×

Maisha

UNA UHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI?-2

KATIKA mada hii ambayo imeanza wiki iliyopita, tunajifunza namna ya kumtambua mwenzi ambaye amepoteza uwezo wa kupenda.  Tayari tumeshaona dalili...

READ MORE

TUI LA NAZI HALITENGENEZI CHAI!

HEYAHEYA, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa...

READ MORE

UKIPARAMIA PENZI LA USIYEMJUA, ANDIKA MAUMIVU!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia uwanja huu wa mahaba. Ni eneo pekee ambalo unaweza kujifunza mambo ambayo yanaweza...

READ MORE

JINSI YA KUEPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA !

WANAWAKE wengi hawajui kuhesabu mzunguko wao wa hedhi na namna unavyoweza kutumika katika kuleta au kutoleta ujauzito.  Hata hivyo, ili...

READ MORE

UNAMALIZAJE MOGOGORO NA MPENZI WAKO ?

LEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje?...

READ MORE

UNAUHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI

ALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu...

READ MORE

SABABU WANAWAKE WAZURI KUTOOLEWA ZAANIKWA

WANAWAKE wengi warembo au wazuri husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu mbalimbali, Risasi Mchanganyiko limedokezwa. ...

READ MORE

SHOGA USIWE JUU JUU KAMA NYAMA YA BUCHANI

 UNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na...

READ MORE

OMBA, SALI UMPATE MUME MWENYE TABIA HIZI 6!

WIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia...

READ MORE

KILA SIKU UNAKIMBIWA NA WANAWAKE, UMEGUNDUA SABABU?-2

TUNAZU-NGUMZA kuhusu mapenzi, kama ilivyo kawaida ya ukurasa huu. Leo namalizia mada yangu niliyoanza wiki iliyopita. Ni kuhusu mambo ambayo...

READ MORE

UTAWEZAJE KUKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA-3

UKWELI ni kwamba wanawake wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja...

READ MORE

MFANYE MUMEO AWAHI NYUMBANI

SIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini...

READ MORE

DONDOO MUHIMU ZA KUNOGESHA PENZI KWA WANANDOA

KWANZA namshukuru Mungu kwa kunijaalia afya njema na pia kwa kunipa nguvu ya kuandika hiki ninachokusudia. Ungana nami ili ujifunze...

READ MORE

KILA SIKU UNAKIMBIWA NA WANAWAKE, UMEGUNDUA SABABU?

LET’S Talk About Love ni kwa ajili ya marafiki wote. Wanaume na wanawake, ila kiukweli mada nyingi huegemea zaidi kwa...

READ MORE

NIPE , NIKUPE NDO’ UTAMU WA PENZI!

NI IJUMAA nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano baada ya...

READ MORE

SABABU VIFO VYA MAPEMA VYA WANAUME KWENYE NDOA

UTAFITI uliofanywa na Gazeti la Ijumaa umebaini kwamba kumekuwa na wimbi la vifo vya mapema zaidi ya wanaume kwenye ndoa...

READ MORE

PUNGUZA MAJI UGALI UIVE

NASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa...

READ MORE

MATUMIZI HOLELA YA DAWA YANAVYOSABABISHA SARATANI

KITENDO cha mwanamke kutumia kiholela dawa za uzazi wa mpango humuweka katika hatari kiafya hasa kupata kansa ya kizazi.  Kibaiolojia...

READ MORE

UKIMPATA MTU SAHIHI, MSHIKILIE KWELI KWELI

Moja kati ya kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutothamini hisia. mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu tu ya mmoja...

READ MORE

MPENZI WAKO YUKO MBALI ? JUMUIKA NAYE SIKUKUU KWA STAILI HII

NI wiki nyingine tulivu tunakutana tena kupitia ukurasa huu nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako...

READ MORE

MPENZI WAKO ANAKUOMBA SANA FEDHA ?

 HII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa...

READ MORE

UTAWEZAJE KUMKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA

HISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda!...

READ MORE

 ASALI HAIONJWI KWA JIRANI

NIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na kuwa sugu la kuwafunda wengi.   Habari zenu,...

READ MORE

MAMBO YAKUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

WanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili...

READ MORE

UKIMCHAGUA MWENZA KWA STAILI HII, IMEKULA KWAKO!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu ameendelea kukupa ulinzi. Pia niwatakie kila la heri...

READ MORE

MBINU ZINAZOWEZA KUKUFANYA UKAMTEKA KIHISIA MUWAPO FARAGHA

NI Ijumaa nyingine murua kabisa tunapokutana kwenye uwanja huu mzuri, mahali tunapojuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na...

READ MORE

KUKUAMBIA ANAKUPENDA TU HAITOSHI IKIWA… – 2

TUNAMALIZIA mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Muhimu tunaangalia kasoro unazotakiwa kuziangalia kwa mpenzi uliyenaye. Je, upo kwenye uhusiano na mpenzi...

READ MORE

HATA ‘SINGLENDI’ NI NGUO YA NDANI

HALOOOOO EEEHHHH wanakwambia raha ya tembele liwe na mafuta mengi, upo nyonyo! Mjini mjini tu kama umezoea maghorofa wenzako tumezoea...

READ MORE

USIJIENDEKEZE, USIPOANGALIA UTAKUFA BURE KWA WIVU

ASSALAM Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nawe kwenye safu yetu hii ya Love Zone. Tumshukuru Muumba...

READ MORE

UKIONA YUKO HIVI , JUA ANAKUPENDA KWA DHATI

NI JUMATATU nyingine mpenzi msomaji Mungu ametujalia uzima tunakutana kwenye eneo letu mahsusi kwa ajili ya kupeana elimu ya masuala...

READ MORE

JINSI YA KUFURAHIA FARAGHA!

U ZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na...

READ MORE

 KUKUAMBIA ANAKUPENDA PEKEE HAITOSHI IKIWA…

MPENZI wako anapokuambia anakupenda, inatosha kweli kukudhibitishia kuwa anakupenda kwa dhati na uendelee kumwamini? Hapa kila mmoja anaweza kuwa na...

READ MORE

SHOGA JEMBE LAKO, AKULIMIE NANI?

HE he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu...

READ MORE

KUMVUMILIA ASIYEVUMILIKA PENZINI NI HATARI, FANYA MAAMUZI!

KATIKA lugha ya Kiswahili kuna misemo mingi inayotoa muongozo wa namna tunavyoweza kuyaendesha maisha yetu. Ipo misemo ambayo unaweza kudhani...

READ MORE

KUNA WAKATI PENZI LINAGEUKA KUWA KIFO, JIEPUSHE HIVI

NIANZE kwa kuwatakiwa Waislamu wote nchini mfungo mwema wa Mwenzi Mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha kufanya ibada, kujinyima kula...

READ MORE

 KAMA HUTAKI KUPATA MIMBA; FANYA HAYA

SAFU yetu wiki hii imebeba njia mbalimbali ambazo mwanamke anaweza kutumia ili asipate mimba kama hataki kuwa mjamzito.  Kutokujamiiana ndiyo...

READ MORE

MOYO WA SHUKRANI UNA MAANA KWENYE MAPENZI!

KWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-3

HUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia...

READ MORE

TRENI HAITEMBEI KWENYE LAMI

SHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki...

READ MORE