×

Kitaifa

USIOMBE Yakukute! Mama na Mwanaye Wakiona Chamoto – Video

  DAR ES SALAAM: Mkazi wa Bunju B Kwa Baharia jijini Dar, Barbara Agustino na mama yake mzazi, Jumatatu iliyopita...

READ MORE

Mazishi ya MARIA na CONSOLATA; Iringa yazizima, ni vilio kila kona

IRINGA: PACHA walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Rufaa Iringa, wameifanya Iringa nzima kuzizima...

READ MORE

Gumzo Kauli ya Alikiba: Dini Yangu Hairuhusu Kumposti Marehemu ‘Sam wa Ukweli’

KAULI ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba aliyofunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutowaposti wasanii au watu maarufu kwenye kurasa...

READ MORE

Mjomba wa Sam wa Ukweli Aanika Mazito – Video

  Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa...

READ MORE

FAMILIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani! – Video

Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa,...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanawake ambao wamepata matibabu ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU AZIONYA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka asasi zisizokuwa za Serikali (NGOs) zitekeleze majukumu yake kama ambavyo zimesajiliwa na ziache kufanya shughuli...

READ MORE

ZIMAMOTO NCHINI YAPATA TUZO YA UTENDAJI BORA

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya...

READ MORE

INFINIX HOT 6: SIMU YENYE LADHA YA MUZIKI

  HIVI  karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania na kuweza kujitambulisha rasmi...

READ MORE

Kajala Aanika Kuvunja Ndoa ya P Funk, Adai Kuishi Naye Miaka 9 – Video

MKALI wa filamu za Kibongo, Kajala Masaja ‘Kay’amefungukia madai ya kuvunja ndoa ya mzazi mwenzake ambaye pia ni prodyuza maarufu wa Bongo Records,...

READ MORE

Shuhudia Video ya Majambazi 8 Walioteka Gari Walivyokamatwa

  JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kukamata majambazi nane waliohusika na tukio la utekaji wa gari lenye namba...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Hakika Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji  kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Maria...

READ MORE

MARIA NA CONSOLATA WALIVYOPENDANA HADI KABURINI – VIDEO

  WATOTO mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki Jumamosi iliyopita Juni 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wataendelea...

READ MORE

Serikali Yalitaka Baraza la Maaskofu KKKT Kuufuta Waraka wa Pasaka

  SERIKALI ya Tanzania imelitaka Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Tanzania kufuta waraka lililoutoa...

READ MORE

KUTOKA IRINGA: Miili ya Maria na Consolata Yaagwa – Video

   MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa...

READ MORE

Treni Yagongana na Basi, 7 Wafariki, 27 Wajeruhiwa

WATU saba wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo...

READ MORE

MAKONDA AWAMWAGA SUMA JKT MTAANI, WATUPA UCHAFU KUSHUGHULIKIWA

      Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, leo ametangaza kuanza kwa oparesheni kabambe ya kuwakamata...

READ MORE

TANZIA: Mzazi Mwenziye na Shilole Afariki Dunia

MZAZI mwenziye na  Staa wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed , aliyejulikana kwa jina la Makala Elia Joseph, amefariki dunia...

READ MORE

JENEZA, KABURI WATAKAMOZIKWA MARIA NA CONSOLATA – PICHAZ

ZOEZI la uchimbaji wa kaburi kwa ajili ya maziko ya mapacha walioungana, marehemu Maria na Consolata limefanyika katika Makaburi ya...

READ MORE

Kimekuka! Mbunge Kuwaita Wenzake ‘Mbwa’, Spika Aingilia Kati – Video

BUNGENI, DODOMA: Spika Job Ndugai leo Juni 05, amelazimika kumpokonya Najma Giga kijiti cha kuongoza kikao cha Bunge baada ya...

READ MORE

Halotel yazindua laini mpya za watu mashuhuri VIP  

    KAMPUNI ya Mawasiliano ya simu ya Halotel, kwa mara ya kwanza imezindua laini mpya za watu mashuhuri zilizopewa...

READ MORE

MSIGWA: Tutapigana Makofi Hapa, Pesa Mmetoa Wapi – Video

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Fedha na...

READ MORE

SILINDE: Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto – Video

MBUNGE wa Momba kwa tiketi ya CHADEMA , Silinde Ernest David, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara...

READ MORE

Walinzi wa Wanyamapori Watakiwa Kuwa Makini

WALINZI wa wanyamapori katika maeneo yanayozunguka Pori ya Akiba la Maswa yanayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wametakiwa kuwa...

READ MORE

MAKONDA APOKEA TENDE, AAHIDI KUWAPELEKEA YATIMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amepokea shehena ya Tende kutoka Taasisi ya Darul...

READ MORE

JPM Awaapisha Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama Kuu- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Juni 4, 2018 amewaapisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),...

READ MORE

Ndugai Atoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Mapacha Maria, Consolata

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametuma salamu za pole kwa familia ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti, waliofariki dunia juzi...

READ MORE

JPM: Siridhishwi na Uendeshaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo – Video

RAIS John Magufuli amesema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) , kutokana na kushindwa...

READ MORE

JPM Azindua Mkakati wa Kukuza Kilimo Awamu ya Pili

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Program ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) katika Ukumbi wa...

READ MORE

RIDHIWAN AMEPOKEA FUTARI KWA JIMBO LA CHALINZE

  MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete,  amepokea msaada wa futari kutoka kwa taasisi mbili za kidini, kwa ajili...

READ MORE

JPM AWALILIA MAPACHA WALIOUNGANA “WALIKUWA NA NDOTO KUBWA”

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na...

READ MORE

TANZIA: MAPACHA WALIONUGANA, MARIA NA CONSOLATA WAFARIKI DUNIA

Mapacha walioungana (Maria na Consolata) wamefariki dunia usiku huu wa Jumamosi Juni 2, 2018 katika hospitali ya Iringa walikokuwa wakitibiwa....

READ MORE

MANISPAA YA KINONDONI YAINGIA MKATABA WA BILIONI 39 UJENZI WA BARABARA

  Manispaa ya Kinondoni imeingia makubaliano ya ujenzi wa barabara zenye thamani ya shilingi  Milioni 39.062 zinazotarajia kujegwa katika Kata...

READ MORE

JPM ATEUA MAKAMISHNA MADINI, MAJAJI, APANDISHA VYEO MAGEREZA

  RAIS  John Magufuli amemteua Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko kuwa majaji wa Mahakama ya...

READ MORE

MOTO WATEKETEZA SHULE, VYETI NA MITIHANI TABORA

MOTO mkubwa umeteketeza jengo la utawala la Shule ya Sekondari Kazima katika Manispaa ya Tabora na kusababisha uharibifu mkubwa wa...

READ MORE

MLINGA: Tafadhari, Naomba Tuheshimiane – Video

MBUNGE wa Ulanga kwa Tiketi ya CCM, Godluck Mlanga akichangia katika Hotuba ya Waziri wa Madini hukusu bajeti ya wizara...

READ MORE