×

Kimataifa

Trump: Sitaki Tena Mazungumzo na China

UHUSIANO kati ya Marekani na China umeendelea kuzorota kwa kasi tangu kuanza kwa jana la Corona lililoua makumi ya raia...

READ MORE

Burundi Yamtimua Mwakilishi wa WHO

Burundi yamtimua toka nchini humo mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na wataalamu watatu wa afya wa shirika hilo....

READ MORE

Vifo vya Corona Marekani Vyafika 85,197

  VITUO vya kuzuia na kudhibiti magonjwa nchini Marekani (CDC) vimetangaza vifo vipya 1,426 vinavyohusiana na Corona, na kufikisha jumla...

READ MORE

WHO: Covid 19 Inaweza Isiondoke Kama Ukimwi

Mkurugenzi Mtendaji wa Programu za Dharura za Afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Mike Ryan amesema Corona Virus...

READ MORE

Marekani Yadai Uwezekano wa Kupata #Covid19 Dar ni Mkubwa

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umedai kuwa hatari ya kupata #COVID19 katika mkoa wa Dar ni kubwa japo hakuna ripoti rasmi...

READ MORE

Brazil: Watu 881 Wafariki kwa Covid19 Ndani ya Saa 24

  Wizara ya Afya nchini Brazil imethibitisha jumla ya vifo 12,400 kutokana na #COVID19 huku idadi ya visa ikifika 178,214...

READ MORE

Watanzania Waliokutwa na #Covid19 Wazuiwa Kuingia Kenya

SERIKALI ya Kenya imewarudisha Watanzania wawili jana Mei 12, 2020,  waliokuwa wanataka kuingia Kenya baada ya Watanzania hao kuthibitika kuwa...

READ MORE

Corona: Madereva wa Tanzania Kwenda Kenya Wakwama Mpaka wa Namanga

MADEREVA wa malori na magari 302 waliokuwa wanasafirisha bidhaa na abiria kwenda nchi jirani ya Kenya, jana walizuiliwa katika mpaka...

READ MORE

Marekani Yaishutumu China Kudukua Tafiti za Chanjo ya #Covid19

WATAALAM wa Usalama Mtandaoni nchini Marekani wameishutumu China kuwa inajaribu kudukua taarifa kuhusu tafiti zinazofanya za #COVID-19. Shirika la upelelezi...

READ MORE

Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 81,795

KULINGANA na takwimu zilizotolewa na shirika la habari la Reuters, idadi ya vifo vinavyotokana na janga la corona imefikia zaidi...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 700

  IDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika...

READ MORE

Rais Zambia Afunga Mpaka Tanzania na Zambia – Video

RAIS Edgar Lungu wa Zambia ameamuru kufungwa kwa muda kwa mpaka nchi hiyo na Tanzania kuanzia  leo Mei 11, 2020....

READ MORE

Obama Amponda Trump “Mbinu Anazotumia Kukabiliana na #Covid19 Hazisaidii”

Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili #COVID19 kwani mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dawa ya Covid 19 Kutoka Madagascar

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania...

READ MORE

Dereva Mwingine wa Lori Mtanzania Akutwa na Corona Uganda

  Wizara ya Afya Uganda imesema Dereva mwingine wa Lori kutoka Tanzania (32) amebainika kuwa na corona na kufanya maambukizi...

READ MORE

WHO: Waafrika 190,000 Wanaweza Kufariki kwa #Coronavirus

SHIRIKA  la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa #CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja...

READ MORE

Mwanajeshi wa Ikulu Akutwa na Corona

  RAIS wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, Mike Pence wamelazimika kupima tena maambukizi ya virusi vya corona baada...

READ MORE

CDC: Vifaa Vinavyotumika Kupima Corona Tanzania Havina Tatizo

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida...

READ MORE

Profesa wa China Aliyekuwa Akitafiti Corona Auawa Marekani

MAUAJI ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani...

READ MORE

Mitaa ya Nairobi na Mombasa Yawekewa Karantini

WAKAZI wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika...

READ MORE

Inatisha! Mafuriko Yaua Watu 194 Kenya

MVUA  kubwa zilizonyesha nchini Kenya zimeua watu 30 hivi karibuni na kufanya idadi ya jumla ya watu 194 kupoteza maisha...

READ MORE

Majasusi Wanavyohangaika Kuiba Siri za Chanjo ya Corona

MAJASUSI ncini Marekani wanaripoti kuona taasisi za kijasusi za nchi nyengine wakijaribu kupitia mtandao kuchunguza tafiti za chanjo ya virusi...

READ MORE

WHO Yaikazia Madagascar Dawa ya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani limesihi watu kutoweka imani zao kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa na wenyeji kwa misingi ya kudai...

READ MORE

Kenya Kuanza Majaribio ya Chanjo ya Corona kwa Binadamu

WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio...

READ MORE

Nchi 13 Ambazo Hazijapata Maambukizi ya Corona

MPAKA kufikia Desemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa...

READ MORE

Museveni: Wanafunzi ‘Kuleni Bata’, Sifungui Shule

WIZARA  ya Afya imetangaza visa vipya vinane vya #COVID-19 nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia 97. Sita kati ya...

READ MORE

Ukweli Maiti ya Corona Kuambukiza Corona

JANGA la mlipuko wa maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19, limemfanya binadamu kushuhudia mambo ya kutisha mno....

READ MORE

Ndege ya Vifaa vya Kupambana na #Covid19 Yaua Watu 6

WAZIRI wa Usafirishaji, Mohamed Salad amesema ndege iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabaliana na janga la #CoronaVirus,...

READ MORE

Gavana Kenya Apiga Marufuku Uuzaji Ng’ombe wa Tanzania

GAVANA wa Kajiado, Joseph Lenku, amefunga kabisa uuzaji wa ng’ombe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi...

READ MORE

Mtoto wa Miezi 6 Akutwa na Virusi vya Corona

WIZARA ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la visa 25 vya #COVID19 baada ya sampuli 1,012 kufanyiwa vipimo na kufanya...

READ MORE

Maambukizi Corona Yafikia Mil. 3.5 Duniani

MAAMBUKIZI ya virusi vya Corona duniani yamefikia watu milioni 3.5 leo Jumatatu, Mei 4, 2020, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Uganda Wafika 89

WIZARA ya Afya nchini Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89...

READ MORE

Korea Kaskazini na Korea Kusini Zashambuliana kwa Risasi

SERIKALI ya Korea Kusini imesema jana wanajeshi wake wamefyatuliana risasi na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo na shughuli...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 465

WIZARA ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika...

READ MORE

Mpinzani wa Trump Akwaa Skendo ya Udhalilishaji Kingono

MGOMBEA urais nchini Marekani katika tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden, amekanusha vikali madai ya kumdhalilisha kingono Tara Reade...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Urusi Akutwa na Corona

WAZIRI Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya...

READ MORE

Breaking News: Kim Jong-Un Aonekana Hadharani

KWA mujibu wa vyombo vya habari nchini Korea Kusini, Kim Jong-un, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya siku...

READ MORE

Rais Ateua Marehemu Kushika Wadhifa Serikalini

RAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari amemteua mtu aliyefariki kushika wadhifa serikalini, jambo ambalo limeibua mjadala nchini humo huku baadhi wakidai...

READ MORE

Trump Aituhumu China: “Wanataka Nishindwe Uchaguzi”

RAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwamba China inampango wa kutumia kila njia ili kumfanya asichaguliwe tena kwenye uchaguzi mkuu...

READ MORE

Rais al-Bashir Aomba Kuhamishwa Gereza

Rais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir ametaka kuhamishwa gereza kufuatia habari kwamba mmoja wa wasidizi wake wa zamani ameambukizwa...

READ MORE