×

Mahaba

Siyo bahili, pengine tatizo ni kipato!

Karibuni wapenzi wa Jamvi la XXLove katika Jumatatu nyingine kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Mada ya leo itazungumzia namna ambavyo...

READ MORE

Darasa muhimu kwa wagombanao faragha

MUNGU ni mwema kila wakati. Amenikutanisha tena wewe msomaji wangu kwa mara nyingine Jumamosi ya leo ili niweze kuwapa kile...

READ MORE

Uliye naye ni mtu sahihi kwako au umebugi?-2

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Wiki iliyopita tulianza...

READ MORE

Pesa za mtaji unamtunza rafiki, ndugu asikuchoke kwa nini?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, bila shaka Sikukuu ya Pasaka imeisha salama sasa tuendelee na majukumu yetu ya kulijenga taifa,...

READ MORE

Huoni haya kujisevia mume wa shoga yako?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, naamini mko salama, kwa wenye matatizo poleni, kwa walioachika nawashangaa kwa nini uachike...

READ MORE

Shoga; usipoji-shusha kwa mumeo utaachwa!

Shoga, ni matumaini yangu ulisherehekea vizuri Sikukuu ya Pasaka na familia yako akiwemo mkuu wa kaya. Kwa upande wangu namshukuru...

READ MORE

Je, unazijua sifa za mwanaume anayefaa kuwa mwenza wako-2?

Heri ya Jumatatu ya Pasaka, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi na upendo wake kwetu. Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilianza kuiangalia...

READ MORE

Uliye naye ni mtu sahihi kwako au umebugi?

Hakuna jambo linalowasumbua watu wengi katika uhusiano wa kimapenzi kama kumtambua mwenzi sahihi. Upo msemo maarufu mitaani kwamba ni bora...

READ MORE

Mke hutulii halafu unataka mapenzi ya mume?

Asalaam aleykum wapendwa wasomaji wangu. Wiki iliyopita nilipata ujumbe kutoka kwa baadhi yenu wakinipongeza kwa mada yangu iliyotangulia, iliyowasema akinababa,...

READ MORE

Chongo – 29

Ilipoishia WIKI ILIYOPITA “Mbona uko kimya sana, naona unazungusha kichwa tu, vipi?” Sule alimshtua mpenzi wake wakiwa wamekaa pembeni ya...

READ MORE

Hakikisha mwenza wako hasheheni ‘stresi’

NAMSHUKURU sana Mwenyezi Mungu kwa siku ya leo Jumanne nyingine. Ni neema yake ndiyo imeweza kunifikisha hapa, kwani kuna wengi...

READ MORE

Shoga; ukizembea ukewenza utaingia nyumbani kwako!

Shoga, ni siku nyingine ya Jumanne ambayo tunakutana katika eneo letu hili tunalolitumia kuelimishana pamoja na kukosoana kuhusu mambo mbalimbali...

READ MORE

JPM atii agizo la Makonda, ahakiki silaha zake Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-9

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Mimi simuelewi Aisha…” “Kwa lipi tena baby?” aliuliza Bony kwa mshangao mkubwa huku akihisi tayari...

READ MORE

Mambo 5 yanayoleta uadui kwa wapenzi!-2

Uhali gani msomaji wangu! Matumaini yangu kwamba unaendelea poa na majukumu yako ya kila siku. Tunaendelea na mada yetu ya...

READ MORE

Vazi nalo lina hadhi yake ni vizuri kujisitiri

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu, hakika naendelea vema na ujenzi wa taifa kama kawa kwa hilo namshukuru Mungu. Bila shaka...

READ MORE

Mume, Wewe Ndiye Sumu Ya Mkeo

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, kwa upande wangu Shangingi Mstaafu, naendelea vema, namshukuru Mungu. Leo nimekuja na mada...

READ MORE

Wa Moyoni Wengi Wapo Kwa Wasio wa Moyoni

MPENZI msomaji nakukaribisha katika siku nyingine mwanana ya Jumanne ambayo tumeifikia kwa kudura za Mwenyezi Mungu. Tunakutana tena katika kujadili...

READ MORE

Shoga; usimtege mume wa mwenzio!

Asalam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo poa, namshukuru Mungu. Baada ya wiki ya jana kuzungumza nawe kwamba hakuna...

READ MORE

Mwanamke Siyo figa, sura hata mbuzi anayo!

Mpenzi msomaji wangu ni Jumatatu nyingine murua tunakutana tena kwenye safu yetu hii ya XXLove kwa ajili ya kupeana elimu...

READ MORE

Mambo 5 yanayoleta uadui kwa wapenzi!

Ni matumaini yangu kuwa msomaji wangu umzima wa afya njema na unaendelea na majukumu yako ya kujitafutia mkate wa kila...

READ MORE

Mume hachungwi kwa simu shoga!

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa kona hii, Shangingi nimerudi tena, leo hii nimeamua kuliongelea suala hili la simu jamani, zimekuwa...

READ MORE

Shoga; Usidanganyike, hakuna penzi la ulozi!

Shoga yangu, kufuatia Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutuongezea dakika za kuvuta pumzi yake, kila mmoja wetu amshukuru kwa...

READ MORE

Umetoa/ umedai talaka, mimi nitakuweza?

Ni siku nyingine tena kwa upendo wa Mungu tunakutana katika safu yetu ya XXLove kwa ajili ya kuzungumza maisha ya...

READ MORE

Shoga; mume wako mgonjwa, kwa nini umsaliti?

Shoga yangu, kwa mapenzi ya Mola ni matumaini yangu kwamba upo mzima na mapambano ya maisha yanazidi kusonga mbele. Kama...

READ MORE

Tambua wanakupenda kwa sababu uko kwangu!

ASANTE Mungu kwa Jumatatu nyingine murua, umenipa uhai, afya, nguvu na mengineyo yote ni kwa uweza wako. Mpenzi msomaji baada...

READ MORE

Shoga; alikupendea rangi yako, sasa mkorogo wa nini?

Shoga, kwa uweza wa Mola ni matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na unaendelea kupambana na changamoto za maisha...

READ MORE

Mungu aliyekupa, amemchukua na ndiye atakayekupa mwingine-2

Asanteni wasomaji wangu wote mlioguswa na mada ya wiki iliyopita. Ni kweli wengi imewaliza, imewakumbusha mbali lakini pia wengi imewafariji...

READ MORE

Ndoa bila watoto haina maana?

Leo na naanza na mfano, tafadhali fuatilia makala haya hadi mwisho uweze kupata elimu: Mapenzi ya Seki na Zena yalianzia...

READ MORE

Shoga; usimnyime mumeo kisa, kafulia!

Shoga yangu, ni siku nyingine tena ya Jumanne ambapo tunakutana katika kilinge chetu hiki tunachokitumia kuelimishana na kukosoana kuhusiana na...

READ MORE

Mungu aliyekupa, amemchukua na ndiye atakupa mwingine

Asante Mungu Valentine’s Day imepita salama hapo jana (Jumapili) japokuwa najua wapo waliopata misukosuko ya hapa na pale. Natumia nafasi...

READ MORE

Darasa maalum la Valentine’s Day!

KESHO ndiyo ile Siku ya Valentine. Ni siku maalum ya kuoneshana upendo. Iwe ni mama kwa mtoto, mtoto kwa mama,...

READ MORE

Valentine’s Day Mambo ya kufanya na kuepuka

Keshokutwa, Jumapili ni Valentines Day ama kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao ambayo huadhimishwa Februari 14 ya kila mwaka. Kadiri siku...

READ MORE

Shoga, usijiachie kivile kwa marafiki!

HABARINI za leo mashostito popote pale mlipo na ni tumaini langu kuwa mnaendelea vizuri na harakati wakati mwaka ukianza kukomaa....

READ MORE

Kwani ni lazima uolewe?

HAKIKA sifa na utukufu zimuendee yeye Jalali ambaye ametupa nafasi ya kuweza kukutana tena Jumanne hii.Moja ya kitu kinachonishangaza kwa...

READ MORE

Shoga; umeolewa, ofa ya masela yanini?

Shoga yangu, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu mimi sijambo pamoja na familia yangu akiwemo shemeji yenu ambaye ndiyo kila kitu...

READ MORE

Unampenda? Muoneshe ‘valentine’ wako!

Heshima na utukufu ni kwake Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kukutana tena Jumatatu hii murua. Leo katika safu yetu ya XXLove tunazungumzia...

READ MORE

Faida/ hasara za kurudiana na mpenzi wako wa zamani-2

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita...

READ MORE

Shoga; ukichoka mwambie kistaarabu, usiseme hutaki!

Shoga yangu, natumai hali yako ni nzuri na unaendelea vizuri na pilika za maisha, kwa upande wangu Mungu ni mwema...

READ MORE

Namna ya kudumisha uhusiano wa mbali (Distance Relationship)

Karibu tena mpenzi msomaji wa XXLove kwa ajili ya mada nyingine murua inayozungumzia ‘Namna ya Kuweza Kudumisha Uhusiano wa Mbali...

READ MORE