×

Kitaifa

Katibu Mkuu Aiagiza OSHA Kusimamia Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi

  Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama...

READ MORE

Gambo: Kugombea Urais na JPM ni Wendawazimu – Video

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, amesema kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya Rais Dkt. John Magufuli kwa...

READ MORE

Mufti wa Tanzania Atangaza Kufunguliwa kwa Madrasa

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kufunguliwa rasmi kuanzia jana kwa madrasa zilizofungwa kutokana na mlipuko wa Corona Virus....

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Watoa Ndoo, Sabuni kwa Askari Dar

MAGAZETI ya michezo na burudani ya Championi na Spoti Xtra, yametoa ndoo za kunawia pamoja na sabuni kwa askari wa...

READ MORE

Polisi: Mbowe Alilikuwa Amelewa Chakari – Video

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma Juni 12, 2020 limetoa taarifa mpya kuhusiana na shambulio la Mbunge wa Hai, ambaye...

READ MORE

JPM Azungumza na Waziri Mkuu wa India

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi.   Taarifa iliyotolewa na Gerson...

READ MORE

TPDC Yazindua Eneo la Mradi wa Maghala Mafuta na Gesi

SIKU chache baada ya TPDC kurejea rasmi katika biashara ya MAFUTA pamoja na kufungua vituo vyake vya mafuta vilivyoko sehemu...

READ MORE

Kisa Mtoto… Mke wa Mtu Akiona!

AMA kweli Uswahilini kuna vituko. Amina Said ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Buza Kwarurenge, Temeke, Dar es Salaam,...

READ MORE

Mkurugenzi Aweka Historia Kinondoni Kwa Kukamilisha Miradi Ya Bil 242.8

  Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati...

READ MORE

IMF Yaisamehe Tanzania Deni la Dola Mi. 14.3 – Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha dola za marekani milioni...

READ MORE

Rais Magufuli Amemsamehe Kigogo Aliyemtimua – Video

Rais wa Tanzania, Dkt Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye baada ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kuwaua Baba na Mama Mkwe

KIJANA aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe, anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Lijualikali: Chadema Mjipange, TAKUKURU Wana Ushahidi Wote

MBUNGE wa Kilombero , Peter Lijualikali,  amefika katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambanana Rushwa (Takukuru) Makao Makuu Dodoma...

READ MORE

Uchumi wa Tanzania Kukua kwa Asilimia 5.5 Mwaka 2020 – Video

WAZIRI  wa Fedha Dk Philip Mpango, amesema kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania inatarajiwa kupungua kidogo hadi asilimia 5.5...

READ MORE

Kila Mtanzania Alimiliki Tsh. mil 2.5 Mwaka 2019 – Video

SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018,...

READ MORE

HOTUBA ya JPM Akizindua Ujenzi wa Barabara Mtumba – Video

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Alhamisi, Juni 11, 2020 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara...

READ MORE

Bajeti Kuu ya Serikali Kusomwa Leo Bungeni

MACHO na masikio yanatarajiwa kuelekezwa bungeni jijini Dodoma leo wakati serikali itakapowasilisha makadirio ya bajeti yake kwa mwaka ujao wa...

READ MORE

Wabunge 69 wa Mbowe Kuhojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

JPM Apiga Simu Mbeya, Awarudishia Wananchi Ardhi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD) mkoani Mbeya kuwalipa wananchi...

READ MORE

David Silinde Atangaza Kujiunga CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbunge huyo pamoja...

READ MORE

Mbowe Apokelewa Dar, Apelekwa Aga Khan – Video

Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe (Mb), amepokelewa muda mfupi...

READ MORE

Lijualikali: Mbowe Hajavamiwa, Alilewa Akaanguka – Video

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amelieleza Bunge, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka...

READ MORE

Kesi ya Idris Yakwama Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Mbowe Dodoma

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye...

READ MORE

Chadema Wamtaja Mch. Mashimo Shambulizi la Mbowe

  DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinahitaji uchunguzi wa uhuru katika tukio la kuvamiwa kwa...

READ MORE

Hali ya Mbowe, Chadema Kumhamishia Dar – Video

  JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limethibitisha kushambuliwa na kujeruhiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema usiku wa...

READ MORE

RPC Muroto: Mbowe Ameshambulia kwa Mateke – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe,...

READ MORE

Msigwa: Mbowe Aliondolewa Walinzi – Video

MUDA mfupi baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana jijini Dodoma...

READ MORE

Dr. Mayrose Akemea Mbowe Kushambuliwa

DAR ES SALAAM: KADA wa Chadema ambaye ametangaza nia ya kugombea urais, Mayrose Majinge ameonesha masikitiko yake kufuatia taarifa za...

READ MORE

Dkt. Tulia Amjulia Hali Mbowe Aliyevunjwa Mguu – Video

NAIBU  Spika, Dkt. Tulia Ackson amewasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka – Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Meli, Chelezo vya Bil, 153 Mwanza Ukingoni Kukamilika

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo ametembelea kuona...

READ MORE

RPC Dodoma Aelezea Mbowe Kuvamiwa, Kuvunjwa Mguu

KAMANDA  wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe,...

READ MORE

Lissu Atangaza Nia ya Kuwania Urais 2020

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu leo amezungumza kwa Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook...

READ MORE

Gari Yagonga Gari, Bajaji na Kuua

Mnamo tarehe 08.06.2020 majira ya saa 10:00 Asubuhi huko eneo la Nzovwe, Kata ya Itende, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya...

READ MORE

Brazil Yasitisha Kutangaza Waliofariki kwa Corona

Serikali ya Brazil imetangaza kuanzia sasa haitakuwa ikitangaza idadi ya watu waliofariki kwa corona, baada ya kubaini kuwa hatua hiyo...

READ MORE

Polisi Yavunjwa Marekani Kisa Kifo Cha Floyd

IDARA ya polisi mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani itafanyiwa mabadiliko makubwa kutokana na kifo cha Mmarekani mweusi,...

READ MORE

Dkt. Mollel Aung’oa Uongozi Hospitali ya Mount Meru

NAIBU  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi...

READ MORE