×

Kitaifa

Wanafunzi Wagoma Wakidai Kudhalilishwa Kingono na Walimu

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro jana Ijumaa lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Majengo baada...

READ MORE

DEREVA WA LISSU ASIMULIA “WALIVAA KOFIA NA MIWANI MYEUSI”

KWA mara ya kwanza, dereva wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyekuwa naye siku ya kushambuliwa kwake, Adam...

READ MORE

BREAKING: SUMAYE Augua GHAFLA, Akimbizwa Hospitali, CHADEMA Wafunguka! – VIDEO

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ameumwa ghafla akiwa Mkoani Tanga kwenye shughuli za Chama chake cha CHADEMA ambapo yeye ni...

READ MORE

BABU AKIONA CHA MOTO Anaswa na Denti Wakifanya Mapenzi – Video

Dunia kuna mambo! Babu mmoja aliyejulikana kwa jina la Dotto, Mkazi wa Kitangini kata ya Chanika jijini Dar es salaam,...

READ MORE

Tundu Lissu atarejea, hatarejea nchini?

TAKRIBAN mwaka mmoja na ushee sasa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu...

READ MORE

MJADALA MZITO UMEIBUKA: LISSU VS NDUGAI, MTANDAONI PACHAFUKA!

MJADALA HOT: TUNDU LISSU Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amefanya ziara barani Ulaya na Marekani na kuisema Serikali....

READ MORE

ACB YAJIDHATITI KUWAINUA WAJASILIAMALI WADOGO

  Mkurugenzi  Mtendaji wa ACB, Augustine Akowuah akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).     BENKI ya Akiba Commercial...

READ MORE

Breaking News: Spika Ndugai Kusimamishia Mshahara wa Tundu Lissu – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amesema ipo haja ya kusimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu...

READ MORE

Bukoba: Kesi ya Walimu Kumuua Mwanafunzi Yaanza Kusikilizwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Bukoba imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia jana inayomkabili Mwalimu Herieth Jerald wa shule ya...

READ MORE

UNHCR Yamwomba Radhi JPM kwa Kuingiza Nguo Zinazofanana na za Jeshi

KAMISHNA Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), Filippo Grandi amemwomba radhi Rais wa Tanzania, John...

READ MORE

Makambako: Mwili wa Mtoto Watelekezwa Kwenye Ndoo

WANAWAKE mkoani njombe wametakiwa kuacha Tabia ya kutoa ujauzito na kutupa watoto wachanga wasio na hatia kwa kisingizio cha Ugumu...

READ MORE

Mkulima Aliyedaiwa Kupigwa Risasi Kanisani na Mkurugenzi Azikwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,  Selemani Jafo amelaani vikali vitendo cha watumishi...

READ MORE

HOTUBA: MAGUFULI Amshangaa JAJI MKUU “Umeongea Nini?”

Rais Dkt John Magufuli leo Februari 06, 2019, amekuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania...

READ MORE

Jaji Mkuu Aagiza Sheria Zote Kuwekwa Mtandaoni – Video

JAJI Mkuu Profesa Ibrahimu Juma, amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuweka sheria zote mtandaoni ili Watanzania wote wapate kuzifahamu. Amesema...

READ MORE

IGP SIRRO APANGUA MAKAMANDA WA POLISI, AMWONDOA SHANA MWANZA

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza na...

READ MORE

BREAKING: JPM Afanya Ziara Channel 10, Magic FM, Awapa Mamilioni na Mjengo – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli leo Jumanne, Februati...

READ MORE

BREAKING NEWS: WABUNGE WATIMUA BUNGENI BAADA YA ALAMU – VIDEO

TAHARUKI imeibuka Bungeni huku Kikao cha Bunge kikivunjika kwa muda huku wabunge wakilazimika kukimbia kutoka ndani ya Ukumbi wa Bunge...

READ MORE

DED WA ADAIWA KUUA MKULIMA KANISANI KWA RISASI – VIDEO

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, mkoani Singida, Pius Luhende na Askari wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Nape Nnauye Ajiuzulu

KATIBU wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai amethibitisha kupokea barua ya mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye kujiuzulu nafasi ya Mwenyekiti...

READ MORE

Ndugai Aitaka Serikali Ieleze Kuhusu Mauaji ya Watoto Njombe

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza Serikali kutoa kauli kuhusu mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe kabla ya kuahirishwa kwa...

READ MORE

Kesi ya Lissu Yafufuka, Wadhamini Wake Waitwa Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wadhamini wa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Chadema, Tundu Lissu...

READ MORE

Serikali Yafanunua Inavyonunua Korosho Chini ya Bei Elekezi ya Sh 3,300 – Video

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madai ya watu wa kada mbalimbali, akiwemo Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali,  kuwa korosho inanunuliwa...

READ MORE

HII NDO MBINU MPYA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA

WAFANYABIASHARA wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi wamebuni mbinu mpya za kusafirisha Dawa hizo kwa kutumia magari ya Kifahari...

READ MORE

MJALIWA AKUTANA na Mwinyi, Lugola, Kabudi na Mahiga

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global...

READ MORE

MGUNDUZI WA TANZANITE, MZEE NGOMA AZIKWA SAME

MGUNDUZI wa madini ya Tanzanite na Madini ya Jasi Marehemu Jumanne Ngoma ambaye alifariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini...

READ MORE

CHADEMA WAINGIA VITA NA KARIA, WAMTAKA AMUOMBE RADHI LISSU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeingia vitani na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia baada ya kutoa...

READ MORE

Baada ya Kuhamishiwa Muhimbili, Rais Magufuli Amtembelea Kitwanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Jumamosi, Februari 2, 2019 amemtembelea na mjulia Mbunge wa...

READ MORE

Kampeni ya Binti CCM kutua Ocean Road

Mwenyekiti wa Binti CCM Kampeni, Debora Charles, amesema kuwa kesho wanatarajia kukutana na wasina na wadau mbalimbali  ili kuweza kuwatia...

READ MORE

Kasesela Anasa Video: Mchungaji Akifanya Mapenzi na Binti wa Mchungaji Mwenzake

MKUU wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela amelishauri Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Iringa kumuondoa...

READ MORE

MTOTO MWINGINE ACHINJWA NJOMBE

Mtoto wa miaka 10, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili, amekutwa ameuawa kikatili na mwili wake kutelekezwa kichakani eneo...

READ MORE

Catherine Ruge: “Sio Trilioni 1.5 Tena, Bali ni Trilioni 2.4” – Video

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, amesema, kiasi cha Sh. 2.4...

READ MORE

Dakika 6 za Halima Mdee Vs Naibu Spika Tulia Kuhusu Ripoti ya CAG – Video

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global...

READ MORE

Baada ya Kumhoji CAG, Hatimaye PAC Yaanika Kilichotokea Sakata la Trilioni 1.5 – Video

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema uhakiki uliofanywa kuhusu sakata la ufisadi wa Sh1.5 trilioni katika mfuko...

READ MORE

MWILI WA MVUMBUZI WA TANZANITE WAAGWA DAR, WAPELEKWA SAME KUZIKWA

  MWILI wa Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, mzee Jumanne Ngoma (84) aliyefariki dunia juzi Jumatano, Januari 30, 2019, umeaswaliwa katika msikiti...

READ MORE

SIMU YA ZITTO KABWE YASHIKILIWA NA TAKUKURU

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeishikilia simu ya mkononi ya Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa...

READ MORE

CHARLES KITWANGA AHAMISHIWA MUHIMBILI

MBUNGE wa Misugwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, amehamishwa kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma...

READ MORE