KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya...
READ MOREASKOFU wa Kanisa Katoliki Ngara, Severin Niwemugizi amesema yuko tayari kuitwa mchochezi endapo kundi la watetezi wa haki za binadamu...
READ MOREWAHARIRI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo...
READ MOREShirika la Restless Development Limewataka Vijana Kuwa wabunifu wa MaendeleoKongamano katika maeneo mbalimbali yanayowazunguka ili kuwawezesha katika fursa za...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili...
READ MOREKESI ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeendelea leo wakati...
READ MOREDROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, sasa itachezeshwa kesho Jumatano katika Viwanja vya Las Vegas...
READ MOREWANANCHI wa jimbo la Mtama mkoani Lindi wamemhoji mbunge wao, Nape Nnauye kuhusu ndege aina ya Bombardier, wakitaka kujua inawasaidiaje....
READ MOREDAKTARI Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Hospitali ya Aga Khan, Mustapha Bapumia (62) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
READ MORERAIS Magufuli amewazungumzia wabunge wawili wa (CHADEMA) Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe....
READ MOREWAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku uandaaji na uendeshwaji wa mashindano ya urembo (Miss Tanzania)...
READ MOREJAJI Mkuu wa Kenya, David Maraga ametua nchini katika mkutano wa majaji na mahakimu akionekana kivutio kwa wengine. Jaji huyo...
READ MOREMFANYABIASHARA Yusuf Manji, leo Jumatatu, Septemba 25, 2017 amepanda kizimbani katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, kujitetea katika...
READ MOREMBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewageuzia kibao polisi na kusema atalishitaki Jeshi la Polisi, kwa tuhuma za...
READ MOREMBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema polisi hawawezi kumpangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao....
READ MOREILE droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, sasa imebakiza saa 48 tu, kuweza kumpata mwenyewe...
READ MOREMBUNGE wa Chadema wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameweka rehani ubunge wake baada ya Rais John Magufuli kumpokea aliyekuwa diwani...
READ MOREMBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema) Msigwa ameachiwa huru jana usiku kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara....
READ MOREMWALIMU na Mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric James Shigongo amewaasa...
READ MOREMKUU wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo ametoa onyo kali huku akiawaagiza wanajeshi kuacha kujihusisha na matumizi mabaya mitandao ya kijamii kwani...
READ MORESHULE ya Sekondari St. Joseph ya jijini Dar es Salaam leo Septemba 23, 2017 imewakutanisha wanafunzi waliowahi kuosoma na kuhitimu...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli ametangaza kutoa nafasi 3,000 kwa vijana...
READ MOREBAADA ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusikika wakidai vyombo vya usalama kutoka nje ya nchi vije...
READ MOREMAAJABU! Samaki mkubwa aina ya Chongoe ambaye ni jamii ya nyangumi, hivi karibuni alionekana kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi,...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo anawatunuku kamisheni maofisa wa...
READ MOREKAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yatangaza matokeo chanya kutoka katika mfumo mpya wa kuchakata makinikia Mgodi wa Buzwagi....
READ MOREOFISI ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeijibu kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye mapema leo...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema mtuhumiwa mkuu wa shambulio dhidi ya Mbunge wa Singida...
READ MOREKIONGOZI wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu...
READ MOREMWANAMKE Mzungu anayejulikana kwa jina la Monique Honsbeek anayedaiwa kufanya ukahaba katika Jiji la Dar es Salam leo amefikishwa katika mahakama...
READ MOREJESHI la Polisi Kanda Maalumya Dar es Salaam linamshikilia Robson Isack Maji (22) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu...
READ MOREMBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe jana amesisitiza msimamo wake kwa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa...
READ MOREJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli aliyelitaka kujenga uzio kuzunguka kitalu...
READ MOREUKITAMBUA na kuona ubora wa kazi anayoifanya mwenzako kisha kumwambia, basi atafanya zaidi ya ilivyotarajiwa. Tujifunze kukubali na kupongeza juhudi...
READ MORETUME ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) imesema kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi kinaendelea kupungua kutoka aslimia 0.32...
READ MOREMSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, leo amesitisha mkataba na Kampuni ya Mwamkinga Auction Mart and...
READ MOREJAJI MKUU wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, leo amesema shambulio la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki na...
READ MOREKUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kikazi wilayani Longido, mkoani Arusha ambapo leo...
READ MORE