×

Kitaifa

Katibu Mkuu Wizara ya maendeleo Avifunda vyuo vya Maendeleo

Katibu Mkuu Idara Kuu ya  Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu amevitaka vyuo vya maendeleo ya jamii nchini kutoa elimu...

READ MORE

WAZIRI UMMY AMTEMBELEA MTOTO ANNA

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu jana alimtembelea mtoto Anna Zambi ambae...

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Form One 2020 – Singida

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga  na Kidato cha Kwanza  mwaka 2020  kuwa ni  701,038...

READ MORE

Tanzia: Mdogo wa Kanumba, Seth Bosco Afariki Dunia

MDOGO wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo Desemba 7, 2019, baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani...

READ MORE

Tafrani Nzito Yaibuka Marufuku Wauza Bima

DAR: Ni janga, ndivyo unavyoweza kutafsiri baada Mamlaka ya Bima Tanzania (Tira), kupiga marufuku kampuni za bima nchini kuendelea kuwatumia...

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Form One 2020 – Arusha

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga  na Kidato cha Kwanza  mwaka 2020  kuwa ni  701,038...

READ MORE

JPM Atoa Maagizo Mazito Hospitali ya Wilaya – Chato

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato...

READ MORE

Mwandishi Aliyedaiwa Kutekwa, Kutupwa Porini, Polisi Yafunguka

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, amesema kuwa Mwandishi wa Habari wa Radio Kwizera, mkoani humo George Bahamu,...

READ MORE

Wanafunzi Wa St. Joseph’s Cathedral Walivyosherehekes Family Dar

  Wanafunzi wa Shule ya Sekondaari ya St. Joseph’s Cathedral mapema leo wamesherehekea hafla fupi ijulikanayo kama Family Day ambayo...

READ MORE

Mwakyembe Aipongeza Kili Marathon Kwakukuza Utalii Wa Michezo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewapongeza waandaji wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon kwa...

READ MORE

Akinamama Waandaa Shughuli Kunusuru Ndoa Zao

AKINAMAMA nchini wanatarajia kukutana na kujadili masuala ya kulinda ndoa zao katika kongamano liitwalo VIP Ndoa linalotarajiwa kufanyika Desemba 15...

READ MORE

Waziri Mgumba Alivyokagua Zao la Alizeti Singida

NAIBU Waziri wa Kilimo Mhe, Omary Mgumba amefanya  ziara ya siku Tatu mkoani Singida kwa ajili ya kukagua na kuhamisisha...

READ MORE

NMB Yakabidhi Zawadi Washindi Tisa Wa Kampeni Ya Mastaboda

  BENKI ya NMB imekabidhi zawadi kwa washindi tisa wa MastaBoda kama washindi wa wiki baada ya kufikisha miamala hamsini...

READ MORE

RC Makonda Kutengeneza Magari ya Wananchi Bure

Katika kuelekea Msimu wa Sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda...

READ MORE

Wanafunzi Laki 7 Wachaguliwa Kujiunga Form One

WANAFUNZI 701, 038 sawa na asilimia 92.2 waliomaliza darasa la saba wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za serikali...

READ MORE

Ajifungua Mapacha Wenye Vichwa Viwili, Miguu Mitatu

MWANAMKE mmoja ka­tika mji wa Parkinson nchini India amejifungua mapacha adimu duniani walioun­gana ambao wana vich­wa viwili, mwili mmoja na...

READ MORE

Chameleone Anavyotibuana na Rais Museveni

HIVI karibuni nchini Uganda kwenye uwanja wa siasa, Waganda wamelipokea jina jipya kutoka katika tasnia ya burudani, safari hii ni...

READ MORE

Kabendera Atakiwa Kwenda ‘Kubageini’ na DPP

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuambia upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi,...

READ MORE

Frederick Sumaye Atajwa Mahakamani – Video

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye,  ametajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa usikilizwaji wa kesi inayowakabili viongozi tisa...

READ MORE

TCRA Yawataka Kwenda Shule Kabla ya 2022 – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  mawasiliano Tanzania TCRA,  Mhandisi James Kilaba amewataka waandishi wa habari kote nchini kuhakikisha wanajiendeleza kielimu...

READ MORE

Akamatwa kwa Kutaka Kumuuza Mwanaye

MWANAMKE mmoja nchini Kenya amekamatwa na polisi katika kituo cha Siaya  kwa kosa la kutaka kumuuza mwanaye wa kiume.  ...

READ MORE

Viongozi wa Dini Walia na ‘Vimini’ vya Wadada

KASI ya matukio ya ubakaji nchini yamesababisha Baraza la mahusiano ya dini mbalimbali kwa ajili ya amani nchini kutoa wito...

READ MORE

Zitto Kabwe Amjibu Sumaye

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe,  amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,  ambaye leo mchana...

READ MORE

Jafo Ambana Mkurugenzi, Azirai Papo Hapo! – Video

MKURUGENZI wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya...

READ MORE

DC Chongolo Kutoa Tuzo Kwa Mitaa Misafi

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni,  Daniel Chongolo,  ameanzisha kampeni ya utoaji tuzo kwa mitaa itakayofanya vizuri kwenye suala la...

READ MORE

Watu 30 Wahofiwa Kufariki kwa Matope ya Mafuriko

ZAIDI ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa iliyopo Uganda Mashariki wamehofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na...

READ MORE

Mshindi ‘Public Speaking’ Kupewa Tsh Milioni 10

KAMPUNI ya Global Group imetangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa vijana wa Kitanzania wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Tanga: Kijana Akatwa Jembe Shingoni, Auawa

MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Breaking News: Sumaye Abwaga Manyanga, Ajiondoa Chadema – Video

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.  leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujitoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  ...

READ MORE

Wanakijiji Wamkataa Mwenyekiti Aliyepita Bila Kupingwa

IKIWA ni wiki moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi...

READ MORE

Nabii Anayekanyaga Waumini Aibua Taharuki

TUNAAMBIWA kwenye vitabu vitakatifu kuwa, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari mno, tena zilizo ngumu kushughulika nazo....

READ MORE

Kesi ya Zitto Kabwe Mahakama Kusikiliza CD

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi wa ama kupokea kielelezo cha CD iliyohifadhiwa video iliyorekodiwa wakati wa...

READ MORE

Lukuvi Atumbua Mtu Iringa – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,  amemwondoa katika nafasi yake  Mkuu wa Idara ya Ardhi katika...

READ MORE

Mzee Miaka 102 Mwenye Watoto 60, Wajukuu 70 Afungua Shule

MZEE Meshuku Mapi Mukari almaarufu mzee Laibon, kutoka jamii ya kifugaji, mwenye umri wa miaka 102 na wake wanane, watoto...

READ MORE

DC Sabaya Amsweka Ndani Kapteni wa Jeshi ”Unajifanya Kichaa?” – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amerejesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) eneo lenye ukubwa wa ekari mbili...

READ MORE

Dovutwa Avuliwa Uenyekiti UPDP

HALMASHAURI Kuu Taifa ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa baada ya kubainika kufanya kosa...

READ MORE