×

Kimataifa

Kirusi Kipya Chawapata Watu 35 China Mashariki, Watafiti Wathibitisha Athari Zake

WANASAYANSI wanafuatilia kirusi kipya kilicho athiri watu wengi mashariki mwa China, Novel Langya henipavirus (LayV) kimepatikana kwa wagonjwa 35 katika...

READ MORE

Trump Awaka Kupekuliwa na FBI, Adai ni Njama za Kumrudisha Nyuma Kisiasa

FBI ilipekua makazi ya Donald Trump ya Mar-a-Lago kama sehemu ya uchunguzi wa kama alichukua nyaraka za siri kutoka Ikulu...

READ MORE

Rais Zelensky Asema Vita Vilianza na Crimea na Lazima Viishe kwa Ukombozi Wake

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema vita kati ya Urusi na nchi yake vilianzia katika ukamatwaji wa Jimbo la Crimea...

READ MORE

Ndege Yalipuka Wakati Ikitua Jijini California, Rubani na Abiria Wanusurika

    RUBANI pamoja na abiria waliokuwa kwenye ndege ndogo yenye injini moja wamenusurika kifo baada ya ndege hiyo kulipuka...

READ MORE

Maafisa 8 wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya Wakamatwa

MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya...

READ MORE

Sera ya Uchumi Yawa Gumzo kinyang’anyiro cha Urais nchini Kenya

WAGOMBEA Urais nchini Kenya, Ruto na Odinga waahidi kuleta mabadiliko nchini Kenya kwenye masaibu yanayowakumba wakenya kwa sasa.   Theluthi...

READ MORE

Idadi ya Vijana Waliojitokeza katika Uchaguzi Nchini Kenya Yawa Ndogo

TUME ya uchaguzi nchini Kenya, yasema idadi ya vijana waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi ni ndogo kulingana na matarajio ya...

READ MORE

Raia wa Nchini Kenya Wanapiga Kura Leo Kumchagua Mrithi wa Uhuru Kenyatta

NCHI ya Kenya leo Agosti 9, 2022 inafanya uchaguzi wake mkuu kutafuta mrithi wa kiti cha Rais atakayechukua nafasi ya...

READ MORE

Israel na Palestina Zakubaliana Kusitisha Mapigano katika Ukanda wa Gaza

ISRAEL na Palestina zimefikia makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda wa Gaza kufuatia mashambulizi yaliyotekelezwa na majeshi ya Israel kuelekezwa...

READ MORE

Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo

MSAIDIZI Mkuu wa Rais wa Uturuki amesema kuwa jumuiya ya kimataifa haiwezi kumaliza vita nchini Ukraine kwa kuipuuza Moscow.  ...

READ MORE

Gavana wa Benki Kuu Uingereza Atetea Ongezeko la Viwango vya Fedha

GAVANA wa Benki kuu ya Uingereza Andrew Bailey, ametetea uamuzi wake wa kuongeza viwango vya riba, Viwango vya riba vilipanda...

READ MORE

Balozi wa Marekani Aionya Afrika Kununua Mafuta Kutoka Urusi

BALOZI wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas Greenfield, amesema kuwa Mataifa ya Afrika hayapaswi kununua mafuta kutoka katika...

READ MORE

Waasi Wanaoungwa Mkono na Urusi Wadai Kudhibiti Kijiji cha Mashariki mwa Ukraine

VIKOSI vya Waasi wanaoungwa mkono na Urusi, vimechukua udhibiti kamili wa Kijiji cha Pisky kilicho nje kidogo ya Mji wa...

READ MORE

Uingereza Yashutumu Harakati za Urusi Katika Kiwanda cha Kuzalisha Nyuklia cha Zaporizhzhia

UINGEREZA imesema kuwa, hatua zilizochukuliwa na Urusi kwenye kinu cha Nyuklia cha Zaporizhzhia huenda zikahatarisha na kudhoofisha usalama wa kiwanda...

READ MORE

China Yaanza Mazoezi ya Kijeshi Yasiyo na Kifani Kuizunguka Taiwan

CHINA imeanza mazoezi makubwa ya Kijeshi ya Baharini na Angani, kuzunguka Kisiwa kinachojitawala cha Taiwan saa chache baada ya Spika...

READ MORE

Zelensky Amuangukia Rais wa China Kutatua Vita Yake na Putin

RAIS wa Ukraine Volodimir Zelensky ameomba kwa mara nyingine kuonana ana kwa ana na Rais wa Jamhuri ya China Xi...

READ MORE

Jeshi la Burkina Faso Lakiri kuwaua Raia Katika Uvamizi wa Anga

JESHI la Burkina Faso limesema liliwaua Raia kwa bahati mbaya wakati wa Oparesheni ya Kijeshi Kusini Mashariki mwa nchi hiyo...

READ MORE

DRC Kuharakisha Kuondoka kwa Wanajeshi wa UN Nchini Humo

SERIKALI ya DRC Congo imesema kuwa inatumai itaharakisha kuwaondoa Wanajeshi wanaolinda Amani wa Umoja wa Mataifa wa MONUSCO nchini humo....

READ MORE

China Yaiwekea Vikwazo vya Biashara Taiwan Kufuatia Ziara ya Pelosi

NCHI za China na Taiwan zimeingia katika mgogoro mkubwa wa kibiashara kufuatia ziara ya Spika wa Bunge la Congress la...

READ MORE

Amuua Mama Yake Mzazi kwa Kumchoma Kisu Zaidi ya Mara 80, Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela

KIJANA mwenye umri wa miaka 19 Aaron Matthew raia wa nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha maisha Jela baada ya kukubali...

READ MORE

China Ipo Tayari Kutumia Nguvu za Kivita Endapo Mjumbe wa Marekani Ataingia Taiwan

IKULU ya White House imeonya kuwa China inaweza kutumia matumizi ya zana za kivita ikiwemo kurusha makombora, ndege pamoja na...

READ MORE

Biden: Hatimaye Haki Imepatikana Baada ya Kumuua Gaidi wa Al Qaeda

RAIS wa Marekani Joe Biden amelihutubia Taifa hilo na kutoa kauli nzito juu ya kifo cha kiongozi wa kundi la...

READ MORE

Muuaji Nchini Marekani Auawa Licha ya Ombi Kutoka kwa Muathiriwa Kutaka Kumuokoa

MFUNGWA Nchini Marekani aliyejulikana kwa majina Joe Nathan James, ambaye alimuua mpenzi wake wa zamani Miongo kadhaa iliyopita amenyongwa.  ...

READ MORE

Bilionea wa Ukraine Auawa Katika Shambulio Lililotekelezwa na Urusi

BILIONEA maarufu nchini Ukraine Oleksiy Vadatursky ameuawa yeye pamoja na mke wake Raisa kufuatia shambulio lililotekelezwa na majeshi ya Urusi...

READ MORE

Moto wa Mckinney Waenea kwa Kasi Kaskazini mwa Jimbo la Califonia

MAMIA ya wazima moto huko California wapambana na Moto mkubwa zaidi wa Mwituni unaoendelea kuenea katika Jimbo la Kaskazini Nchini...

READ MORE

Walinda Amani Umoja wa Mataifa Wafyatua Risasi na Kuua Raia Nchini Congo

WATU wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya wanachama wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Jamhuri ya...

READ MORE

Hispania na Brazil Zatangaza Kesi ya Kwanza ya Kifo cha Homa ya Nyani

NCHI za Hispania na Brazil zimetangaza kesi za kwanza za vifo vya homa ya nyani tangu mlipuko wa ugonjwa huo...

READ MORE

Urusi Yasema Wafungwa 40 wa Ukraine Wameuawa Katika Mlipuko Uliofanywa na Vikosi vya Jeshi la Ukraine

WIZARA ya Ulinzi ya Urusi imesema wafungwa 40 wa Ukraine wameuawa, kwa shambulio la makombora ya Ukraine katika Gereza moja...

READ MORE

Uchunguzi wa Mauaji ya Msichana wa Miaka Tisa Aliyechomwa Kisu Lincolnshire, Uingereza Wafunguliwa Rasmi

UCHUNGUZI wa Mauaji umeanzishwa baada ya msichana wa Miaka Tisa kufariki kutokana na jeraha la kudungwa na kisu huko Boston...

READ MORE

Rais wa China Amuonya Rais wa Marekani, Amtahadharisha Asicheze na Moto

RAIS wa China Xi Jinping amemuonya Rais mwenzie wa Marekani Joe Biden achukue tahadhari kuhusu kuchezea moto kwa kujiingiza katika...

READ MORE

Raia wa Uingereza Wafariki Dunia Nchini Bangladesh kwa Kupewa Sumu

BABA Pamoja na Mtoto wake raia wa Uingereza wamefariki dunia nchini Bangladesh kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni sumu kama alivyoripoti...

READ MORE

Mamilioni Wawekwa Lock Down China Baada Ya Kugundulika Visa Vinne Vya Covid-19

WATU milioni moja katika Jimbo la Wuhan nchini China, ambapo kirusi cha Covid 19 kiligunduliwa kwa mara ya kwanza Mwaka...

READ MORE

Kim Jong-Un Asema Korea Kaskazini Iko Tayari Kuhamasisha Vikosi Vya Nyuklia

RAIS wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amesema kuwa Korea Kaskazini iko tayari kuhamasisha vikosi vyake vya Nyuklia kupambana na nchi...

READ MORE

Sumu ya Pombe Yaua Watu 31 Katika Jimbo la India la Gujarat

WATU 31 wameripotiwa kufariki kutokana na sumu ya pombe katika eneo la magharibi mwa India katika Jimbo la Gujarat.  ...

READ MORE

Angola Yapata Almasi Kubwa Zaidi na Adimu Katika Miaka 300

WACHIMBAJI wa migodi kaskazini mashariki mwa Angola, wamegundua Almasi kubwa ya aina yake ambayo haijawahi kugunduliwa katika miaka 300.  ...

READ MORE

Zaidi ya Wahamiaji 1,200 Waokolewa Katika Bahari ya Mediterania

  ZAIDI ya wahamiaji 1,200 waliokolewa katikati ya bahari ya Mediterania siku chache zilizopita hali tulivu ya bahari iliwawezesha kuvuka...

READ MORE

Radi Yaua Watu 20 kwa Muda wa Masaa 24 Kwenye Miji Mbalimbali Nchini India

NCHINI India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo...

READ MORE

Urusi Yapanga Kufanya Mazoezi ya Kivita ya Kuwatisha Wapinzani Mashariki mwa Nchi Hiyo

NCHI ya Urusi imepanga kufanya mazoezi ya kivita katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo ikiwa na lengo la kuwaonesha...

READ MORE

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, Aomba Radhi Akiwa Nchini Canada

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameomba radhi kwa jumuiya za jamii za wenyeji nchini Canada, kutokana na mateso...

READ MORE

Auawa kwa Kukatwa na Bawa la Helikopta, Ndugu yake Ashuhudia Tukio Zima

MTALII kijana raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kukatwa na bawa la helikopita mbele ya...

READ MORE