×

Kitaifa

Kardinali Pengo Aongoza Kuuaga Mwili wa Askofu Msemwa

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameongoza waumini na Maaskofu katika kuuaga...

READ MORE

Lulu Atimua Mbio Mahakamani, Baba Yake Atoa Povu la Mwaka

  MUIGIZAJI wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ametimua mbio katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda Maalum ya Dar es...

READ MORE

OFISA TRA KIZIMBANI KWA KUMILIKI NDINGA 19 ZISIOENDANA NA KIPATO CHAKE

    DAR ES SALAAM: Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi amefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Kiongozi Chadema Aendelea Kusota Rumande

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema itaendelea kumshikilia Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson. Kigaila...

READ MORE

Bahati Nasibu Shinda Nyumba Majaba Kukabidhiwa Mjengo Wake Wiki Ijayo

BAADA ya shughuli kubwa ya muda wa zaidi ya miezi sita ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili...

READ MORE

Wananchi Gongo la Mboto Kutembezewa Kipigo na Askari, DC Mjema Afunguka

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema Jumanne hii ametembelea maeneo ya Ukonga jijini Dar es salaam baada ya siku...

READ MORE

Prof. Luoga Afunguka Baada ya Kuteuliwa Kuwa Gavana Benki Kuu

Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais...

READ MORE

MSAMA YAFANYA OPERESHENI WANAODURUFU CD ZA WASANII

    KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni wasimamizi na wasambazaji wa kazi za Muziki wa Injili, chini ya Mkurugenzi...

READ MORE

Ripoti Kamili ya Ushoga Unavyotikisa Tanzania

TANZANIA kwa sasa inatafunwa na janga kuu linalohatarisha uhai wa ustawi wa jamii mithili ya virusi vinavyoua mwili! Janga hili...

READ MORE

“1ST HOUSING FINANCE” KUTOA MIKOPO NAFUU YA NYUMBA

  KAMPUNI ya kwanza ya utoaji wa mikopo ya nyumba nchini iitwayo 1st Housing Finance (Tanzania) Limited yenye makazi yake...

READ MORE

Jaji Amtwanga Lulu Swali Gumu Mahakamani

BAADA YA Muigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’kuanza kujitetea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Steven...

READ MORE

Lulu Mahakamani: Kanumba Alinikimbiza na Panga

MSANII wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ameanza kujitetea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akieleza...

READ MORE

JPM Awaka… Mnafikiri Bombardier 6 Tumebadilishana na Migebuka? – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Oktoba, 2017 amewabeza baadhi ya wanasiasa...

READ MORE

Bahati Nasibu Shinda Nyumba… Siku 8 Zijazo, Mshindi Mjengoni

WAKATI washindi watatu waliopatikana katika droo kubwa ya Shinda nyumba wakipewa zawadi zao Jumatano iliyopita, mshindi wa Bahati Nasibu ya...

READ MORE

Kifo cha Kanumba, Lulu Akutwa na kesi ya Kujibu – Video

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ana kesi ya kujibu katika tuhuma zinazomkabili za...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Awatunuku Waliofanya Uchunguzi wa Makinikia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Oktoba, 2017 amewatunuku vyeti wajumbe...

READ MORE

Kesi ya Lulu, Daktari Afafanua Alichokiona Katika Ubongo wa Kanumba

KESI inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’,  imeendelea kusikilizwa leo Jumatatu, Oktoba 23, katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...

READ MORE

Kesi ya Kifo cha Kanumba, Lulu Mahakamani Tena Leo

KESI inayomkabili muigizaji wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’,  leo Jumatatu, Oktoba 23, inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Waheshimiwa Ummy na Ndugulile, Tekelezeni Alichokiagiza Mheshimiwa Rais Juu ya Aga-Khan

MOYO wangu uli­jaa hamu kubwa ya kufikisha ujumbe kwa Mtukufu Aga- Khan, tena mbele ya Mhesh­imiwa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Rais Magufuli Kuwatunuku Waliofanikisha Uchunguzi wa Makinikia

IKULU: Rais Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti wote waliofanikisha uchunguzi wa makinikia na kufikiwa makubaliano kati ya serikali na Kampuni...

READ MORE

Kifo Tata cha Mtoto wa Sokoine, Azikwa Kwao Monduli

MTOTO mwisho wa waziri mkuu wa zamani, hayati Edward Sokoine, Tumaini Sokoine amezikwa leo Jumamosi nyumbani kwao Monduli Juu  mkoani...

READ MORE

Mganga Mbaroni kwa Kunajisi Watoto 14

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga, Daud Idd (74), kwa tuhuma ya...

READ MORE

Breaking News: Zitto Afunguka Makubaliano ya Serikali na Barrick – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe, amefungukia madai ya kuitwa kibaraka wa wazungu kwenye sakata la makinikia, ambapo amesema...

READ MORE

Aliyedaiwa Kubeba Mimba ya Kiba Afunguka Live

DAR ES SALAAM: BAADA ya picha na habari kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana ujauzito wa staa wa muziki...

READ MORE

Zitto Afunguka Kuitwa Kibaraka wa Wazungu Ishu ya Madini, Mwigamba Kuhamia CCM

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe amesema kwamba wanachama waliokihama chama hicho walikuwa na mlengo wa kutokuhitaji chama...

READ MORE

Kesi ya Lulu Kifo cha Kanumba: Shahidi Aeleza Alivyokuta Panga Uvunguni

KESI inayomkabili muigizaji wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’,  leo Ijumaa, Oktoba 20, imeendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Lulu Kortini Tena Leo Kesi ya Kifo cha Kanumba – Video

MSANII wa Filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo Ijumaa, Oktoba 20, amefika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...

READ MORE

Nape: Tulia Mjomba Upone Kabisa Kabla Hujasema Mengi

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu atulie hadi apone kabla hajasema mengi....

READ MORE

Mtambo Uliorekodi Kashfa ya Rushwa Arusha Wawasilishwa Takukuru

DIWANI wa Mbuguni wilayani Arumeru mkoani Arusha, Ahimidiwe Rico amewasilisha kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kifaa...

READ MORE

VODACOM WATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 KITUO CHA WATOTO YATIMA

  KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu ya Vodacom leo imekabidhi msaada wa kompyuta 10  katika Kituo cha Child In The...

READ MORE

Serikali Yafikia Maridhiano na Barric, Kugawana Makinikia 50 kwa 50 – Video

RAIS John Magufuli amepokea taarifa ya maridhiano kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barric Ikulu...

READ MORE

Waraka wa Zitto Baada ya Kusikia Sauti ya Lissu Akitoka ICU

JANA nimefarijika kukusikia tena sauti yako tangu nikusikie nilipokuja kukusabahi hospitalini. Sauti yako sasa imeboreka na kurudi sauti ile ile...

READ MORE

Mwigamba wa ACT Wazalendo na Wenzake 10 Wahamia CCM

IKIWA ni siku tatu baada ya Samson Mwigamba kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa na ujumbe wa...

READ MORE

Kesi ya Lulu Yaunguruma, Mdogo wa Kanumba Asimulia Ugomvi Siku ya Tukio – (Pichaz + Video)

KESI inayomkabili mwigizaji maarufu wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhusishwa na kifo cha aliyekuwa staa wa filamu nchini, Steven...

READ MORE

Lulu Awasili Mahakamani Kesi ya Kifo cha Kanumba – Video

#GlobalHabariUpdates: Muigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akiambatana na mama yake mzazi, Lucresia Karugila wamewasili katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Madiwani Waliojiuzulu Chadema Wapigwa Chini Kura ya Maoni CCM

MADIWANI watatu wa Chadema waliojiuzulu katika Halmashauri ya Meru mkoani Arusha na kujiunga na CCM, wameangushwa katika kura ya maoni...

READ MORE

DROO KUBWA SHINDA NYUMBA WASHINDI DINNER SET KICHEKO!

WASHINDI watatu wa Dinner Set, waliopatikana wakati wa uchezeshaji wa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA UREMBO WA DUNIA 2017

MISS Tanzania mteule wa mwaka 2017, Julitha Kabete,  leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania kwa ajili ya kushiriki mashindano ya urembo...

READ MORE

Mama Aliyenyang’anywa Mume na Mwanaye wa Kumzaa Asimulia Mazito – Part 3

Mama afunguka kunyang’anywa mme na mwanaye wa kumzaa. Duh kweli duniani kuna mambo, huwezi kuamini kama mtoto anaweza kumsaliti mama...

READ MORE