×

Kitaifa

Polisi Dar: Salimisheni Silaha Zenu

IKIWA ni siku chache baada ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene kutoa msamaha kwa...

READ MORE

Baba Amuua Mwanae kwa Kipigo Akimlazimisha Kuolewa

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo Baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa Kijiji cha Lufubu wilaya...

READ MORE

Wanandoa Wamuua Bosi Wao Kisa Hajawalipa Mshahara

WANANDOA wawili ambao walikuwa wakifanya kazi za vibarua, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumuua mwajiri...

READ MORE

Maeneo Aliyotembelea Rais Samia Nchini Misri Jana

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana Alhamisi, Novemba 11, 2021 ameendelea na Ziara yake ya Kiserikali nchini Misri ambapo:...

READ MORE

Wazee wa Kwamsisi Wagoma: Bila Tambiko Barabara Haijengwi

WAZEE wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga wamezuia ujenzi wa barabara ya lami ya Afrika Mashariki inayopita katika...

READ MORE

Tanzia: Baba T Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya East Africa Radio Baba T, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Rabininsia...

READ MORE

Infinix Note 11, Note 11 Pro Zatua Rasmi Bongo

Dar-es-Salaam. 12 Novemba 2021, Kampuni ya simu za mkononi Infinix yazindua rasmi Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro kwa...

READ MORE

Agizo la Polisi kwa Mabasi Kuelekea Desemba

JESHI la Polisi limetoa onyo kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya moto, hasa mabasi ya abiria watakaokiuka sheria za...

READ MORE

Mambo 7 Aliyoyazungumza Rais Samia Misri

RAIS Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku tatu nchini Misri ambapo katika siku ya kwanza amekutana na kufanya mazungumzio...

READ MORE

Serikali Yasisitiza Kusafirisha Wanyamapori Hai Nje ya Nchi

Serikali imesema hakutakuwa tena na biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi kwa ajili ya shughuli za kibiashara...

READ MORE

Shisha Janga Jipya Nchini

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema ongezeko la wimbi la watumiaji wa Shisha umesababisha...

READ MORE

Miaka 60 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao kazi Cha Maandalizi ya maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Mabaki ya Kichwa cha Mwanafunzi Aliyeliwa na Mamba Yazikwa

BUCHOSA: Mabaki ya mwili wa mwanafunzi aliyekuwa akisoma darasa la nne katika Shule ya Msingi Nyakasasa iliyoko Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Moto wa Ajabu Wailaza Nje Familia

Familia mmoja Manispaa ya Musoma Mkoani Mara imelazimika kulala nje kutokana na nyumba waliyokuwa wanaishi kuwaka moto wa ajabu ambao...

READ MORE

Ndugai: Wanawake Wenye Mamlaka Msivimbe

Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya. Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu...

READ MORE

Mbowe Ashinda Pingamizi la Kwanza

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamisi, Novemba 11, 2021 imepokea pingamizi la kwanza la...

READ MORE

Rais Nyusi Amfuta Kazi Waziri wa Ulinzi

RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemfuta kazi waziri wa ulinzi Jaime Augusto Neto (pichani). Hatua hii inakuja siku moja tu...

READ MORE

Shida ya Maji Dar Pasua Kichwa

UNAAMBIWA ni mwendo wa madumu tu katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uhaba wa maji unaoendelea...

READ MORE

Mwanafunzi Aliwa na Mamba Akiogelea

MWANZA: Mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Nyakasasa, aitwaye Ntogoso Gunya (12) amefariki dunia baada ya kuliwa na...

READ MORE

Waliofukuzwa CUF Watema Nyongo “CUF Sio Dini”

SIKU moja baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kutangaza kuwavua uanachama viongozi wake saba, wenyewe wamesema wao bado ni wanachama...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Yamwaga Zawadi ya Vitabu vya Shigongo

DROO ya kwanza ya promosheni ya Shinda Zawadi ya Kitabu cha Shigongo, imefanyika leo Novemba 10, 2021 ambapo jumla ya...

READ MORE

Rais Samia Awasili Cairo – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 10, 2021 amewasili jijini Cairo, Misri na kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumuoa Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza

MWALIMU wa Shule ya Msingi Itete, Kata ya Kirando wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Ajiua kwa Kujichoma Moto Kisa Mkewe Kamkimbia

MOJA ya taarifa za kusikitisha iliyotolewa jana ni ile inayohusu mwanaume mmoja Jijini Mbeya amejichoma kwa moto mwili mzima hadi...

READ MORE

Rais Samia Kwenda Cairo Misri Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho November 10, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo Misri...

READ MORE

Babu wa Miaka 70 Akiri Kumlawiti Mtoto

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limemdaka mzee (70) anayejulikana kwa jina la Sanani Seif Juma mkazi wa Chamboni,...

READ MORE

Pingamizi la Mbowe Lagonga Mwamba

JAJI Joachim Tiganga ametupilia mbali pingamizi lililowekwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Serikali Kuruhusu Biashara ya Usafirishaji Wanyamapori Nje ya Nchi

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali itaondoa zuio la biashara ya usafirishaji wa wanyamapori...

READ MORE

Nape Ataka Deni la Taifa, Mikopo Awamu ya Tano Ichunguzwe – Video

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, ameitaka Serikali kufanya ukaguzi kuhusu Mikopo iliyokopwa na Serikali katika kipindi cha awamu ya...

READ MORE

Joto Laongezeka Tanzania, Kilimanjaro Ndio Usipime

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuongezeka kwa vipindi vya joto nchini Tanzania ambavyo vitaendelea hadi Desemba 2021...

READ MORE

TIRA, BOT Wavutiwa na Huduma Mpya ya Bima Benki ya Exim

Dar es Salaam; Novemba 08, 2021: Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Nchini (TIRA) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Binti Atupa Kitoto Kichanga cha Siku 1

MTOTO mchanga mwenye umri wa siku moja amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa kwenye kichaka na kufunikwa majani katika Kijiji...

READ MORE

Mama Mzazi wa Hamza Azikwa, Ndugu Ataja Kilichomuua – Video

Mama mzazi wa kijana Hamza Mohammed aliyewashambulia na kuwaua askari wanne kwa risasi kisha na yeye kuuawa kwa kupigwa risasi...

READ MORE

Mbowe Aweka Pingamizi Mahakamani

Mahakama Kuu ya Tanzania Divesheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi inatarajia kesho imepanga kutoa Uamuzi mdogo wa pingamizi...

READ MORE

Mwenyekiti Amuua Mkewe, Naye Ajinyonga

MWENYEKITI wa Kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi (35) anadaiwa kumuua mkewe, Anastasia Agustine (31)...

READ MORE

CHADEMA Yasusia Uchaguzi Ngorongoro

TAARIFA KWA UMMA Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki...

READ MORE

Mwanza: Watano wa Familia Moja Wafariki Ajali ya Moto

WATU watano wa familia moja wamefariki dunia, baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto wakati wakiwa wamelala usiku wa...

READ MORE

Soko la Gikomba Lateketea kwa Moto

MOTO mkubwa umeteketeza upande mmoja wa Soko la Gikomba jijini Nairobi na kuharibu mali ya thamani isiojulikana mapema leo Jumatatu,...

READ MORE

Shahidi wa nane kesi ya kina Mbowe leo

BAADA ya mapumziko ya weekend, leo Jumatatu, Novemba 8,2021 kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE