×

Kitaifa

Mtoto Aliyefariki 2017, Apatikana Akiwa Hai, Kaburi Lafukuliwa

JESHI la Polisi mkoani Geita limelazimika kufukua kaburi la mtoto aliyefariki dunia katika Hospitali ya wilaya ya Geita kwa ugonjwa...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Mnyika Kumuomba Mangula Asaidie Mbowe Kuachiwa Huru

Viongozi wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Polepole ‘Apigwa Nyundo’ TCRA, Shule ya Uongozi Yasimamishwa – Video

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa...

READ MORE

Biteko, Jafo Watunukiwa Ahahada ya Udaktari wa Falsafa

Mawaziri wawili wa Tanzania, ni miongoni mwa wahitimu 42 waliotunikiwa shahada ya udaktari wa Falsafa (Phd) katika Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Watu 15 Mbaroni kwa Kuuza Jezi Feki

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasili Uturuki Kumwakilisha Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...

READ MORE

Magari Yagongana Uso kwa Uso, Watu 2 Wafariki Dunia

WATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...

READ MORE

Kizimbani kwa Tuhuma za Kusafirisha Madawa

KESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya...

READ MORE

‘Mfalme wa Shetani’ Mwenye Wake 57 Azikwa Ndani ya Gari

MWANAUME mmoja nchini Nigeria Simon Odo (74) maarufu kama ‘Mfalme wa Shetani’ amezikwa ndani ya gari katika Kijiji chake kusini...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Aweso ‘Atumbua Jipu’ Katavu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...

READ MORE

Tukio la Ndege Kuanguka Bukoba, RPC Aeleza

KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Maketi Msangi amefafanua tukio la kudondoka kwa ndege katika ziwa Victoria takribani mita...

READ MORE

Waziri Ummy: Sitaki Kuona Mwanafunzi Amerudishwa Kisa Michango

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali...

READ MORE

NBC Yakabidhi Trekta kwa Chama cha Ushirika Mtwara

Mtwara: Disemba 15, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi...

READ MORE

Atupwa Jela Maisha kwa Kumbaka Mtoto wa Miaka 9

George Lupindu (19) mkazi wa kijiji cha Ngalawale wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amehukumiwa na mahakama ya wilaya mkoani hapo...

READ MORE

Madalali Sasa Kusajiliwa na Kulipa Ada, Lazima Awe na NIDA, TIN

SERIKALI imetoa muongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini kwa lengo la kuwawezesha madalali kufanya kazi zitakazoleta tija kwa serikali...

READ MORE

RC Makalla Akerwa Kusuasua kwa Ujenzi wa Barabara Makongo Juu

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Amos Makalla amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Ardhi, Makongo Juu...

READ MORE

Mahakama Yapokea Gari Alilouziwa Sabaya kwa Tsh Mil 60

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha inayosikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Lengai Ole Sabaya na...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salam za Pole Kifo cha Mch. Malasusa

Rais Samia Suluhu Hassan, ametua salamu za rambirambi kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya...

READ MORE

Rais Samia: Niko Tayari Kukosolewa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kukosolewa na kupokea maoni kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa pamoja na...

READ MORE

Rais Samia Uso kwa Uso na Zitto, Rungwe & Lipumba

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Desemba 15, 2021 amefungua mkutano wa wadau wa vyama vya siasa nchini ambao unalenga...

READ MORE

NBC Yatoa Vitanda vya Tsh Mil 14 Shule ya Sekondari Tunamkumbuka

Bukoba, Kagera: Disemba 14, 2021: Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda sitini (60) kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya...

READ MORE

NBC Yaja na Mikopo ya Matrekta, Zana za Kilimo kwa Wakulima

KATIKA kuiwezesha sekta ya kilimo kupiga hatua nchini Benki ya Taifa ya Biashara imesaini mkataba na Kampuni ya usambazaji wa...

READ MORE

Usipotoa Risiti ya EFD Faini Tsh Mil 4.5, Usipodai Faini Tsh Mil 1.5 – Video

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuwasisitiza wafanyabiashara wanaotakiwa kutoa risiti za kielektroniki (EFD) wanapouza bidhaa ama kutoa huduma watoe...

READ MORE

Fahamu Vigezo kwa Wanaotakiwa Kulipa Kodi – Video

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetolewa ufafanuzi kwa wafanyabiashara wadogo ambao hawatakiwi kulipa kodi kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara...

READ MORE

Kayombo: Suala la Kodi Hata Yesu Aliulizwa – Video

Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) amesema suala la ulipaji kodi limekuwa na ukakasi...

READ MORE

Ndege Kupigwa Faini kwa Kuwasafirisha Wasiochanjwa

MAOFISA nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya...

READ MORE

Mikoa, Halmashauri Vinara wa Mapato Kitaifa

MAMLAKA ya Mapato Tanzania, TRA imetoa ripoti ya robo ya pili ya mwaka 2021, kwa kuziangazia Halmashauri, Mikoa amabyo imeongoza...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wagonga Mwamba Kesi Ndogo

MAHAKAMA Kuu Devisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na upande wa utetezi katika kesi...

READ MORE

Watu 12 Wafariki kwa Kujinyonga Njombe

MKUU wa Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Lauteri Kanon amesema, wananchi 12 kuanzia Januari hadi Novemba, mwaka huu wamejinyonga katika...

READ MORE

Walioshambulia Gari la Serikali ‘Kukiona’

MKUU wa Wilaya ya Geita, Wilson Shimo ameeleza kuwa wananchi waliohusika kushambulia gari la askari wa Wakala wa Hifadhi za...

READ MORE

NCCR Yaungana na Chadema Kususia Mkutano

VYAMA vya NCCR-Mageuzi na Chadema vimeungana kususia mkutano ulioitishwa na Baraza la Vyama vya Siasa. Mkutano huo wenye la lengo...

READ MORE

Hakimu Kesi ya Kigogo Chadema Ahamishwa Mahakama

KESI inayomkabili Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Hashimu Juma Issa (63) imeahirishwa baada ya hakimu anayesikiliza shauri...

READ MORE

Kipindupindu Chapindukia Nkasi, 37 Walazwa

UGONJWA wa mlipuko wa Kipindupindu umeibuka wilayani Nkasi mkoani Rukwa ambapo wagonjwa 37 wameripotiwa katika kijiji cha Forodhani, Kata ya...

READ MORE

Kauli ya Polisi Nyumba ya Polepole Kuvunjwa na Kuvamiwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma, limesema lianendelea na uchunguzi pamoja na msako kuwabaini waliovamia nyumba ya Mbunge wa kuteuliwa,...

READ MORE

Ajali Zaambatana Mwisho wa Mwaka

MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za...

READ MORE

 Rufaa ya Sabaya Kusikilizwa Mwakani

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imepanga kuanza kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai...

READ MORE

Gari la Magazeti Laua Watu 9 Iringa

WATU 9 wamefariki dunia ikiwemo wanawake 4 na wanaume 5 na wengine 3 kujeruhiwa baada ya Gari ya magazeti aina...

READ MORE

Rais Samia Amlipua Diwani Mkorofi Kigamboni – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemlipua diwani wa Kigamboni ambaye amedai kuwa amekuwa kikwazo kikubwa...

READ MORE

Rais Samia: Moto wa Magufuli Sitauzima – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema moto wa kusimamia rasilimali za taifa yakiwemo madini uliowashwa na mtangulizi wake, Hayati Dkt. John...

READ MORE