×

Kitaifa

Papa Francis Amteua Ludovick Kuwa Askofu Mpya Jimbo la Moshi

  Baba Mt. Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa...

READ MORE

Papaa Msofe Kortini kwa Tuhuma za Kuongoza Wahalifu – Video

Wafanyabiashara wanne akiwemo Marijan Msofe maarufu kama Papaa Msofe na Wakili wa Kujitegemea Mwesigwa Mhingo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Watano Washikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza kwa Mauaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu watatu katika tukio...

READ MORE

Wananchi Wampinga Mke wa Rais

Wananchi wa Nigeria wamepinga pendekezo la Mke wa Rais wan chi hiyo, Aisha Buhari, juu ya kutaka serikali kudhibiti mitandao...

READ MORE

TanEA Yaanika Tathmini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  TAASISI binafsi ya TanEA ambayo ni muunganiko wa Asasi mbili za kiraia, Action for Change (ACHA) na The Right...

READ MORE

Mch Msigwa Asema Hajui Akwilina Aliuawa Lini

MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji, Peter Msigwa amesema kuwa taarifa za kifo cha...

READ MORE

Kisutu: Kesi ya Aliyemchoma Mkewe kwa Magunia ya Mkaa

MAPEMA leo Jumatatu, Desemba 2, 2019, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili...

READ MORE

Heche Apigwa Chingi Chadema, Matiko Apeta

MBUNGE wa Tarime mjini, Ester Matiko ameshinda kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti kwa kupata kura 44 na...

READ MORE

Nyalandu Atusua Uchaguzi Chadema

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60...

READ MORE

Mbowe Arejesha Fomu Chadema, Lissu Naye Achukua

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa ndani...

READ MORE

Madiwani Watano CHADEMA Wajiuzulu, Watimkia CCM

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la...

READ MORE

Ufafanuzi wa NHIF Kuhusu Ongezeko la Michango ya Wanachama

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao...

READ MORE

BoT Yaikana Pesa ya Mtandaoni, Yatoa Onyo

BENKI Kuu nchini imeonya kuacha mara moja kujihusisha na shughuli za fedha za kimtandao (Cryptocurrency) kunakofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Simbachawene Aiagiza TAREA Kutafiti Matumizi Nishati Jadidifu Dar

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene, ameiagiza Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...

READ MORE

Lissu Awasili Kenya, Agoma Kufika Tanzania – Video

ALIYEKUWA  mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) amesema atarejea Tanzania baada ya marafiki zake kumuhakikishia usalama wake.   Lissu...

READ MORE

DPP Afuta Kesi 59 Mbeya

KATIKA mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) kwenye mikoa ya...

READ MORE

Naibu Waziri Mwanjelwa Atunukiwa PhD

 Dkt. Mary Mwanjelwa (kushoto) akiwa na baadhi ya wahitimu wenzake.  NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala...

READ MORE

Sumaye Apigwa Chini Chadema, Huenda ‘Akakacha’

ALIYEKUWA mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye,  ameshindwa...

READ MORE

Waziri Mbarawa Kutoa Ushahidi Mahakamani

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, anatarajia kutoa ushahidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi inayomkabili...

READ MORE

Hali ya Mbowe Bado ni Tete, Mahakama Yashindwa Kuendelea na Kesi

  KESI ya uchochezi inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Wafanyakazi NBC Wajitolea Damu Kusaidia Wenye Mahitaji

    Watanzania wamehimizwa kushiriki zoezi la kuchangia damu kwa hiari ili kukidhi mahitaji makubwa ya damu na kuokoa maisha...

READ MORE

Masauni Amuagiza IGP Sirro Kumsimamisha Kazi Mkuu wa Chuo

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro kufanya mabadiliko ya uongozi...

READ MORE

Dk Bashiru: Vyama vya Upinzani Vitakufa Kimoja Baada ya Kingine

Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa...

READ MORE

Wanusurika Kifo, Waibiwa Baada ya Kula Biskuti Walizopewa

ABIRIA  wawili waliokuwa wanasafiri na basi la kampuni ya Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Mtwara wamenusurika...

READ MORE

JPM: “Hata Kususia Uchaguzi Nayo ni Demokrasia” – Video

RAIS John Magufuli amesema kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa ni demokrasia huku akisisitiza kuwa...

READ MORE

JPM Igunga: Bilioni 1 Mnajenga Mitaro?…. Naondoka – Video

RAIS John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga mkoani Tabora,  Revocatus Kuuli,  kuitisha kikao haraka na madiwani na kujadili...

READ MORE

Mwananchi: “Rais Achia Fedha, Mtaani Hali Ngumu”… JPM Amjibu – Video

Rais John Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na waache kulalamika kwamba hawana fedha wakati hawajitumi.   Magufuli ametoa...

READ MORE

Daktari Anayetuhumiwa Kuomba Rushwa ya Ngono kwa Mjamzito Yamkuta

WIZARA ya afya Zanzibar imemsimamisha kazi daktari wa Hospitali ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, Massoud Sleiman Abdalla, kutokana tuhuma...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aburuzwa Kortini kwa ‘Kumtwanga’ Mkewe

ALIYEKUWA mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kuburuzwa polisi na mkewe Philomena Toima kwa tuhuma...

READ MORE

Ofisa Tume ya Haki za Binadamu Agongwa Bodaboda, Afariki

Ofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Getrude Alex (40), amefariki dunia usiku wa Novemba 23,...

READ MORE

Amuua Mpenzi Wake Kisha Kujiua Kisa Penzi

KIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Paschal (24) anadaiwa kumuua Rosemary Gallus (34) kwa kumchoma kisu kisha na yeye kujichoma...

READ MORE

‘Mgombea’ Azikwa, Baba’ke Akataa Ripoti ya Polisi

MAMIA  ya wakazi wa mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamejitokeza kwa wingi kumzika mkazi wa jijini Arusha,...

READ MORE

JPM: Mnataka CCTV ya Bil. 8? Mambo ya Ndani Hamjanielewa- Video

RAIS John Magufuli leo Novemba 25, 2019 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi makao makuu ya Uhamiaji katika...

READ MORE

Mhadhiri NIT Ahukumiwa Jela kwa Kumuomba Penzi Mwanafunzi – Video

MHADHIRI wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda...

READ MORE

Vijana Chadema Wamchukulia Fomu Mbowe – Video

VIJANA ambao ni wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa,...

READ MORE

Mrema ‘Amvaa’ Anna Mgwhira….. ‘Mnanihujumu’ – Video

MWENYEKITI  wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Lyatonga Mrema, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali...

READ MORE

Mvua Yaua Watu Tisa Sengerema Mwanza

WATU tisa wa familia mbili, wakiwa ni wanawake wanne  na watoto watano, wamefariki katika Kata  ya Nyatukala wilayani Sengerema, mkoani...

READ MORE

Wanne wa Familia Moja Wafariki Moto Ukiteketeza Nyumba

WAKAZI wa Makueni, Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wamefariki...

READ MORE

Nyalandu Apitishwa Kugombea Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa...

READ MORE