×

Kitaifa

Kilichojiri Mahakamani… Mume Anayedaiwa Kumuua Naomi

UPANDE wa Jamhuri leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu umesema upelelezi wa kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said...

READ MORE

WAFANYAKAZI NMB WAFANYA USAFI HOSPITALI YA AMANA

    WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam jana walijitolea kufanya usafi katika Hospitali ya Amana ya...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao cha Mawaziri – Pichaz + Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini....

READ MORE

Lugola Amtaka RPC Morogoro Arudi Kilimanjaro Haraka

WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Hamis Issa kurudi Mkoani...

READ MORE

Makonda Aridhishwa na Ujenzi Stendi Mpya Mbezi Louis

     Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo September 23 ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi...

READ MORE

Alichosema DPP Baada ya JPM Kuwaombea Msamaha Wahujumu Uchumi

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake ipo tayari kutekeleza ushauri wa Rais Magufuli aliyetaka kusikilizwa kwa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuiba Laptops Saba kwa ‘Kikwete’

JESHI la polisi mkoani Pwani ,linawashilia watu watatu wanaodaiwa kuiba kompyuta mpakato saba zenye thamani ya sh. milioni 4.2 mali...

READ MORE

Anaswa Akitorosha Madini

MTU mmoja Khalifa Mohamed Kinyaka (51) anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kwa tuhuma za kutorosha na kusafirisha viroba...

READ MORE

Mwili wa Mtoto wa CDF Mabeyo Wachukuliwa kwa Maziko

MWILI  wa Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) nchini, Venance Mabeyo, aliyefariki katika ajali...

READ MORE

Kigogo Usalama Anaswa kwa Dawa za Kulevya – Video

  MAMLAKA ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini inamshikilia aliyekuwa Afisa Usalama wa Shirika la Posta nchini,...

READ MORE

Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Afariki kwa Ajali ya Ndege

NELSON MABEYO, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo,  ni mmoja wa watu wawili...

READ MORE

Waliojiunganishia bomba la mafuta waachiwa huru – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka na kuwaachia huru watuhumiwa watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa...

READ MORE

Chukua Hii ni ya Muhimu Kuhusu Uchaguzi Serikali za Mtaa

MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar, Kiduma Siga Mageni,   ametoa...

READ MORE

Ndege Yaanguka Serengeti, Yaua Watanzania Wawili

NDEGE ndogo ya Shirika la Auric Air imeanguka  leo Jumatatu asubuhi Septemba 23, 2019, katika uwanja mdogo wa ndege eneo...

READ MORE

Utakatishaji Fedha: BoT Yazipiga Faini Benki 5

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezipiga faini benki tano nchini kwa kuvunja sehemu ya vifungu vya Sheria ya Kuzuia Utakatishaji...

READ MORE

Zanzibar: Mtalii Afa Chini ya Bahari Akimchumbia Mpenzi Wake

MTALII mmoja aliyejulikana kwa jina la Steven Weber Jr, amefariki dunia hivi karibuni akiwa chini ya bahari alikoenda kumvisha pete...

READ MORE

MWALIMU LONGIDO AZINDUA KITABU CHA TANZANIA YA SASA

  JAMII ya wafugaji wilayani Longido mkoani Arusha imehamasishwa kujitoa  kwa wingi na kuwekeza katika elimu ya watoto wao, na...

READ MORE

NBC zindua mkopo wa bima

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua mkopo wa bima ikiwalenga zaidi wafanyabiashara walio katika sekta ya uchukuzi....

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Harmonize Kukabwa Mbele ya JPM!

DAR ES SALAAM: Meneja wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, Beauty Mmari ‘Mjerumani’ ameeleza juu ya jamaa ambaye...

READ MORE

MAKONDA KUWAWEKA KIKAANGONI WATENDAJI WALIOKWAMISHA MIRADI

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Mhe. Paul Makonda amehitisha kikao baina yake na watendaji wa Mkoa huo wakiwemo...

READ MORE

Auawa kwa Bomu Kibaha, Wawili Wajeruhiwa

MKAZI wa Kibaha Msangani mkoani Pwani, Mbaraka Koromera, mwenye umri wa miaka 37 amefariki na wengine wawili kujeruhiwa kutokana na...

READ MORE

Wanaume Wanavyolizwa Kwenye Makundi ya Ngono WhatsApp

DAR ES SALAAM: Dawa ya wanaume wakware wanaopenda ngono na kuchepuka imepatikana kupitia ‘ma-group’ (makundi) ya ngono ya WhatsApp ambayo...

READ MORE

TADB, NMB  KUPANUA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA KWA WAKULIMA 

Benki Ya Maendeleo Ya Kilimo Tanzania (TADB) ikishirikiana na NMB zatimiza azma ya serikali katika kupanua wigo wa huduma za...

READ MORE

Mama Abanwa Madai ya Ndoa ya Kiba Kuvunjika

DAR ES SALAAM: Wakati hali ikiwa si shwari kwenye mitandao ya kijamii kufuatia madai ya staa kunako Bongo Fleva, Ali...

READ MORE

Kortini Akijifanya Usalama wa Taifa Amsaidie Malinzi – Video

THOMAS Mgoli (37), mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

JPM Aagiza Airbus Nyingine Mbili Mpya

SERIKALI imesaini mkataba wa ununuzi wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania...

READ MORE

CHINA YASHEREKEA MIAKA 70 TANGU KUANZISHWA KWA JAMHURI YAO NCHINI TANZANIA

VIONGOZI mbalimbali walihudhuria hafla fupi ya raia wa China kupitia ubalozi wa China nchini Tanzania kwa kusherehekea miaka 70 tangu...

READ MORE

Makonda Kusaidia Matibabu ya Moyo kwa Watoto 60 – Video

TAASISI ya moyo ya Jakaya Kikwete, imemmwagia pongezi za kutosha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kwa...

READ MORE

WIKI NYINGINE YA BETIKA HII HAPA

  GAZETI lako pendwa linalotolewa bure la Betika kama kawaida wiki hii limeingia mtaani. Hii ni wiki ya 32 tangu...

READ MORE

Shule ya Sekondari Old Tanga Yaungua kwa Moto

Shule ya Sekondari Old Tanga imeungua kwa moto ulioanza leo mchana Jumatano Sept. 18, 2019. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

READ MORE

DODOMA: Watuhumiwa 45 kwa Kuuza Petrol Mtaani

JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limefanya msako mkali katika Wilaya zote mkoani hapa na kufanikiwa kukamata Watuhumiwa 45 kwa...

READ MORE

Sita Kizimbani kwa Kukutwa na Pembe za Ndovu

WATU sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwemo Hassan Likwena maarufu kwa jina la ‘Nyoni’, wakikabiliwa na...

READ MORE

Coco Beach Yafungwa

MEYA wa Kinondoni, Benjamin Sitta,  ametangaza rasmi kufungwa kwa ufukwe wa Coco Beach kwa miezi Sita ili kupisha ujenzi wa...

READ MORE

Wanafunzi Wanaodaiwa Kuua Waruhusiwa Kujiandaa na Mtihani

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Katoro Islamic wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanafunzi mwenzao, Mudy Muswadiku, wameruhusiwa kujiandaa na mtihani...

READ MORE

Kesi ya Mo Dewji Kutekwa Ilipofikia

UPANDE  wa Jamhuri katika kesi inayomkabili dereva wa teksi mkazi wa Tegeta, Mousa Twaleb (46),  ya uhujumu uchumi ikiwamo kusaidia...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Washindwa Kujitetea Mahakamani

VIONGOZI tisa wa Chama chas Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya...

READ MORE

JPM Azuia Ushuru Machinjio Vingunguti, Amwagiza Makonda

RAIS  John Magufuli ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Ilala kutochangisha fedha katika machinjio ya Vingunguti hadi pale watakapokamilisha ujenzi wa...

READ MORE

Jela Miaka 60 kwa Kuvutisha Bangi watoto na Kuwalawiti

MAHAKAMA ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imemuhukumu Nyamasheki Malima (41), kifungo cha miaka 60 jela, kwa kumkuta na hatia...

READ MORE