Baba Mt. Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa...
READ MOREWafanyabiashara wanne akiwemo Marijan Msofe maarufu kama Papaa Msofe na Wakili wa Kujitegemea Mwesigwa Mhingo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu watatu katika tukio...
READ MOREWananchi wa Nigeria wamepinga pendekezo la Mke wa Rais wan chi hiyo, Aisha Buhari, juu ya kutaka serikali kudhibiti mitandao...
READ MORETAASISI binafsi ya TanEA ambayo ni muunganiko wa Asasi mbili za kiraia, Action for Change (ACHA) na The Right...
READ MOREMBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji, Peter Msigwa amesema kuwa taarifa za kifo cha...
READ MOREMAPEMA leo Jumatatu, Desemba 2, 2019, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili...
READ MOREMBUNGE wa Tarime mjini, Ester Matiko ameshinda kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti kwa kupata kura 44 na...
READ MOREALIYEKUWA Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60...
READ MOREMWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa ndani...
READ MOREMKURUGENZI wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la...
READ MOREMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao...
READ MOREBENKI Kuu nchini imeonya kuacha mara moja kujihusisha na shughuli za fedha za kimtandao (Cryptocurrency) kunakofanywa na baadhi ya watu...
READ MOREWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene, ameiagiza Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...
READ MOREALIYEKUWA mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) amesema atarejea Tanzania baada ya marafiki zake kumuhakikishia usalama wake. Lissu...
READ MOREKATIKA mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) kwenye mikoa ya...
READ MOREDkt. Mary Mwanjelwa (kushoto) akiwa na baadhi ya wahitimu wenzake. NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala...
READ MOREALIYEKUWA mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye, ameshindwa...
READ MOREWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, anatarajia kutoa ushahidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi inayomkabili...
READ MOREKESI ya uchochezi inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu...
READ MOREWatanzania wamehimizwa kushiriki zoezi la kuchangia damu kwa hiari ili kukidhi mahitaji makubwa ya damu na kuokoa maisha...
READ MORENAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro kufanya mabadiliko ya uongozi...
READ MOREKatibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa...
READ MOREABIRIA wawili waliokuwa wanasafiri na basi la kampuni ya Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Mtwara wamenusurika...
READ MORERAIS John Magufuli amesema kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa ni demokrasia huku akisisitiza kuwa...
READ MORERAIS John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus Kuuli, kuitisha kikao haraka na madiwani na kujadili...
READ MORERais John Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na waache kulalamika kwamba hawana fedha wakati hawajitumi. Magufuli ametoa...
READ MOREWIZARA ya afya Zanzibar imemsimamisha kazi daktari wa Hospitali ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, Massoud Sleiman Abdalla, kutokana tuhuma...
READ MOREALIYEKUWA mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kuburuzwa polisi na mkewe Philomena Toima kwa tuhuma...
READ MOREOfisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Getrude Alex (40), amefariki dunia usiku wa Novemba 23,...
READ MOREKIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Paschal (24) anadaiwa kumuua Rosemary Gallus (34) kwa kumchoma kisu kisha na yeye kujichoma...
READ MOREMAMIA ya wakazi wa mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamejitokeza kwa wingi kumzika mkazi wa jijini Arusha,...
READ MORERAIS John Magufuli leo Novemba 25, 2019 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi makao makuu ya Uhamiaji katika...
READ MOREMHADHIRI wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda...
READ MOREVIJANA ambao ni wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa,...
READ MOREMWENYEKITI wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Lyatonga Mrema, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali...
READ MOREWATU tisa wa familia mbili, wakiwa ni wanawake wanne na watoto watano, wamefariki katika Kata ya Nyatukala wilayani Sengerema, mkoani...
READ MOREWAKAZI wa Makueni, Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wamefariki...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa...
READ MORE