MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wafanyabiashara Wanaofanya biashara maeneo yaliyokatazwa hususani Kariakoo kufika Soko...
READ MOREElibariki Shaban (50, Mkazi wa Kijiji cha Bassotu Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua...
READ MOREWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan...
READ MOREKESI ya uhujumu uchumi inayomhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi, imeendelea tena...
READ MOREMALUMBANO ya kisheria leo yameendelea katika Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...
READ MOREWATU wanne wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha lori na basi la Isamilo, lililokuwa linasafiri...
READ MOREJESHI la Polisi mkoano Arusha limesema wanaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu aliyetambulika kama Mchungaji au Nabii Abraham Peter...
READ MOREJeshi la polisi Mkoani Manyara linamshikilia Mkazi wa Kijiji cha Bassoutu wilayani Hanang, Elibariki Shaban kwa tuhuma za kumpiga kwa...
READ MORECHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimemsimamisha kazi mhadhiri wa chuo hicho, Basil Mswahili kufanya majukumu yake yote ikiwa ni pamoja...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha leo Oktoba 28, 2021, imeendelea kusikiliza kesi namba 27/2021 ya uhujumu uchumi inayomkabili...
READ MORERais Samia ameagiza Chama Cha Wanasheria na Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) na Wadau wa sheria kutafsiri kitabu cha ‘TANZANIA GENDER...
READ MORENI dhambi iliyoje? Mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa miezi mitatu (Malaika wa Mungu), amenusurika kifo baada ya kuzikwa...
READ MORELINDI; Oktoba 26, 2021: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, hii amezindua rasmi kampeni ya ugawaji madawati 1000 yaliyofadhiliwa na Benki ya...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapa zawadi wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake,...
READ MOREBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kadi mpya ‘NBC Visa Debit Card’ yenye kuwawezesha wateja binafsi kufanya miamala inayofikia...
READ MOREKampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu Geita (GGML) imekabidhi rasmi zana/vifaa mbalimbali kwa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi...
READ MOREPOLISI ya Kiislamu katika Jimbo la Kano inayofahamika kama Hisbah imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 26 kwa jina Aliyu...
READ MORESERIKALI ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 27, 2021 imetoa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini kwa kampuni ya Tembo Nickel...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Makoye Juma (19) mkazi wa...
READ MOREKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamshna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhani Kingai ametoa ushahidi wa maelezo ya mshtakiwa...
READ MORESHAHIDI wa pili upande wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Justine...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Emmanuel Zakaria (38) Mkazi wa Lusahunga Wilayani Biharamulo Mkoani humo kwa kosa la...
READ MOREMhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ubingwa wa COSAFA kutoka kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake...
READ MOREWATU zaidi ya 20 ambao ni jamii ya wafugaji wanadaiwa kumshambulia Mwenyekiti wa Chama Cha Ushirika wa Wakulima wa...
READ MOREWatu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la kampuni ya Kimotco ya jijini...
READ MOREKESI ya Uhujumu Uchumi yenye Tuhuma za Ugaidi ndani yake inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mbowe...
READ MOREKijana Michael Paul (18), mkazi wa Luanzari, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga na shuka...
READ MORERais Samia Suluhu ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango kufanya uratibu ujulikanao kama ‘Municipal Investment Financing’ ili kusaidia upatikanaji wa...
READ MOREJaji Joachim Charles Tiganga ndiye ataendesha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Jaji...
READ MOREWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na gharama zilizotumika katika upanuzi wa kituo cha Afya cha Naipanga kilichopo Wilayani Nachingwea...
READ MOREIKIWA ni takribani siku moja tu tangu tukio kama hili litokee, mtu mmoja ameuawa na wengine amba idadi yao haijajulikana...
READ MOREKUNDI linalojiita Dola la Kiislamu, IS limedai kuhusika na shambulizi la bomu lililoua Mtu mmoja kwenye Mji Mkuu wa Uganda,...
READ MOREWaziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok amewekwa chini ya ulinzi nyumbani kwake baada ya Wanajeshi ambao hawajafahamika kuvamia makazi yake...
READ MOREMakamu wa Rais Dkt. Philip Mpango jana Oktoba 24,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Baba Mtakatifu Beatitude Theodoros II (The...
READ MOREThe Cask Bar iliyopo Rocky City Mall Jijini Mwanza imewaka moto usiku wa kuamkia leo Oktoba 25, 2021 chanzo cha...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kuitafuta...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa muda mrefu wanawake wamekuwa kama daraja la kuvusha...
READ MOREWizara ya Katiba na Sheria imewatahadharisha baadhi ya watu ambao wanatupata fedha chini wakati wa kutoa zawadi kwenye sehemu zozote...
READ MORE