×

Kimataifa

Etihad Yashinda Tuzo ya Heshima ya Adam Smith

Kutoka kushoto ni Naibu wa Fedha Mkuu wa Shirika la Ndege la Etihad, Adam Boukadida, Mkuu wa Idara ya Fedha...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italy afanyiwa upasuaji wa moyo

Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi. Leonard Msigwa na Mtandao WAZIRI MKUU wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi...

READ MORE

Satelaiti ya Juno yawasili Jupiter

  Setilaiti ya Juno ya Shirika la Marekani NASA inayotumia nishati ya jua, imefika kwenye sayari ya Jupiter mapema alfajiri...

READ MORE

Wakili, mteja wake & dereva taksi wauawa

MAMIA ya watu wameandamana jijini Nairobi, Kenya kupinga mauaji ya kiholela ambayo yanadaiwa kutekelezwa na maofisa wa usalama nchini humo....

READ MORE

Watu 120 wauawa kwa bomu Iraq

Serikali ya Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia maafa yaliyotokwea kutokana na shambulio la bomu ambalo limeua...

READ MORE

Bomu Laua 79 Baghdad

Zaidi ya watu 79 wamefariki dunia katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyokumba mji mkuu wa Iraq Baghdad. Watu wengine 130...

READ MORE

Afya ya Kiongozi wa Korea Kaskazini ipo matatani

Na Leonard Msigwa Afya ya kiongozi wa taifa la Korea Kaskazini, Kim Jong ipo matatani baada ya kuripotiwa kusumbuliwa na...

READ MORE

Fanya hivi ili kuweka bold na italic kwenye WhatsApp

WATU wengi husumbuka sana wanapoandika ujumbe kwenye mtandao wa WhatsApp kutokana na hali kwamba herufi huwa na uzito sawa wa...

READ MORE

Mama aruhusiwa kutumia mayai ya uzazi ya bintinye ili kumzaa mjukuu

Mwanamke ambaye anataka kutumia mayai ya uzazi ya bintinye ili kumzaa mjukuu wake ameshinda kesi mahakanani na kuruhusiwa kufanya hivyo....

READ MORE

Afrika Yaongoza kwa Usafirishaji Haramu wa Binadamu

WIZARA ya mambo ya nje ya Marekani inatoa kila mwaka ripoti ya biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu na kwa...

READ MORE

Makanisa 60, Misikiti 20, Hoteli 10 na Klabu Vyafungwa Lagos kuepuka kelele

Lagos, Nigeria MAMLAKA ya Jiji la wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika ikiwa ni jitihada...

READ MORE

Rais ‘Aruhusu’ Watu Kwenda Kazini Uchi

Mkazi wa Belarusia akiwa ofisini. Na Leonard Msigwa BAADHI ya wananchi wa Belarusia wamekuwa wakienda makazini wakiwa uchi, na baadhi...

READ MORE

Shambulio Laua Watu 36 Uturuki

WATU 36 wameuawa, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa katika shambulio la kujitoa muhanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Hatma ya Uingereza Kujitoa Jumuiya ya Ulaya

HISTORIA inaibeba Uingereza (England) ikijulikana kama moja ya nchi zenye nguvu zaidi duniani katika masuala ya kiuchumi na kijeshi.  Historia...

READ MORE

David Cameron Ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa rasmi kwenye Umoja...

READ MORE

Rais amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema. Equatorial Guinea Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema amteua mwanaye wa kwanza...

READ MORE

Aamka na kukuta nyoka kitandani

Australia Nyoka mkubwa ambaye alikuwa akiishi katika dari ya nyumba moja nchini Australia kwa takriban miaka 10 sasa ameamua kuingia...

READ MORE

Trump Nusura Auawe Las Vegas

Michael Sandford baada ya kudakwa na polisi. Las Vegas, Marekani MGOMBEA urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republica, Donald...

READ MORE

Video: Mkutano wa Maalim Seif Washington DC

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif Hamad, Jumamosi June 18, 2016 alifanya mkutano na Watanzania...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Laanzisha Usafirishaji Mizigo Kwenda Ubelgiji

Shirika la Ndege la Etihad kupitia kitengo cha cha vifurushi, limeanzisha safari mbili kwa wiki ili kusafirisha mizigo  kwa kutumia...

READ MORE

Al Shabaab waua Polisi watano Kenya

Maandera, Kenya MAOFISA watano wa Jeshi la Polisi nchini Kenya wameuawa leo mjini Mandera katika shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji wa...

READ MORE

Mwalimu Afungwa Jela Miaka 90 kwa kuwanajisi wanafunzi

Mwalimu John Gichia Mugi. Nairobi, Kenya Mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliyetambulika kwa jina la John Gichia Mugi mwenye...

READ MORE

Etihad Yasherehekea Miaka 10 ya Usafiri wa Anga

Safari tano kwa siku ikiwamo za alfajiri kwa wasafiri wote wa Abu Dhabi na Qatar Nyongeza ya safari za jioni...

READ MORE

Mwanajeshi aua watu 8 kambini Uganda

WATU wanane wameuawa baada ya kupigwa risasi na mwanajeshi ndani ya kambi ya kijeshi ya Makindye iliyopo mjini Kampala nchini...

READ MORE

Ubelgiji: Roboti Kutumika Kupokea Wageni Hospitalini

Brussels, Ubelgiji Roboti kwa jina Pepper, iliyotengenezwa kuelewa hisia za watu inatarajiwa kuanza kazi mpya kama karani wa mapokezi katika...

READ MORE

Muhammad Ali Kuzikwa Kishujaa Leo

Muhammad Ali LOUISVILLE, Marekani GWIJI wa ndondi duniani, Muhammad Ali, anatarajiwa kuingizwa kwenye nyumba yake ya milele kwa heshima kubwa...

READ MORE

Nyani azima umeme Kenya

Kampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa...

READ MORE

Rais Mseveni Amteua Mkewe Kuwa Waziri

Rais Yoweri Mseveni na Mkewe, Janeth Mseveni. Kampala, Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni, jana alitangaza Baraza lake jipya la...

READ MORE

Muhammad Ali Mwisho wa Enzi

MUHAMMAD Ali, bingwa wa dunia wa uzito wa juu mara tatu, amefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa na umri...

READ MORE

Kenya: Asilimia 80 ya Shisha ina Coacaine

Wizara ya Afya imesema asilimia 80 ya Shisha inayovutwa nchini humo ina chembechembe za Madawa ya Kulevya aina ya Cocaine....

READ MORE

Shirika la Ndege la Serbia Lapiga Hatua Kuboresha Huduma Zake

Ndege kubwa ya kwanza ya shirika la ndege la Serbia, Airbus A330, ikiwa katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla....

READ MORE

Helikopta 4, Malori 20 ya Urusi Yateketea Syria

Picha za satellite zilitolewa kwa Shirika la Utangazaji la BBC zinaoneesha kuwa ndege nne za Urusi aina ya helkopta na...

READ MORE

Mkenya Auawa Kwenye Maandamano ya Kuipinga Tume ya Uchaguzi

Mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa kupigwa mabomu na polisi katika maandamano ya kutaka Tume ya Uchaguzi nchini...

READ MORE

Mkenya Afunga Ndoa na Mwanamme Mwenzake

Bw.  Ben Gitau na Bw. Steve Damelin KATIKA matukio ambayo wanaume wa Kenya wanaoana na wanaume wenzao katika nchi zinazoruhusu...

READ MORE

Ndege ya Mfalme Mswati Yazuiwa Canada

Mfalme wa Swaziland Mswati wa tatu akiwa na mmoja wa wake zake. NDEGE binafsi ya Mfalme wa Swaziland Mswati wa...

READ MORE

Shuhudia picha 17 meli kubwa duniani kwa sasa

Pichani juu ni taswira za meli hiyo kubwa kuliko zote duniani. KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika...

READ MORE

Kizza Besigye Kupandishwa Kizimbani Kwa Uhaini Leo

Kizza Besigye. KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye asubuhi hii anatarajiwa kufikishwa mahakamani akikabiliwa na tuhuma za uhaini. Kizza...

READ MORE

Mkenya Auawa Kwa Kipigo cha Polisi!

Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya...

READ MORE

Mkenya Adandia Helikopta na Kuning’inia, Apaa nayo Angani

Mwanamme mmoja katika Mji wa Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza ulimwengu baada ya kudandia helikopta ambayo ilipaa angani na kuondoka...

READ MORE

Museveni Aapishwa Kuwa Rais wa Uganda

Rais Yoweri Musevei baada ya kuapishwa. Yoweri Museveni leo ametawazwa rasmi kuwa Rais mpya wa Uganda kwa muhula wa tano...

READ MORE