×

Kimataifa

Wabunge 15 wakutwa na virusi vya corona

WAZIRI wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufy,a amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika...

READ MORE

Tazama Maajabu ya Harusi ya Iliyofungwa Mpakani!

BIBI harusi mmoja kutoka Norway na mpenzi wake kutoka Sweden waliandaa sherehe ya harusi yao kwenye mpaka kati ya mataifa...

READ MORE

Juliana Lumumba: Ubelgiji Irejeshe Meno, Mifupa ya Baba

JULIANA LUMUMBA, mtoto wa aliyekuwa waziri kuu wa kwanza wa nchi ambayo leo inajulikana kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,...

READ MORE

Madagascar Hatarini Kuelemewa na Wagonjwa wa Corona

MAOFISA kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar,  wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana...

READ MORE

‘Uchokozi wa Kisiasa’ Marekani Yafunga Ubalozi wa China

SERIKALI ya Marekani imeitaka China kufunga ubalozi wake mdogo katika jiji la Texas katika Jimbo la Houston, kufikia Ijumaa —...

READ MORE

WHO Kufanya Utafiti Dawa Mitishamba za COVID-19

SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) na kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika (CDC) yameanzisha juhudi kuangalia uwezekano wa madawa...

READ MORE

Stella: Mwanamke Aliyeolewa na Ndugu Wawili wa Familia Moja

KATIKA hali ya kawaida ndoa inapovunjika, uhusiano kati ya mwanamke na mashemeji hukatika pia. Lakini kwa Stella Mutahi, kuvunjika kwa...

READ MORE

Wafahamu Popo Wanaoishi na Virusi vya Corona

WANASAYANSI wanasema wamechunguza vinasaba vya popo sita duniani. Maisha yao yanajumuisha kidokezo cha vinasaba vyao vinavyowafanya kuwa na kinga ya...

READ MORE

Trump Agoma Kuwalazimisha Wamarekani Kuvaa Barakoa

LICHA  ya ongezeko la visa vya ugonjwa wa COVID-19 nchini Marekani, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya...

READ MORE

Waandamanaji Wakinukisha, Wamtaka Netanyahuu Ajiuzulu

WAANDAMANAJI hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisika wakipiga nara dhidi ya Benjamin Netanyahu na kumtaka ajiuzulu wadhifa wake huo...

READ MORE

Malawi Yafuata Nyayo za JPM Kupambana na Corona

KATIKA kuendelea kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kwa siku tatu za kufunga na...

READ MORE

Binti wa Mandela Aliyefariki Alikutwa na Corona

  ZINDZI MANDELA, mwana mdogo wa kike wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, na mwanaharakati wa kupigana dhidi...

READ MORE

Naibu Waziri Mgumba Atembelea Shamba la Miwa la Mkulazi

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba amefanya ziara ya siku mbili Mkoani Morogoro kukagua Miradi ya maendeleo iliyo chini...

READ MORE

Polisi Achezea ‘Kichapo’ Kisa Kuvaa Barakoa

Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Mombasa nchini Kenya, wamezua vurugu na kuanza kumchapa polisi mmoja kichapo cha ‘mbwa mwitu’...

READ MORE

Watu 140 Wafariki kwa Mafuriko China

SERIKALI imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini China  yamesababisha vifo vya watu takriban 140,...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kusakwa Nyumba kwa Nyumba

KUFUATIA ongezeko la visa na vifo nchini Ufilipino, Polisi pamoja na Mamlaka zitaendesha msako wa nyumba kwa nyumba kwa lengo...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Mmarekani Mweusi Kuendesha Ndege ya Kivita ya Wanamaji

LUTENI Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona aKuishtaki Serikali

Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo,...

READ MORE

Bwana Harusi Apata Ajali Kabla ya Shughuli, Ndoa Yafungwa Hospitali

Ukiambiwa uelezee ni mambo gani ambayo hufanyika hospitalini, bila shaka harusi haitakua miongoni mwa mambo utakayoyataja, ila mambo yalikua tofauti...

READ MORE

Amitabh Bachchan na Familia Yake Wakutwa na Corona

Vizazi vitatu vya familia maarufu inayoshiriki katika filamu za Bollywood vimekutwa na virusi vya corona kulingana na maafisa katika jimbo...

READ MORE

Serikali Yaruhusu Wakristo Kunywa Pombe

Wizara ya Haki na Sheria nchini Sudani imetangaza mabadiliko ya kukomesha hukumu ya kifo kwa sababu ya kuasi dini, kupiga...

READ MORE

Tanzia: Binti wa Mzee Mandela Afariki Dunia

Binti wa mwisho wa hayati aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela, Zindzi Mandela amefariki dunia jijini...

READ MORE

Afariki Akimwokoa Mwanaye Nyumba Ikiteketea

INASIKITISHA sana! Mwanamke mmoja amemwokoa mtoto wake kwa kumrusha kupitia kibarazani wakati ajali kubwa ya moto uliotokea na kuteketeza nyumba...

READ MORE

Corona: Waziri Aagiza Shule Kurejesha Ada za Wanafunzi

WAZIRI wa Elimu nchini Kenya ameziagiza shule nchini humo kurejesha ada za wanafunzi kwa mwaka 2020 au wazipeleke mbele zitumike...

READ MORE

Waziri Mkuu Afariki Dunia Baada ya Mawaziri Kukutana

WAZIRI Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Coulibaly, amefariki dunia jana Jumatano, Julai 8, 2020, jijini Abidjan ikiwa ni muda mfupi...

READ MORE

Mke Amzika Mara Mbili Mumewe Aliyekufa kwa Corona

MWANAMKE mmoja Afrika Kusini amelazimika kufanya mazishi ya mume wake mara mbili aliyekufa kwa ugonjwa wa Covid-19 baada ya kubainika...

READ MORE

Rais wa Brazil Akutwa na Covid-19

RAIS wa Brazil, Jair Bolsonaro, amegundulika kuwa na virusi vya corona. Kiongozi huyo amekuwa akipuuzilia mbali janga la Covid-19 akiutaja...

READ MORE

FBI Yadai China ni Tishio kwa Marekani

MKURUGENZI wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni...

READ MORE

Marekani Yajitoa Rasmi WHO

RAIS  Donald Trump wa Marekani ameliarifu Bunge kuwa Marekani imejitoa rasmi kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO).   Hatua hiyo...

READ MORE

Corona: Serikali Yafuta Mhula wa Masomo, Hakuna Mitihani

WIZARA ya Elimu nchini Kenya imefuta kalenda ya masomo kwa shule za upili na msingi kwa mwaka 2020 ambapo Waziri...

READ MORE

Rais Kenyatta Alegeza Masharti ya Kukabiliana na Corona

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amelegeza kwa kiasi fulani sheria kali zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya...

READ MORE

Dawa ya Corona Madagascar Imebuma? Mji Mkuu ‘Lockdown’

MADAGASCAR imeuweka mji  mkuu wake, Antananarivo,  kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya Corona Virus ikiwa ni miezi...

READ MORE

Wamarekani Wazidi Kuchukizwa, Waliangusha Sanamu la Columbus

KUNDI la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore jana usiku,...

READ MORE

Kanye West Atangaza Kugombea Urais Mwaka Huu

Rapa Kanye West ametumia ukurasa wake wa Twitter kutangaza kuwa atagombea Urais mwaka huu nchini Marekani. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika...

READ MORE

Rais Orlando Alazwa Kwa Covid-19

Rais wa HONDURAS, Juan Orlando Hernández ambaye pia anaugua #COVID19, amelazwa akipatiwa tiba ya Homa ya Mapafu (Pneumonia). Rais Hernández...

READ MORE

Kijana Mwenye Jinsia Mbili Apata Wakati Mgumu

KILA  anapofikiria kutangamana na watu wanaoifahamu hali yake, Sidney Etemesi huwa anaanza kuishiwa na nguvu na ujasiri hata wa kutembea...

READ MORE

Rais Burundi Kuapishwa Leo, Mama Samia Kuhudhuria!

EVARISTE NDAYISHIMIYE Rais mteule wa Burundi anatarajiwa kuapishwa leo Alhamisi, Juni 18, 2020, badala ya Agosti 2020 kama ilivyopangwa hapo...

READ MORE

Njemba Atupwa Jela Baada ya Kukojolea Jiwe

MWANAUME mmoja mwenye miaka 28, ametupwa jela siku 14 baada ya kukamatwa akikojolea kibao cha kumbukumbu ya Ofisa wa polisi...

READ MORE

Korea Kaskazini Yalipua Ofisi ya Pamoja na Korea Kusini

  KOREA Kaskazini imesema inaliweka jeshi lake katika hali ya tahadhari ya kivita, ikiwa ni muda mfupi baada ya kulipua...

READ MORE

Kim Jong: Tupo tayari kwa Vita, Tutawashangaza Majirani

Korea Kaskazini imesema tayari Jeshi lake limejipanga na lipo tayari kwa mapambano dhidi ya Maadui zao wakiwemo Korea Kusini, tayari...

READ MORE