×

Kimataifa

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 3727

IDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 3727 hii ni baada ya Wizara ya...

READ MORE

Mwingine Mweusi Auawa kwa Risasi Marekani

KISA kingine cha Polisi nchini Marekani kumpiga risasi na kumuua Mmarekani mweusi katika mji wa Atlanta Georgia wikiendi hii, kimezua...

READ MORE

Kupanda na Kushuka kwa Rais Nkurunzinza

  DAR: Kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kimeibua mshtuko ndani ya Burundi, Afrika na dunia kwa ujumla...

READ MORE

Watu 8 Wakumbwa na Gonjwa la Kuimba kwa Sauti Kubwa

WATU 8 wa familia moja wa umri kati miaka 12 hadi 30 katika Jimbo la Kiringanya nchini Kenya wamekumbwa na...

READ MORE

Ubaguzi: Waandamanaji Wang’oa Sanamu la Mfalme

WAANDAMANAJI wanaopinga ubaguzi wa rangi wameliondoa sanamu la Mfalme Leopold II lililokuwa mjini Antwerp ambalo limekuwa likilalamikiwa na wanaharakati kwa...

READ MORE

Breaking: Rais Nkurunziza Afariki Dunia

ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...

READ MORE

Wakili: Mtuhumiwa Mauaji ya George Floyd Hana Hatia

  WAKILI Early Gray anayemtetea  Thomas Lane, mmoja wa maofisa wanne wa polisi wanaohusika katika kifo cha Mmarekani mweusi, George...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kuaga Mwili wa George Floyd

GEORGE FLOYD, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu...

READ MORE

Maandamano Yazuka London, Polisi Wajeruhiwa Vibaya

MOTO wa maandamano yaliyopewa jina la Black Lives Matter unazidi kuwaka na sasa hali siyo shwari jijini London, Uingereza, ambako...

READ MORE

Rais Zuma Ammwaga Mchumba wa Miaka 25

ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anadaiwa kuwa ameachana na mchumba wake mwenye miaka 25, Nonkanyiso Conco. Taarifa kutoka...

READ MORE

Mauaji Ya Floyd, Hasira za Corona Zinavyomtafuna Trump

    Kifo cha George Floyd (46) kilichotokea Mei 25 huko Minneapolis nchini Marekani, kimesababisha ghadhabu kote nchini humo na...

READ MORE

Mke wa Waziri Mkuu Asaka Dhamana ya Kumuuguza Mumewe

MKE  wa Thomas Thabane, aliyekuwa waziri mkuu wa Lesotho, Maesaiah Thabane, anayeshtakiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mke wa mumewe, Lipolelo...

READ MORE

Polisi Wengine Watatu Washitakiwa kwa Mauaji ya Floyd

Mwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki...

READ MORE

Trump: Wanaopinga Mauaji ya Mmarekani Mweusi ni ‘VIBAKA’

RAIS Donald Trump wa Marekani amewaita waandamanaji wanaopinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minneapolis kuwa ni...

READ MORE

Mke wa Rais Nkurunzinza Akutwa na Corona

Denise Nkurunziza, Mke wa Rais wa Burundi, amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan nchini #Kenya alipopelekwa baada ya kubainika kuwa...

READ MORE

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda...

READ MORE

Trump Asaini Sheria Kubana Twitter, Facebook na Youtube

RAIS Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo...

READ MORE

Mauaji ya Mmarekani Mweusi, Maandamano Yashika Kasi

WAANDAMANAJI mjini Minneapolis nchini Marekani wamepambana na polisi wa kutuliza ghasia kwa usiku wa pili mfululizo kufuatia hasira ya umma...

READ MORE

Trump Avurugwa, Atishia Kufunga Mitandao

RAIS wa Marekani Donald Trump anatarajia leo, Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Mtoto kwa Sh. 3,000

  MSICHANA wa miaka 17, mama yake na mwanamke mwingine wamekamatwa na polisi kwa kumuuza mtoto mchanga kwa  Sh3,000.  ...

READ MORE

Wamarekani Weusi Wakinukisha Mauaji ya George Floyd

  POLISI na waandamanaji walishambuliana katika jijiji la Minneapolis, Minnesota,  jana (Jumanne) kufuatia maandamano yaliyofanywa kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi, ...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 1348

Idadi ya maambukizi ya corona iliyothibitishwa nchini Kenya imeongezeka na kufikia 1348. Hii ni baada ya wagonjwa wapya 62 kuongezeka...

READ MORE

Mmarekani Mweusi Auawa Kikatili na Polisi

GEORGE FLOYD, Mmarekani mwenye asili ya Afrika (aliye lala chini) ameuawa kikatili baada ya kukanyagwa shingoni na polisi ‘mzungu’ huku...

READ MORE

Ndayishimiye Ashinda Urais Burundi

ALITYEKUWA mgombea urais wa chama tawala nchini Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangazwa mshindi leo kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya kupata asilimia...

READ MORE

China Yatishia Kulipiza Kisasi kwa Marekani

CHINA imetangaza kulipiza kisasi kama Marekani itajiingiza katika masuala ya nchi yake hasa eneo lake la Hong Kong baada ya...

READ MORE

WHO Yasitisha Majaribio ya Hydroxychloquine Kama Tiba ya Corona

SHIRIKA la Afya ulimwenguni (WHO) limesema linaahirisha majaribio ya dawa ya hydroxychloroquine kama tiba ya ugonjwa wa COVID-19 ambapo mkuu...

READ MORE

China: Tuhuma na Matamshi ya Marekani Yatasababisha Vita Baridi

China imesema uhusiano baina yake na Marekani unakaribia kiwango cha enzi mpya ya vita baridi, inayochochewa na mvutano kuhusu janga...

READ MORE

Raia Wageni Kutoka Brazil Wapigwa Marufuku Kuingia Marekani

Marekani imetangaza vikwazo kwa raia wa kigeni kuingia nchini humo wakitokea nchini Brazil, nchi ambayo kwa sasa inaendelea kuandikisha idadi...

READ MORE

Kim Jong-un ‘Kiduku’, Aongoza Kikao cha Nyuklia

Kikao cha kupima uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na...

READ MORE

Marekani: Vifo Vyakaribia Laki 1, Trump Aibukia Gofu Bila Barakoa

Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka. Marekani ina...

READ MORE

Sudan Yataifisha Mali za Tril. 9 za Omar al-Bashir

SERIKALI ya Sudan imetaifisha mali zenye thamani ya $4 bilioni (TZS 9.3 trilioni) kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo,...

READ MORE

Bibi Kizee wa Miaka 107 Apona #Corona

SALTANAT AKBARI mwenye umri wa miaka 107 amepona #COVID19. Alilazwa katika Hospitali ya Khansari iliyopo jijini Arak nchini Iran. Inaelezwa...

READ MORE

Wakenya waonja Joto la Jiwe

MVUTANO kuhusu uamuzi wa Serikali ya Kenya kufunga mipaka kati yake na Tanzania, umezidi kuchukua sura mpya baada ya hatua...

READ MORE

Virusi: China yatangaza ushindi dhidi ya Corona, Brazil yaathirika zaidi

China imetangaza leo Ijumaa kuwa imepata ushindi dhidi ya ugonjwa wa Corona, ambao umeathiri uchumi wake na unaendelea kushika kasi...

READ MORE

Mchumba wa Khashoggi Agoma Kuwasamehe Waliyomuua Mpenzi Wake

Mchumba wa Kituruki wa mwanahabari wa Saudi Arabia aliyeuawa kinyama Jamal Khashoggi, amesema leo kuwa hakuna mwenye haki ya kuwasamehe...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua Watu 30 Pakistan

Ndege ya Shirika la Kimataifa la Ndege la Pakistani (Pakistan International Airlines) imeanguka katika Mji wa Karachi ilipokua ikitoka Lahore,...

READ MORE

Serikali Yaingiwa Hofu, Mawaziri 10 Waambukizwa Corona

SIKU chache baada ya Makamu wa rais wa Sudani Kusini Riek Machar na mkewe kuthibitishwa kuwa virusi vya Corona, hatimaye...

READ MORE

Trump: Natumia Hydroxychloroquin Kujilinda na COVID-19

  RAIS Donald Trump wa Marekani amesema anatumia dawa ya hydroxychloroquine ya kutibu malaria, kujilinda na maambukizi ya virusi vya...

READ MORE

Makamu wa Rais Akutwa na Corona

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar na mkewe, Angelina Teny, ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa...

READ MORE

Wachina Waliokwenda Kutibu Corona Nigeria ni ‘Mafundi Ujenzi’

Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China...

READ MORE