Dkt. John Pallangyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi (CCM) mkoani Arusha, ameshinda kwa kishindo kinyang’anyiro cha kura...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiagiza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Arusha Mjini...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi...
READ MOREKamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Liberatus Sabas amewahakikishia wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuimarishwa kwa...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Robison Enerst (33) fundi ujenzi kwa kosa la kumnyonga shingo, mwanae Modesta Robison mwezi...
READ MORESERIKALI imesema kwamba iko tayari kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na wadau...
READ MORERAIS wa Tanzania John Magufuli ameagiza zipelekwe Sh 50 bilioni kwa ajili ya kulipia wakulima wenye kilo zaidi ya 1,500...
READ MORERAIS John Magufuli amewajia juu wakulima wa korosho mkoani Mtwara wanaodanganya kuwa hawajalipwa fedha zao na serikali jambo ambalo si...
READ MOREVIONGOZI wa chuo cha Jeshi la Usalama wa Taifa la Kimaka kutoka nchini Uganda (KDC) wametembelea kituo cha Mamlaka ya...
READ MOREWATU watatu wanasadikiwa kupoteza maisha na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo lililokuwa limebeba mafundi wa mradi wa...
READ MOREKamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge pia imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa kulidharau...
READ MOREWATU 28 wamekamatwa na polisi wilayani Nyang’hwale, Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi askari polisi watatu kwa silaha za jadi wakati...
READ MOREKATIKA kuunga mkono juhudi za Benki Kuu ya Tanzania ya kuhakikisha huduma ya kubadilishia fedha za kigeni inafanyika kwa...
READ MORERais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu na kutoa mkono wa...
READ MOREWakati uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...
READ MOREKATIKA kutekeleza majukumu yake ya kuhakikisha kuwa Sekta ya Fedha inachangia ipasavyo utulivu na ukuaji wa uchumi nchini, Benki Kuu...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless...
READ MOREWaziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua ukumbi wa mihadhara wa kisasa katika Chuo Cha Kumbukumbu ya...
READ MOREBi. Selina Izack, mkazi wa Bunju A, Mtaa wa Baharia, mama anaesumbuliwa na tatizo la moyo, kisukari na vidonda vya...
READ MOREIkiwa ni miaka minne imepita tangu kufariki kwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Mkoani Ruvuma kwa tiketi ya...
READ MOREWATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa huku askari polisi mmoja akijeruhiwa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi katika...
READ MORESERIKALi imekabidhi ndege yake aina ya Fokker 50 kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria...
READ MOREWANANCHI wa Mbagala Kiuzuiani Mtaa wa Juhudi wameiomba Halmashauri ya Wilaya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwawekea mifereji...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameipigia magoti familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba akiomba radhi...
READ MOREBENKI ya NMB imechangia jumla ya mabati 802 kwa ajili ya kuezeka madarasa ya Chuo cha Veta Kalambo,...
READ MORERIPOTI 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia...
READ MOREUKIAMBIWA mambo aliyoyafanya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Urban Mwegelo tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, miezi minane...
READ MORENaibu Waziri Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (MB) ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe na kukagua ujenzi wa Mabweni...
READ MOREKATIKA kuhakikisha wanapata ushindi, Uongozi wa Alliance FC umeweka wazi kwamba hawataki utani kwenye mechi yao dhidi ya Yanga ndiyo...
READ MOREAMIRI Jeshi Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, akikagua gwaride la heshima...
READ MOREKituo cha Kuzalisha na Kusambaza Umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kimungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na...
READ MOREHapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MACHI 30, 2019. Ni yale ya...
READ MORESERIKALI imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia...
READ MOREMVUVI wa dagaa kutoka katika Mkoa wa Kagera, Semistocles Mkiza, ameshinda Sh 84,814,160 kupitia Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya...
READ MORETAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini wa taasisi hiyo,...
READ MOREMKURUGENZI wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, aliyetajwa jana, Machi 28, 2019 na...
READ MORENI mfululizo wa ukatili wa kutisha kati ya wakulima na wafugaji! Siku ya tarehe 26.03.2019 ambapo mtu mmoja afahamikaye kwa...
READ MOREINAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa...
READ MORE