×

Kitaifa

Bob Wangwe Ashinda Kesi ya Makosa ya Mtandao

CRIMINAL Appeal 370 ya mwaka 2018 ya Mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, marehemu Chacha Wangwe, Bob Chacha Wangwe,  imesomewa...

READ MORE

Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji, Mzee Auawa kwa Mkuki!

MZEE mmoja aliyetambulika kwa jina la Visu Urembo (80), amefariki dunia baada ya kuchomwa mkuki kwenye sehemu ya ubavuni mwa...

READ MORE

Polisi Yavamia Ukumbi, Yazuia Mkutano wa ACT – Wazalendo Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa ndani wa chama cha ACT-Wazalendo uliokuwa ufanyike leo,...

READ MORE

MAKONDA Ampa Sh 1m, Aliyetoka Manyara Hadi Dar kwa Baiskeli – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemkabidhi pesa taslim kiasi cha shilingi Milioni moja kijana Ikuzi Kicheko...

READ MORE

Dereva Afunguka Alivyochukua Fedha kwa Mhasibu Kumpelekea Malinzi

ALIYEKUWA dereva wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, Steven John, ameileza mahakama...

READ MORE

CUF, ACT Wazalendo, Vita Yapamba Moto, Kuburuzana Mahakamani- Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa amesema wamefungua kesi ya kiraia mahakama kuu ya Vuga visiwani...

READ MORE

TAKUKURU Yarejesha Bilioni 14.9 Zilizoibiwa na Mafisadi, Mtuhumiwa Atoroka

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtafuta mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Magreth Kobelo mkazi wa Kinondoni...

READ MORE

WIZI WA MITIHANI UNALIVUNJIA TAIFA HESHIMA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo baada ya kufungua Mkutano Mkuu...

READ MORE

Tigo yazindua tawi jipya la huduma kwa wateja Iringa

  Kampuni ya Tigo leo imezindua duka jipya la huduma kwa wateja lililopo Iringa mjini ambalo litarahisisha upatikanaji wa huduma...

READ MORE

Breaking: JPM Amwondoa Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

Rais John Magufuli amemteua Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuchukua nafasi ya...

READ MORE

ZITTO AFUNGUKA MSAJILI KUIFUTA ACT-WAZALENDO – VIDEO

(Taarifa ya Kiongozi wa Chama Ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto Kuhusu Tishio la Msajili wa Vyama vya Siasa Kukifutia Usajili...

READ MORE

Msajili Aipa Siku 14 ACT- Wazalendo, La Sivyo Ataifuta!

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ametishia kukifutia usajili Chama cha ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya Vyama...

READ MORE

Rais Magufuli Awapa Serengeti Boys Bilioni 1 – Video

Rais Johh Magufuli atoa zawadi ya viwanja vya kujenga nyumba kwa wachezaji wa taifa stars pamoja na bondia Hassan mwakinyo...

READ MORE

JPM Aaanika Madudu Uwanja wa Taifa – Video

RAIS John Magufuli ameitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo  na Wizara ya Mambo ya Nje kupitia vyombo vyake...

READ MORE

JPM Awapa Viwanja Taifa Stars, Awataka Wajitume Zaidi – Video

RAIS . John Magufuli amewazawadia viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma wachezaji wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars,...

READ MORE

Vigogo Watatu wa CCM, Wanaswa Wakipokea Rushwa ya Milioni 5

VIONGOZI wa tatu wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kutokana na kosa la kuomba milioni tano za rushwa kwa...

READ MORE

RUKWA: Maiti za Watoto Waliotekwa Zakutwa Kwenye Gari la Sangoma

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa huo, ACP Mathias Nyangi kuhakikisha anafanya msako wa...

READ MORE

Baada ya Ushindi, Rais Magufuli Awaita Taifa Stars IKULU

Rais Magufuli atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na bondia Hassan Mwakinyo leo Machi...

READ MORE

Huduma mpya ya usafiri Dar yazinduliwa

  Kampuni ya usafirishaji abiria kupitia mtandaoni ijulikanayo kama LITTLE imezindua huduma zake Tanzania zenye lengo la kuchangia katika kuleta...

READ MORE

WAZIRI MGUMBA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA KWENYE KILIMO

      VIJANA Mkoani Morogoro wametakiwa kuchangamkia fursa za kilimo zilizopo katika Mkoa huo ili kujiwezesha na kujiimarisha kiuchumi....

READ MORE

Majaliwa Atua Kambi ya Stars, Kamati Yaahidi 10m Kila Mchezaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea kambi ya wachezaji wa timu ya Taifa na kuwaeleza kwamba Serikali na wananchi wanamatumaini makubwa...

READ MORE

Simanzi! Mazishi ya Kaka wa Mpiga Picha Mkuu wa Global – Pichaz

MPIGA Picha Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda, Amani, Championi, Spoti...

READ MORE

ASKARI ZIMAMOTO WADAIWA ‘KUWAPIGA’ WACHIMBAJI

MBEYA: Baadhi ya askari wa Jeshi la Zimamoto mkoani Mbeya wanatuhumiwa ‘kupiga’ tozo kwa vitisho wakitumia silaha na kuwaweka mahabusu...

READ MORE

GEITA: MAPACHA WALIOZALIWA WAMEUNGANA WAFARIKI

Watoto mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana katika Hospitali ya Rufaa Geita, wamefariki dunia wakiwa njiani wakipelekwa Hospitali ya Rufaa Bugando. Watoto...

READ MORE

RC MAKONDA Ampa Siku 3 DC Ilala, La Sivyo…! – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku tatu tu kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia...

READ MORE

TETEMEKO LA ARDHI LAUA MMOJA SONGWE

MKAZI mmoja wa Kijiji cha Iyula, Kata ya Iyula wilaya ya Mbozi, SONGWE, Mwanji Mtega amefariki dunia kufuatia tetemeko la...

READ MORE

MAAJABU MAZITO FUNDI ALALA, AAMKA MLEMAVU

MSEMO wa hujafa hujaumbika una maana kubwa kwenye maisha ya binadamu kutokana na ukweli kwamba hali ya afya aliyonayo mtu...

READ MORE

KANSELA ANGELA MERKEL AMPIGIA SIMU RAIS MAGUFULI

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel jana tarehe 20 Machi, 2019 amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

MAKONDA AHIMIZA USHINDI STARS, AAHIDI BONGE LA PATI – VIDEO

MWENYEKITI wa Kamati ya Uhamasishaji kuelekea mchezo wa ya Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya timu ya taifa...

READ MORE

Maalim Seif, Zitto Kabwe Watua Zanzibar

 KIONGOZI wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe akiambatana na Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na viongozi na wanachama...

READ MORE

Tanzania Yafanya Mazoezi ya Kijeshi India

Kikosi cha Wanajeshi kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania kinachoshiriki Mazoezi ya Kijeshi ya Pamoja nchini India yanayojulikana kama...

READ MORE

MAGEREZA YAKANUSHA KIFO CHA RUGEMARILA WA ESCROW

JESHI la Magereza nchini limekanusha taarifa za kifo cha mahabusu, James Rugemarila mwenye mashitaka ya uhujumu uchumi, na kusema kwamba...

READ MORE

WAZIRI WA JPM ANG’AKA RAIA KUNYWESHWA SUMU INATISHA

HALI inatisha! Waziri wa Madini, Dotto Mashaka Biteko ameng’aka kwa hasira baada ya kujionea maji yenye sumu yanayotiririka na kunywewa...

READ MORE

KAMATI YA PIC YASHAURI TAASISI ZA UMMA KUTUMIA HUDUMA ZA TTCL

  MWENYEKITI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Dk. Raphael Chegeni amezitaka Taasisi za...

READ MORE

NASSARI AMFUNGULIA MASHTAKA SPIKA, MAHAKAMA YAZUIA UCHAGUZI

ALIYEKUWA Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari,  amefungua shauri la madai dhidi ya Spika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...

READ MORE

MAKONDA KUSOMESHA WANAFUNZI WA KIKE 100 – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike 100 ambao wamehitimu...

READ MORE