×

Kitaifa

Baba wa Askari Aliyejinyonga Mahabusu “Hakuna Picha Inayoonyesha Amejinyonga”

Gaitan Mahembe, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga, Greyson Mahembe akiwa mahabusu mkoani Mtwara...

READ MORE

Mauaji Tena Tanga: Mtoto Amuua Mtoto Mwenzake wa Miaka 9

JESHI la polisi mkoani Tanga linamshilikia mtoto wa miaka (9) mkazi wa mji mpya Hale na mwanafunzi wa shule ya...

READ MORE

Mzee Lowassa Alazwa Muhimbili

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka...

READ MORE

Mke Acharangwa Mapanga na Mumewe Kisa Simu ya Tsh 24,000

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Josephine Boniface (30), Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, amejeruhiwa kwa kukatwa na...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua Wawili na Kujeruhi 8 Kimara Suka

WATU wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara...

READ MORE

NMB Yaendelea Kuwa Benki Kinara wa Ufanisi Nchini

BENKI ya NMB jana imetangaza matokeo ya uendeshaji wake ya mwaka 2021 ambapo imeweka rekodi nyingine ya utendaji kwa kupata faida...

READ MORE

Kituo Cha Elimu Ustawi Wa Jamii Chatinga Karume

  Timu ya wataalam wa ustawi wa jamii na saikolojia kutoka kituo cha elimu, ushauri na msaada wa kisaikolojia kilicho...

READ MORE

Majambazi Watatu Wauawa Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi waliokuwa katika mpango wa...

READ MORE

Dada wa Rais Samia Afunguka Usiyoyajua Kuhusu Mhe. Rais

Siku kama ya leo miaka 62 iliyopita katika visiwa vya Zanzibar alizaliwa mwanamke ambaye leo ni Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Samia: Nilisaka Ajira Nikiwa Mdogo, Nikatimuliwa

RAIS Samia Suluhu, ambaye leo anatimiza miaka 62 amesema alianza kusaka ajira akiwa na umri mdogo ambapo awali alikataliwa kutokana...

READ MORE

Nyumba 50 Ndani ya Jengo la Uhuru Heights Kuuzwa

Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights...

READ MORE

Dodoma: Kikongwe wa Miaka  80 Ajinyonga

Mkazi wa Njedengwa mkoani Dodoma, Edward Lusito anayekadiriwa kuwa na zaidi ya umri kati ya miaka 80 hadi 90 amekutwa...

READ MORE

Kisa Mke, Mstaafu wa Polisi Ajinyongea Waya wa Pasi

MSTAAFU wa Jeshi la Polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa bafuni kwake kwa kutumia...

READ MORE

Mauaji Yamchefua Rais Samia, Dkt. Mpango Amtumia Salam IGP Sirro

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amesikitishwa na kuumizwa kutokana na matukio ya mauaji yanayotokea nchini, na kuliagiza Jeshi la Polisi...

READ MORE

Amuua Mjamzito na Watoto 2 kwa Deni la Gunia 2 za Mahindi

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake...

READ MORE

Sita Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji ya Bibi Kizee

JESI la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya bikizee mkazi wa kijiji cha Rigicha wilayani...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dozi 800,000 za Chanjo

Waziri wa Afya, Ummy leo Januari 26, 2022 amepokea dozi 800,000 za chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali...

READ MORE

Mtoto Auawa kwa Kuchomwa Kisu Shingoni

MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 13 hadi 16 amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni wakati akigombana...

READ MORE

Askari Polisi Aliyekamatwa kwa Tuhuma za Mauaji Ajinyonga Mahabusu

Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Greyson Mahembe ambaye ni miongoni mwa maofisa saba...

READ MORE

Maofisa 7 wa Polisi Kizimbani kwa Tuhuma za Mauji

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za kufanya mauaji ya Mussa...

READ MORE

Mwili wa Baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi Wazikwa Kijeshi..

  Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi aliyefariki dunia Januari 23, 2022 katika...

READ MORE

Aliyegombana na Mkewe Ajiua kwa Mkanda

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Daud Samwel (30) mkazi wa Kitongoji cha Burunga Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amejinyonga kwa...

READ MORE

Mwili wa John Nchimbi Waagwa

Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi aliyefariki dunia Januari 23, 2022 katika Hospitali...

READ MORE

Rais Samia: Soko Jipya Kujengwa Karume

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itajenga Soko jipya la Karume ambapo...

READ MORE

Askari Polisi Afia Gesti Akijiburudisha na Mrembo

JESHI la Polisi nchini Kenya linafanya uchunguzi kufuatia mwanaume mmoja, ambaye ni askari wa Jeshi hilo mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Rais Samia: Poleni Wamachinga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapa pole wamachinga kufuatia kuteketea kwa soko lao...

READ MORE

Baba wa Ngusa Samike Azikwa Kahama

Leo Januari 25, 2022, baba wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Ngusa Samike, Mzee Fredrick Shija Samike amezikwa katika...

READ MORE

Waliomuua Mwanamke Gesti Wakiri Kupewa Mil 1.7

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia Watu wawili wanaodaiwa kula njama na baadaye kumuua Mwanamke mmoja...

READ MORE

Mjamzito na Watoto Wake Wachinjwa Kinyama

MATUKIO ya mauaji yameendelea kwa kasi baada ya watu wasiojulikana kuua kwa kuchinga. Kutokana na tukio hilo lililotokea Januari 17,...

READ MORE

Mradi wa Akili Bandia Wazinduliwa Tanzania

Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa...

READ MORE

Ridhiwani Aitaka NHC Kuwa na Mipango Ya Muda Mrefu

  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuwa...

READ MORE

Mke, Mume Washikiliwa Kwa Mauaji Mwanza

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikiliwa watu watano wakiwemo mume na mke wake kwa tuhuma za mauaji ya wanawake watatu...

READ MORE

Mshumaa Ndio Umeteketeza Soko la Karume

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema uchunguzi umebaini kuwa mshumaa uliowashwa na mateja ndio sababu ya...

READ MORE

Akaa Kwenye Mataili ya Ndege kwa Saa 11 Angani

JESHI la Polisi wa Uholanzi wanasema wamempata mtu akiwa hai katika sehemu ya gurudumu la ndege iliyotua katika uwanja wa...

READ MORE

Nape Nnauye Atua Airtel, Awahakikishia Ushirikiano

Airtel tunakushukuru sana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Nnauye kwa utayari wako na serikali wakushirikiana...

READ MORE

Majaliwa: Wanafunzi Someni kwa Bidii

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watoto wa Kitanzania kujiwekea malengo na kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia taifa kupata...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Balozi Nchimbi Afariki Dunia

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Dkt. Emmanuel Nchimbi amefiwa na baba yake mzazi, John Nchimbi usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Safari yua Mwisho ya Askofu Mpango

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji katika mazishi ya kaka wa Makamu wa Rais na Askofu Mstaafu wa Kanisa la...

READ MORE