×

Kitaifa

Serikali Yahakiki Vyeti vya Ndoa, Walimu Wajiandaa Kugoma

Gazeti la Tanzania Daima lemieripoti kuwa Serikali imeanza uhakiki wa vyeti vya ndoa kwa watumishi wa umma. Hatua hiyo ambayo...

READ MORE

Taarifa ya Ikulu Kuhusu Ziara Ya Rais Magufuli Nchini Kenya

  VIDEO: Hotuba ya Rais Magufuli na Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwasili Kenya

READ MORE

Baba Mashali Asimulia Mazito Kifo cha Mwanaye

   Baba mzazi wa marehemu Thomas Mashali, Malifedha Mashali  akitoa ufafanuzi juu ya msiba huo. BABA mzazi wa aliyekuwa bondia...

READ MORE

Kwenye ‘Mpunga’ Trump si Mtu wa Mchezo Mchezo!

Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican, Donald John Trump.  Ndege ya Donald Trump  Boeing 757, yenye thamani ya...

READ MORE

Bondia Thomas Mashali Adaiwa Kuitiwa Kelele za Mwizi, Auawa kwa Kipigo!

 DAR ES SALAAM: Bondia Thomas Mashali maarufu kama ‘Simba Asiyefugika’ ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa na watu wasiojulikana...

READ MORE

Kampuni ya Bima ya Clarckson Yazinduliwa Dar, TPSF Yakaribisha Ubunifu Sekta ya Hiyo

Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Kampuni ya Clarkson Insurance Brokers inayojishughulisha na masuala ya bima Bw. Godfrey Simbeye ambaye ni...

READ MORE

Wanahabari Dodoma Watembelea Miradi ya Uwekezaji ya LAPF

Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni katika Chuo cha Serikaliza Mitaa cha...

READ MORE

Chadema Wafanya Uchaguzi wa Wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara...

READ MORE

Msajili wa Mahakama Kuu Dar Ajitoa Kesi ya Babu Tale

DAR ES SALAAM: Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Projest Kahyoza amejitoa katika kusikiliza shauri linalowakabili Wakurugenzi wa...

READ MORE

Rais JPM Aondoka Nchini Kwenda Kenya Kwa Ziara ya Siku Mbili

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ameondoka nchini kuelekea...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Umri wa Miss Tanzania 2016/2017, Hajawahi Kujiunga na Chuo Kikuu Chochote

MWANZA: Usiku wa Jumamosi, Oktoba 29, 2016 mrembo wa Kinondoni, Diana Edward Loy alitwaa taji la Miss Tanzania 2016 katika...

READ MORE

Wasanii Watakaokuwepo Katika Tigo Fiesta Dar, Jaz Z Ni Uzushi Wa Mitandao

Kumetokea uzushi kuwa msanii maarufu duniani,  Jay Z,  atakuwepo katika Tamasha la  Tigo Fiesta 2016 litakalofanyika Novemba 05 mwaka huu...

READ MORE

Serikali Yapiga Stop Mpango wa Mchungaji Lwakatare na Mrema Kuwalipia Faini Wafungwa

Serikali imesitisha shughuli iliyokuwa ikiendeshwa na Mchungaji Getrude Lwakatare ya kuwalipia faini wafungwa walioko magerezani hadi hapo utaratibu mwingine utakapotolewa....

READ MORE

Rais Magufuli Kufanya Ziara Ya Kiserikali Ya Siku 2 Nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ataanza ziara ya Kiserikali...

READ MORE

HESLB Yafafanua Vigezo Utoaji Mikopo, Waliokosa Sababu Zatajwa, Wapewa Nafasi ya Kuomba Upya

DAR ES SALAAM: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa ufafanuzi kuhusu vigezo inavyotumia katika kuchambua,...

READ MORE

Polisi azua GUMZO Baada ya Kumpigia Saluti ProF. Lipumba

DAR ES SALAAM: Kitendo cha askari polisi kumpigia saluti Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili...

READ MORE

Wakazi wa Morogoro Wanufaika na Gulio la Smart Phone la Vodacom Tanzania

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiza kwa makini Bw. Robert Mwaisambo Mkazi wa Morogoro, alipofika kununua simu katika gulio la Smart phone liliondandaliwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatatu Oktoba 31, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Jumatatu Oktoba 31, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Picha&Video: Basi na Lori Vyateketea Baada ya Kugongana Kimara, Dar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 20 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Safari Njema lililokuwa likitokea mkoani Dodoma...

READ MORE

Wakazi wa Morogoro Wanufaika na Gulio la Smart Phone la Vodacom Tanzania

Wakala wa Vodacom Tanzania, Abdallah Magala akimfafanulia jambo Alen  Anatory ambaye ni mkazi wa Morogoro, kuhusiana na simu aliyonunua katika...

READ MORE

Dk Kingwangala Aongoza Matembezi Kusaidia Ocean Road

Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia,  Wazee na Watoto  Dk. Hamisi Kigwangalla akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwenye zoezi hilo...

READ MORE

Rais JPM Amteua Jenerali Mstaafu George Waitara Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Tanapa

Rais John Magufuli amemteua Jenerali Mstaafu George Waitara (pichani juu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa...

READ MORE

Shigongo: Uongozi Bora Huanzia Ngazi za Chini

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, akifundisha katika semina hiyo. …Akiendelea kuelezea masuala mbalimbali. Baadhi ya wanasemina...

READ MORE

Makonda Aongoza Mahafali Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Jitegemee JKT Mgulani Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa DCI, Diwani Athuman

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation...

READ MORE

Happy Birthday JPM

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers; wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi tunakutakia kheri...

READ MORE

ACT Wazalendo Washtushwa na Tuhuma Dhidi ya Zitto, Wataka Achunguzwe Haraka!

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kimeshtushwa na tuhuma dhidi ya kiongozi wake wa chama, Zitto Kabwe kwamba ana miliki mali za...

READ MORE

Gavana wa BOT Atangaza Serikali Kuichukua na Kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp Baada ya Kufilisika

DAR ES SALAAM: Benki Kuu ya Tanzania imetangaza rasmi kuchukua usimamizi wa Benki ya Twiga Bancorp kuanzia jana kutokana na...

READ MORE

Ufisadi NSSF: CCM Yataka Akaunti za Zitto Kabwe Zipekuliwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuhakiki akaunti na mali za Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT) na wenzake...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 29, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Jumamosi Oktoba 29, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Jaji Lubuva Ataka Tume ya Uchaguzi Ifumuliwe

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva ameitaka serikali kubadili muundo wa...

READ MORE

Sumaye Asema Hatikisiki na Hatarudi CCM Hata Anyang’anye Mashamba Yake Yote

Siku moja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutangaza nia ya Serikali kumnyang’anya shamba...

READ MORE

DC Hapi Atembelea Wajasiriamali Wa Airtel Fursa

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akikagua bidhaa za wajasiriamali wadogo waliowezeshwa kupitia mpango wake wa Airtel Fursa. Kulia...

READ MORE

Viongozi Kamati za Bunge Wachunguzwe – Ole Sendeka

Serikali ya awamu ya tano imetakiwa kuchunguza akaunti za viongozi wa Kamati za Bunge waliokuwa wakisimamia mashirika ambayo yamebainika kuwa...

READ MORE

Haijalishi Mtandao Wako Uko Vipi, Tecno Phantom 6 Plus Inatereza Tu

Ukiachilia mbali Tecno Phantom 6 Plus kuwa simu iliyotengenezwa na betri inayodumu kwa muda mrefu zaidi, nikufahamishe kwamba simu hiyo...

READ MORE

Global Ilipotinga Kisutu Leo

Watuhumiwa mbalimbali wa uhalifu wakishuka ngazi baada ya kusikiliza kesi zao katika vyumba vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. …Wakipanda...

READ MORE

Yanga Yamwangukia Kocha Hans van Pluijm Kujiuzulu, Yamuomba Arejee Klabuni

DAR ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni...

READ MORE

Bia Ya Kopo Ya Safari Lager 500ml Yaendelea Kubamba Kitaa

Bila shaka umeshaliona tangazo hili matata kabisa la Safari Lager ukipita Barabara ya Kawawa jijini Dar, wajanja wanakwambia utaalamu uliotumia...

READ MORE

Matokeo ya Darasa la Saba 2016 Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyatazama

NECTA: Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 8 na 9, 2016...

READ MORE