×

Kitaifa

Waimbaji wa Injili wamfuta machozi Cassian!

MSA­NII wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni mlezi wa waimbaji wa injili Tanzania, Emmanuel Mbasha ameeleza jinsi yeye...

READ MORE

MOOVN DRIVER YATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA HANANASIFU

KAMPUNI Ya usafirishaji abiria ya Moovn Driver kwa kushirikiana na umoja wa madereva wa mtandao (TODA), leo wametoa msaada wa...

READ MORE

MCHUNGAJI ALIYETABIRI MABADILIKO SERIKALI YA JPM 2019 – VIDEO

UNABII UMETIMIA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ikiwa ni siku 8 tu tangu Mtumishi wa Mungu, Pastor Malachi Joseph kutabiri kuwa...

READ MORE

ATOLLSPEED HYBRID OVEN; MASHINE YA KUOKA MIKATE YENYE ‘MAAJABU’

HEBU vuta picha, unafanya biashara ya kuoka mikate, oda zimekuwa nyingi, wateja wanakusubiria, lakini uwezo wako wa kuzalisha ni mdogo,...

READ MORE

Mzungu wa Simba atua Singida United

SINGIDA United iko kwenye mazungumzo ya mwisho na Mserbia, Goran Kopunovic aliyewahi kuinoa Simba. Kocha huyo mwenye mbwembwe ataanza kazi...

READ MORE

OFM YA MFUNGIA K AZI ‘DOGO’ WA MIL. 180

DAR ES SALAAM: TUHUMA za uhujumu uchumi zinazomkabili ‘bwa’mdogo’ Mustapha Kambangwa anayedaiwa kuiibia Serikali ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’,...

READ MORE

USIYIYAJUA TUZO ZA SZIFF MSIMU WA PILI

BAADA ya kufanyika kwa kishindo msimu wa kwanza mwaka jana mbele ya mgeni rasmi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, msimu huu...

READ MORE

ALIYETAJWA NA JPM KUIIBIA SERIKALI SH MIL. 7 KWA DAKIKA AACHIWA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka mfanyabiashara aliyetajwa na Rais John Magufuli akidaiwa kuiibia Serikali takribani Shilingi milioni 7...

READ MORE

JPM Akutana na Mwenyekiti wa Airtel, Walichokubaliana Kuhusu Hisa… Soma Hapa!

Rais Dkt. John Magufuli leo Ijumaa, Januari 11, 2018 amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel, Sunil Mittal, Ikulu...

READ MORE

‘MASTA BATA’ ya NMB Kiboko, Wateja Wabebelea Zawadi Kama Zote!

BENKI ya NMB, leo imetoa zawadi kwa wateja wao ambao wameibuka washindi baada ya kuchezeshwa kwa droo ya kila wiki...

READ MORE

Mahakama Yawafutia Kesi Bosi wa TRA na Wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya, maofisa wawili wa...

READ MORE

KESI YA ZITTO MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA YAHAMISHWA – VIDEO

KESI ya Kiongozi wa ACT Wazalendo na wenzake wa vyama 10 vya upinzani ya kupinga muswada wa Sheria ya Marekebisho...

READ MORE

AJIUA , AMWACHIA MWANAYE BAISKELI !

BUKOBA: Salvatory Rweyemamu (47) ni baba aliyekuwa mkazi wa Kashai Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambaye anadaiwa kujiua kwa kujinyonga...

READ MORE

Airport Wajibu Tuhuma za Ray Kuhusu Udokozi Uwanjani Hapo

Uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere umewataka abiria wanaodhani wamepoteza vitu vyao wakati wanasafiri kwa kutumia...

READ MORE

Milioni 50 za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mkulima Songea

    Mkulima na mfanyabiashara wa nyanya katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Sadick Zabron, amejishindia kitita cha...

READ MORE

TUKIO LA KUTISHA! Mtoto Miaka 8 Acharangwa Vibaya Mgongoni

MKURANGA: Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha; mfano ni hili tukio la kutisha...

READ MORE

MKURUGENZI VKP MBARONI AKIDAIWA KUJIPATIA FEDHA KWA UDANGANYIFU

MKURUGENZI wa kampuni  ya VKP Investment For Youth, David Manot, mwanasheria wa kampuni hiyo, Ernest Ngonyani na wenzao wanne wamefikishwa...

READ MORE

JPM Aanika Alivyosoma Meseji za Waziri Akitifuana na Katibu Mkuu – Video

RAIS John Magufuli amewataka viongozi na watumishi wote wa serikali kuacha malumbano na badala yake kushirikiana katika kutekeleza miradi mbalimbali...

READ MORE

Kamanda Mambosasa Awavalisha Vyeo Askari Saba – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amewavalisha vyeo askari saba wa jeshi hilo waliyopandishwa...

READ MORE

Magufuli Ampa Mtihani Waziri wa Madini: “Mnataka Nijiteue Kuwa Waziri?”

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri mpya wa Madini, Dotto Biteko, kuhakikisha anajenga vituo vya madini vitakavyosaidia kuratibu biashara ya madini...

READ MORE

JPM Aanika Mchezo Polisi Walivyokula Mil 700 Kusindikiza Dhahabu ya Magendo -Video

  RAIS John Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kwa kushughulikia suala la dhahabu ya...

READ MORE

LHRC Yafafanua Kuhusu Mamlaka na Mipaka ya CAG

  UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU MAMLAKA NA MIPAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CONTORLLER AND AUDITOR...

READ MORE

MCHUNGAJI ATABIRI JUU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU 2019, ANENA MAZITO KUHUSU TAIFA – VIDEO

MTUMISHI wa Mungu, Pastor Malachi Joseph amewashangaza wengi baada ya kutoa unabii juu ya roho ya mauti kwa Waziri Mkuu...

READ MORE

Lugola Ampa Siku 30 Mkuu wa Jeshi la Zimamoto

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa siku 30 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji...

READ MORE

BREAKING: JPM Amng’oa KAIRUKI Wizara ya Madini, Biteko Ala Shavu!

RAIS  John Magufuli leo, Januari 8, 2019, amefanya uteuzi wa viongozi na mabadiliko kidogo ya ofisi ambayo yalitangazwa na Katibu...

READ MORE

MABURUNGUTU YA PESA YALIYONASWA MWANZA UTATA WAIBUKA!

MWANZA: Tukio la Jeshi la Polisi jijini Mwanza kukamata kilo 323.6 za dhahabu na maburungutu ya fedha taslim kiasi cha...

READ MORE

MAJALIWA AAGIZA HAYA BAADA YA RC HAPI KURIPOTI OFISINI KWAKE

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kampuni zote zinazosambaza nguzo za umeme zinatakiwa zilipe ushuru wa halmashauri wanakotoa nguzo hizo amboa...

READ MORE

Zitto Kabwe Ahofia Usalama Wake, Aaandika Mazito!

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema anahofia usalama wake kutokana na taarifa alizozipata, akisema kuna mpango wa kumdhuru....

READ MORE

BENKI YA NMB YATUNUKIWA TUZO YA KUWA MSHIRIKA BORA KATIKA MASUALA YA KIFEDHA AFRIKA KWA MWAKA 2018

  NMB Bank PLC ilishinda tuzo na kutajwa kuwa Mshirika Bora katika Masuala ya Kifedha Afrika kwa benki zinazofanya kazi...

READ MORE

Ndugai: CAG Ajisalimishe Mwenyewe, Vinginevyo Ataletwa kwa Pingu

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,  kuripoti...

READ MORE

Magufuli Apiga Marufuku Viongozi wa CCM Kuitwa Waheshimiwa

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),  ameelekeza kuwa ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa...

READ MORE

Mkazi wa Zanzibar aondoka na 15m/ -za Tigo Jigiftishe

    Mkazi wa Unguja kisiwani Zanzibar Abdulrazak Abdallah, ameibuka mshindi wa zawadi ya shilingi 15m/- katika Promosheni iliyomalizika ya...

READ MORE

MAJALIWA: RC IRINGA NA WENZAKE WARIPOTI OFISINI KWANGU – VIDEO

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amewataka baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Ally Salum Hapi...

READ MORE

MastaBata ya NMB yaendelea kutoa fedha kwa washindi, wengine 20 walamba

    SHINDANO la Benki ya NMB kuhimiza matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ linalojulikana kama ‘MastaBata’, limefanyika tena...

READ MORE

WATANO WAGONGWA NA LORI WAKITOKA HARUSINI, WAFARIKI – VIDEO

AJALI mbaya ya lori la mchanga lenya namba za usajili T155 ATC kugongana na gari la abiria aina ya Toyota...

READ MORE

MHE. JOKATE KUMPA SHAVU BONDIA DULLA MBABE

  SERIKALI ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani inatarajia kutoa eneo kwa ajili ya kujenga ukumbi utakaotumika kuwapatia mazoezi ya...

READ MORE

MGALU, VULLU WAUNGA MKONO KAMPENI YA TOKOMEZA ZERO KISARAWE

  WABUNGE wa viti maalum mkoani Pwani ,Subira Mgalu na Zainab Vullu wamechangia magodoro 20 ili kupunguza changamoto ya upungufu...

READ MORE

Alichokisema Rais Magufuli Leo IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa...

READ MORE

Ridhiwani alivyomvaa Dk Kigwangalla

MBUNGE wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete amemvaa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala akimwambia kwamba bado hajafanya kazi...

READ MORE