kutokana na kitendo chake cha...
READ MORERAIS mahasimu wanatarajiwa kukutana katika mkutano wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani G20 unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu....
READ MOREMAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutwa na Korona, taarifa imetolewa na Ikulu ya Marekani. Makamu huyo wa Rais...
READ MORERAIA mmoja nchini Urusi anayefahamika kwa jina la Ruslan Akhtyamov mwenye umri wa miaka 26 amevamia shule moja ya wali...
READ MOREKAMA wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii, bila shaka utakuwa umeshakutana na video zinazomuonesha ‘Spiderman wa mchongo’ anayecheza Taarab...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempongeza rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya kushinda kwenye...
READ MOREDANYA SVOBODA ni bibi harusi ambaye yeye na mhudumu wake, Joycelyn Bryan wamekamatwa na Polisi huko Florida nchini Marekani baada...
READ MOREWIZARA ya mambo ya nje ya Zambia, imethibitisha kuwa mwanafunzi wa Zambia anayesoma nchini Urusi amekamatwa Jumapili iliyopita kwa kucheza...
READ MORERAIS Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center...
READ MORERIPOTI kutoka Ukraine zinasema taifa hilo limepokea ndege za kivita kutoka Marekani kwa ajili ya kujilinda katika uvamizi unaofanywa na...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani amepata fursa...
READ MORE