×

Kitaifa

Aliyekiri Kuhujumu Uchumi Ahukumiwa Jela, Faini Sh mil 100 – Video

MFANYABIASHARA Yasin Katare amehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kulipa faini ya Mil.100 au kifungo cha miaka mitatu...

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Songwe – Video

                       

READ MORE

JPM Ampongeza RC Chalamila Kuwatimua Wanafunzi

RAIS  John Magufuli amesema alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuwafukuza shule wanafunzi wote wa kidato cha tano...

READ MORE

JPM Atatua Mgogoro wa Ardhi Mbozi

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza wakazi wa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe, kuendelea kulitumia eneo lenye ukubwa wa...

READ MORE

JPM: Mmechoma Mahakama, Mtaijenga Wenyewe – Video

Rais wa Tanzania, John Magufuli amefungua jengo la mahakama katika mji wa Mlowo mkoani Songwe baada ya wananchi kumueleza kuwa...

READ MORE

JPM Afunguka Alivyofanya Magumu Usiku wa Manane – Video

RAIS  John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Kahawa Songwe, Atoa Kauli – Video

 RAIS John Magufuli leo Oktoba 4, 2019, amezindua kiwanda cha kukoboa kahawa cha kampuni ya GDH kilichopo Mlowo Wilaya...

READ MORE

RC Chalamila Awatimua Kidato cha 5 & 6

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewarudisha makwao wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita wa Shule ya...

READ MORE

Kiingereza Cha Bibi Muokota Makopo Dar, Watu Hoi…! – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria...

READ MORE

Ndoa Ya Mashoga Yashangaza Afrika!

SEPTEMBA 28, mwaka huu ilikuwa siku ya historia kwa mashoga maarufu nchini Afrika Kusini, Somizi Mhlongo (mtangazaji na msanii) na...

READ MORE

ATM ya Maziwa Yazinduliwa Moshi

HAKIKA Teknolojia inazidi kukua nchini Tanzania, leo Alhamisi, Oktoba 3, 2019 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira amezindua...

READ MORE

Maofisa Upelelezi Kortini kwa Tuhuma za Rushwa

MAOFISA wa upelelezi wanne wa kituo cha Polisi Kawe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka tisa...

READ MORE

Serikali: Korosho Zote Zimeuzwa, Miradi Mingi Yakamilika – Video

SERIKALI imesema kuwa korosho zote moani Mtwara zimeuzwa na unasubiriwa msimu mpya wa zao hilo na kwamba, mamia ya miradi...

READ MORE

RC Chalamila Awacharaza Bakora Wanafunzi, Mabweni Yachomwa Moto

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewacharaza bakora wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao wamekutwa...

READ MORE

Makaburi Ajali ya Mafuta Moro, Yajengewa Ukuta

HATIMAYE ujenzi wa ukuta unaozunguka makaburi ya watu waliofariki kwenye ajali ya mlipuko wa lori la mafuta umeanza.   Hivi...

READ MORE

Uchaguzi Nafasi ya Mbowe, Msajili Aipa Chadema Siku 7

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini amekiandika barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe...

READ MORE

ACT Wazalendo Kupinga Uteuzi Mkurugenzi NEC Mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua...

READ MORE

WANANCHI WAZUA TIMBWILI SERIKALI YA MTAA

WAKAZI wa Mtaa wa Kisiwani, Magomeni – Mikumi, jijini Dar, wameibua timbwili la aina yake ofisini kwa Mwenyekiti wa Serikali...

READ MORE

Chokochocko! Korea Yarusha Makombora

Jeshi la Korea ya Kusini limesema, Korea Kaskazini imerusha makombora kutoka baharini hii leo, Jumatano, Oktoba 2, 2019.   Kwa...

READ MORE

Maajabu Mtoto Mlemavu Bongo, Simulizi Yake Fundisho!

OMARY Jumanne ‘9’ ndiyo mtoto anayeonekana katika picha kubwa ukurasa wa mbele; usimchukulie poa kwa jinsi unavyomtafsiri; Uwazi lina maajabu...

READ MORE

Pundamilia wa Ajabu Aliyepatikana Kenya Ahamia Tanzania

PUNDAMILIA wa ajabu ambaye hivi karibuni alionekana katika mbuga ya wanyama ya Mara nchini Kenya amevuka mpaka na kuingia ndani...

READ MORE

Kigogo TAKUKURU Amwandikia Barua DPP ‘Ninakiri Nisamehe’

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Kulthum Mansoor ameiambia...

READ MORE

Kigogo Usalama Mtuhumiwa wa Madawa Akosa Dhamana

OFISA Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (44) na dereva Abraham Msimu (54) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Uhujumu Uchumi: Wambura wa TFF Akiri kwa DPP

News updates kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni kuhusu aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Prof. Tibaijuka Kurejesha Bilioni 1.6 za Escrow – Video

MBUNGE wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amesema uongozi wa Shule ya Sekondari Barbro Johansson Model Girls utarejesha fedha...

READ MORE

Wanakijiji Waamua Kufuga Pweza – Video

WANAKIJIJI wa Songosongo, Kata ya Songosongo, Kilwa, mkoani Lindi,  wameishukuru serikali kwa kuwaletea mpango wa uhifadhi wa mazingira na utunzaji...

READ MORE

Bibi Mwokota Makopo Maarufu Dar “Naipenda Hii Kazi” – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria...

READ MORE

Breaking: Wawili Wajeruhiwa Lori la Soda Likigongana na Daladala

WATU wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kutokea ajali iliyohusisha lori lililokuwa limebeba soda, mali ya Kampuni ya Coca-Cola kugongana na...

READ MORE

Makonda Ashtukiza Ujenzi wa Soko Magomeni – Video

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Jumanne, Oktoba 01, 2019 alifanya ziara katika Wilaya ya Kinondoni...

READ MORE

Championi Latoa Misaada kwa Wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

GAZETI namba moja la Michezo nchini Tanzania, la Championi kupitia kampeni yake ya Tuko Pamoja, leo Jumanne, Oktoba 1, 2019...

READ MORE

Mkurugenzi Aliyempiga Risasi Meneja Ajisalimisha Polisi

MKURUGENZI mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Bonds Security, Frenk Kessy, hatimaye ametoka mafichoni na kujikabidhi kituo cha Polisi jijini...

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Wanaotakiwa Kurekebisha Maombi ya Mikopo 2019/20

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020...

READ MORE

NMB yatoa Msaada wa Madawati, Vifaa Tiba Mikoa Ya Morogoro, Simiyu na Manyara

    Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 215 katika shule za sekondari Mahenge, Vigoi na Isongo zilizoko Wilayani...

READ MORE

JPM Amwondoa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi

RAIS John Magufuli leo Oktoba 1, 2019,  amefanya uteuzi na kuwahamisha kutoka vituo vyao vya  kazi wakurugenzi wa halmashauri za...

READ MORE

Mpishi Akamatwa kwa Kuchanganya Bangi Kwenye Chakula

NCHINI Italia mpishi mmoja anaejulikana kama Carmelo Chiaramonte amekamatwa na polisi kwa kuchanganya bangi kwenye chakula ili apate viungo vipya...

READ MORE

Global Group & V.O.A Wazidi Kuchanja Mbuga Anga za Kimataifa- Pichaz

Kutoka kushoto ni wanahabari wa V.o.A;  Omary Kaseko, Iddi Uwesu, Mkurugenzi wa Global Group, Eric Shigongo (katikati), Mary Mgawe na...

READ MORE

Moto Walipuka Kiwandani na Kuua watu 19

MOTO uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19....

READ MORE

Akamatwa Baada ya Kujificha Pangoni kwa Miaka 17

Polisi nchini China wamemkamata mhalifu ambaye amekuwa akijificha kwa miaka 17, baada ya kutumia ndege zisizokuwa na rubani kubaini pango...

READ MORE

Puma Yampa Makonda Tsh 40m za Upasuaji Moyo kwa Watoto

Kampeni ya Matibabu ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto 10 kutoka familia duni kila mwezi kwa Muda wa Miezi 6...

READ MORE