×

Kitaifa

Marekani Yaiahidi Neema Tanzania

MAREKANI imeahidi kushirikiana na Tanzania kukuza mitaji na kuvutia uwekezaji kutoka nchini humo ili kuchochea zaidi uchumi na huduma za...

READ MORE

Upanuzi Anglo Gold Ashanti Kuimarisha Mahusiano Uchimbaji Nchini

Kwa kuzingatia mpango wa kuongeza mchango endelevu katika uchumi wa jamii inayozunguka mgodi, Kampuni ya Anglogold Ashanti imeingia ubia na...

READ MORE

Mwanafunzi Form IV Afariki kwa Kupigwa na Radi

Mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Kabugalo iliyopo Bukoba mkoani Kagera Gisera Oswardi (18) amefariki dunia kwa...

READ MORE

Fahamau Alichokifanya Mkaguzi Mkuu wa Migodi GGML

  Geita Gold Mining Limited (GGML) imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021 unaohusisha uchimbaji wa wazi...

READ MORE

Gwajima Aliamsha: Nape Umenidukua, Tunahitaji Ajenda ya Taifa – Video

Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima ametaka Tanzania kuweka tafsiri ya maendeleo ambayo kila rais atakayeingia madarakani atatakiwa kuitekeleza jambo...

READ MORE

Nape Acharuka: Mwacheni Mama Aandike Kitabu Chake Mwenyewe – Video

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha...

READ MORE

Mawaziri Waweka Mambo Sawa Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Online TV

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wamefanya kikao...

READ MORE

Visima Hivi Kupunguza Shida ya Maji Buchosa

KAZI ya uchimbaji wa visima inaendelea katika Vijiji vya Jimbo la Buchosa ili kutimiza ahadi ya Mbunge wa Jimbo hilo,...

READ MORE

Hasunga Aitaka Serikali Kuwaongezea Mshahara Watumishi

Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga ameitaka Serikali kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma ili waweze kuishi maisha mazuri.  ...

READ MORE

Makamba: Tusihukumiane, Mtu Anapokosoa Asionekane Msaliti – Video

Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza...

READ MORE

Chikota Ataka Utekelezaji Mchuchuma na Liganga Uanze

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota, ameiomba serikali kuanza kutekeleza mradi wa makaa ya mawe wa Mchuchuma na Liganga ili...

READ MORE

Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega

Wachimbaji wanne wamepoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Namba Mbili uliopo...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Lupembe na Wanachama 150 Watimkia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Lupembe mkoani Njombe Enocent Gwivaha pamoja na wanachama 150,wamehama Chama hicho...

READ MORE

Songwe: Mlipuko Wazua Taharuki

Mlipuko unaodhaniwa kusababishwa na baruti umetokea jana Jumanne, Aprili 13, 2021 katika Kata ya Saza Wilaya ya Songwe na kusababisha...

READ MORE

Shabiby: Watoke Hawa Wameiba Hela Sana – Video

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby agoma kupokea taarifa ya waziri alipokuwa akizungumza bungeni jijini Dodoma katika mjadala wa kupitisha...

READ MORE

Musukuma Adai Usomi wa Prof. Muhongo Hauna Faida – Video

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna...

READ MORE

Majaliwa: Tutayaenzi Maono ya Hayati Magufuli – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesisitiza kwamba Serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Atengua Uteuzi wa Makamanda Watatu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara...

READ MORE

Lusinde: Samia ni Magufuli, Wasimchafue Marehemu – Video

  Mbunge wa Jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde amesema kamwe Amani na Utulivu kwa watanzania hauwezi kuwepo kama kuna baadhi...

READ MORE

Serikali Kuenzi Maono ya Hayati Dkt. Magufuli – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza kuwa Serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za Hayati Dkt. John Magufuli hasa...

READ MORE

Bashungwa Atoa Tamko Wanahabari Kuwekwa Chini ya Ulinzi na DED

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inafuatilia malalamiko...

READ MORE

Hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni Dodoma Leo – Video

Waziri Mkuu ameliomba Bunge liidhinishe TZS bilioni 116.8 kwa ajili ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake...

READ MORE

Hai Mmepata Mbunge, Mbowe Alikuwa Mzururaji

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo...

READ MORE

Shilingi Trilioni 114.8 Zapitishwa na Bunge

Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania jana Jumatatu tarehe Aprili 12, 2021 limepitisha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa...

READ MORE

Mdee Avuruga Bunge, Awaita ‘Manjuka’ Slaa, Kunambi Wamvaa – Video

Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amemuonya Mbunge, Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya ‘njuka’ kwa lugha za kejeli. Kunambi ametoa...

READ MORE

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Pasua Kichwa – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai  amedai kuna upotoshaji mkubwa kuhusu mradi wa bandari ya Bagamoyo. “Tunaposisitiza utekelezaji wa mradi huu...

READ MORE

Kishimba: Wagonjwa Wakopeshwe, Ukikosa Dawa Piga Simu Polisi

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM), amesema ipo haja mtu asipopata matibabu hospitalini, apige simu polisi ili askari wawakamate...

READ MORE

Kijana Ajiua Baada ya Kukataliwa na Mpenzi Wake

  Kijana aitwaye Kitachana Shenani (30) mkazi wa kitongoji cha Senta kijiji cha Makundusi Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amejinyonga...

READ MORE

Ndugai Atoa Maagizo Kuhusu Mjadala Ripoti ya CAG

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa...

READ MORE

Tundu Lissu Aomba Kukutana na Rais Samia

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho mwaka 2020, Tundu...

READ MORE

Mzee Mwinyi: Rais Samia Ameanza Vizuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Aprili, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Kigoma: Akatwa Shingo, Wauaji Waondoka na Kichwa

Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani Kigoma aliyetambulika kwa jina Shinze Mugarama ameuawa kwa kukatwa shingo...

READ MORE

Mbowe: Nimepata Chanjo ya Corona ‘AstraZeneca’

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa...

READ MORE

Coca-cola Yaitambulisha ‘Sisimua Maisha na Fanta’

Kampuni ya Coca Cola Tanzania, imezindua kampeni ya Sisimua Maisha na Fanta katika hafla iliyopambwa na burudani mbalimbali jijini Dar...

READ MORE

Bomba la Mafuta Kuanza Kujengwa Mwezi Huu

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Tanga-Tanzania hadi Uganda...

READ MORE

Mabango Yaanza Simiyu

SIKU chache baada ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwatangazia wateule wake kuhakikisha wanashughulikia kero...

READ MORE

Chadema Yataka Kuonana na Rais Samia

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeomba kuonana na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mbowe ‘Sikwenda Nje ya Nchi Kama Mkimbizi wa Kisiasa’

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa hakwenda nje ya Nchi kwa sababu za kiasiasa badala yake...

READ MORE

Madai Kubambikwa Kodi ya Bil 2, TRA Yamuita Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe ametaja sababu ya kuamua kuondoka nchini na kwenda kuwekeza nchi...

READ MORE