RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ameinyooshea kidole cha lawama Somalia akisema hatua ya wanajeshi wa Somalia kuingia Kenya ni kitendo...
READ MOREWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange, na maafisa wengine wawili...
READ MORETatizo la maji lililokuwa likiwakabili wananchi wa wilayani Moshi mkoani kilimanjaro, linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni, baada ya serikali kutenga...
READ MOREWatu 82 raia mataifa tofauti wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kuingia na kuishi nchini...
READ MOREKAMATI ya Kitaifa ya pamoja kwa Maaskofu na Maashekhe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu...
READ MORENAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, amemshukuru mke wa Rais Magufuli, Janeth Magufuli, kwa kuendelea kuwasaidia...
READ MOREMKUTANO wa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa, James Mbatia, umezuiliwa na ametakia kuripoti kituo kidogo cha polisi Lwangwa wilayani Rungwe....
READ MOREMBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha Mjini GodblessLema ameachiwa leo Machi 5, 2020, na ameenda kuripoti Ofisi...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani...
READ MOREWATU saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, Waryoba...
READ MOREIKIWA imepita miezi kadhaa tangu dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ aolewe...
READ MOREKufuatia kuendelea kuwepo kwa wakandarasi wanaosuasua katika ukamilishaji wa miradi ya kupunguza kero kwa Wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar...
READ MOREPROMOSHENI ya Bahati Nasibu iliyopewa jina la Chomoka na Gari Mpya, likiwa ndo kwanza kabisa bichi wakazi wa maeneo...
READ MOREWASOMAJI wa Gazeti la Betika maeneo ya Bunju, Boko na maeneo mengine ya jijini Dar es Salaam, wamesema kwamba gazeti...
READ MOREBancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara, kwa mara nyingine imeshinda tuzo ya Visa maarufu kama “Visa E-commerce...
READ MORESERIKALI imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba...
READ MOREALIYETANGAZWA kuwa rais wa mpito wa Guinea-Bissau, Cipriano Cassama, amejiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa siku moja akidai maisha yake...
READ MOREMEYA wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe, amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua...
READ MOREDARAJA la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo, barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, limevunjika na kutenganisha barabara hiyo kutokana na...
READ MOREWATU wawili wamepoteza maisha na ishirini na mbili kujeruhiwa wakati basi la Kampuni ya Struggle linalofanya safari zake kutoka Arusha...
READ MOREMamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha leo Machi 2-3, 2020 katika mikoa...
READ MOREDiwani wa kata ya Kining’ila(CCM), Elisha Antony anayedaiwa kutishia kuua ameachiliwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Igunga, Mkoani...
READ MOREMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amepata taarifa za kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Arusha. Kupitia ukurasa...
READ MOREWAFUNGWA 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bibi Judica Omari achunguze utendaji kazi wa Mweka Hazina...
READ MOREKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,...
READ MOREWakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya...
READ MOREBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano ya...
READ MOREBAHATI nasibu ya Chomoka na Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi...
READ MORETAARIFA zinadai kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limewajeruhi baadhi ya waandishi waliokuwa wakitelekeza wajibu wao wakati wa Kumkamata...
READ MOREKUFUATIA ongezeko la mimba za utotoni pamoja na ukatili wa kingono katika kata ya Tandale jijini Dar es Salaam, baadhi...
READ MORERAIS John Magufuli leo tarehe 28 Februari, 2020, amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...
READ MOREVIONGOZI waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa leo na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele...
READ MOREIKIWA ni muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na...
READ MOREKAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Rais John Magufuli, katika...
READ MOREBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema kuwa itaendelea kushirikiana na kuwasaidia wakulima hasa katika kuwapatia ujuzi na mbinu...
READ MORE