×

Makala

JINSI YA KUMTEKA ASIKUACHE !

NI Jumatatu nyingine, tumejaliwa na Mwenyezi Mungu, nami nakukaribisha jamvini mdau tupate elimu ya mapenzi na maisha kwa jumla.  Kama kichwa...

READ MORE

KUNA HATUA KABLA YA KUZAMA PENZINI USIKOSEE!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...

READ MORE

MADENTI WAINGIZWA GESTI MCHANA

HIVI wazazi wawafiche wapi watoto wao wa kike ili waweze kutimiza ndoto zao kimasomo? Jibu la swali hili ni gumu...

READ MORE

MBINU ZA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA

T ENDO la ndoa (kwa wanandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa...

READ MORE

KUKU MWEUSI HAFUKUZWI USIKU

 WEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...

READ MORE

KUNA MAISHA BAADA YA KUUMIZWA, YATAFUTE HIVI !

DUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo...

READ MORE

WAKATI MO AKISAKWA ALIYETEKWA SIKU 14 A IBUKA KANISANI

WAKATI mfanyabi­ashara ambaye ni bilionea maarufu Bongo, Mohammed Dewji akisakwa kila kona bila mafanikio, kijana Chris­topher Stambuli (pichani) ambaye alitekwa...

READ MORE

BODABODA HAINA TIKETI

WAJANJA wanakwambia hiviii, hata gari lina sofa lakini siyo za kutengenezwa kwa mbao, upo nyonyo? Heee eheeeeiyaaaa tangu lini mfuniko...

READ MORE

AKIKUSALITI UKAMUACHA, WEWE NI MSHAMBA WA MAPENZI !

NI matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi...

READ MORE

SKENDO YA NGONO KANISANI

SKENDO ya ngono kuingia kwenye nyumba ya Mungu haipendezi; lakini kwa kuwa shetani yu kazini imedaiwa kufika ndani ya Kanisa...

READ MORE

UNAWEZA KUOLEWA N A MTU USIYEMPENDA ?

MUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...

READ MORE

TUOMBE WEMA SEPETU APATE MTOTO; LAKINI…..

EEE Mungu naomba mtoto na mimi. Andika ameeni!  Haya ni maneno niliyoyatoa kwenye Mtandao wa Facebook katika Ukurasa wenye jina la...

READ MORE

UTAJUAJE KAMA UPO KWENYE MAPENZI HATARISHI? SOMA HAPA

MATUKIO ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na...

READ MORE

OMBAOMBA TISHIO KWA WANAWAKE ANASWA!

IRINGA: Ombaomba anayeomba kwa kutumia nguvu ameibuka Iringa hii ikiwa ni mara ya pili kwani huko siku za nyuma tukio...

READ MORE

KUNA WANAOAMINI NDUMBA KWENYE MAPENZI, USIWAPUUZE!

MUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO !

SHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...

READ MORE

INASIKITISHA! MTOTO ATEKWA, ACHINJWA

BUKOBA: Wakati watoto wawili, Idrisa Ally (13) na Gabriela Kilimba (3) wa jijini Dar wakiwa hawajulikani walipo baada ya hivi...

READ MORE

MLINZI WA MAKABURI: NILISHAWISHIWA NIUZE KIGANJA CHA MTOTO!

DAR ES SALAAM: Mzee mmoja, Charles Magilagila, wa Tabata Segerea ambaye ni mlinzi wa makaburi wa eneo hilo amefunguka jinsi...

READ MORE

UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA

WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi...

READ MORE

PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU

IJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano...

READ MORE

ALI KIBA UNAZINGUA MZEE! USIPOBADILIKA UTAPOTEZA MASHABIKI

MWANZONI mwa wiki hii, msanii wa kitambo na mwenye heshima kubwa Bongo, Ali Kiba aliachia video mpya ya wimbo uitwao...

READ MORE

UWOYA ULITAKA NDOA MWENYEWE, TULIA SASA !

Irene Uwoya. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Habari za siku, mambo yanakwenda vizuri? Bila shaka u-mzima wa...

READ MORE

NETI HAIGEUZWI PAZIA

WASWAHILI wanakwambia mtoto wa mjini halali njaa ila anachelewa kula na ukisubiri urithi wa viatu utatembea peku mjini upo nyonyo?...

READ MORE

HIVI NDIVYO MUUZA PWEZA ANAVYOMZIDI KIPATO MFANYAKAZI WA BENKI

SHIMO kuu la kwanza la umaskini wa milele ni pale mtu anapoamka asubuhi na kusema; ‘Sina kazi ya kufanya’. Ukiwauliza...

READ MORE

MTOTO BEAUTY ALIYEIBIWA KISHA KUPATIKANA, WAZAZI WATOA FUNDISHO

DAR ES SALAAM: Tukio la mtoto Beauty Yohana wa Mbezi jijini Dar kuibwa katika mazingira ya kutatanisha akiwa kanisani kisha...

READ MORE

IJUE HATARI YA KUTAKA UPENDWE KWA KUHONGA!

NI wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii, nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...

READ MORE

ALIYEDAI KUCHOMWA MOTO NA BOSI WAKE SAA 32 ZA MATESO

DAR ES SALAAM: Odemali Henry (28), mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam, amepitia mateso makali ya saa 32 baada...

READ MORE

USIMLAUMU KWA KUCHEPUKA, YAWEZEKANA WEWE NDIYO CHANZO

NI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi.  Leo...

READ MORE

JINSI YA KUWAEPUKA WALAGHAI WA MAPENZI

MAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Wengi hujikuta wakichanganyikiwa...

READ MORE

NYUMBA YA UDONGO HAIPIGWI DEKI

 HALOOOO eeeehhhh! Umezoea cheko la nyundo ngoja nikupe la msumari miye, nginjha nginjha! Nimeingia mjini tena Anti Naa kungwi wa...

READ MORE

‘UGONJWA WA KKK’ UNAVYOTESA WENGI KWENYE MAPENZI

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na...

READ MORE

MKIFANYA HAYA , LAZIMA MFURAHIE UHUSIANO

MAHUSIANO ya mwanaume na mwanamke huku-tanisha watu kutoka koo mbalimbali. Kila mtu anakuwa amelelewa tofauti kwa wazazi wake.  Tabia haziwezi kufanana....

READ MORE

UNATAKA KURUDIANA NA X WAKO? NI VIZURI UKAYAFAHAMU HAYA

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita...

READ MORE

HOYCE TEMU ALIACHA KAZI BENKI ILI AISAIDIE JAMII

Hoyce Temu MWAKA 1999 ni miongoni mwa miaka ambayo haitasahaulika kwenye kinyang’anyiro cha Miss Tanzania. Kwa waliobahatika kukishuhudia watakumbuka namna...

READ MORE

‘MSIPOFANANA’ HAMUWEZI KUISHI, CHUNGA SANA!

NI matumaini yangu mpenzi msomaji wa safu hii, utakuwa kwenye hali nzuri na tayari kusoma kile ambacho nimekuandalia wiki hii. Mahusiano...

READ MORE

MTOTO: BABA AMENIBAKA MPAKA BASI

INASIKITISHA! Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la David, mkazi wa Msongola jijini Dar amefanya kitendo cha kinyama baada ya kudaiwa...

READ MORE

KANDAMBILI HAIPIGWI KIWI

KAMA nakuona vile shoga yangu ulivyotumbua macho kuangalia kaniki ikiwekewa dawa ya madoa! Heee heeeeiyaaaaaa! Na utashanga’ sana mwaka huu...

READ MORE

KWANINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAOI ?

NI Jumatatu nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia pumzi yake. Tumshukuru kwa hilo. Karibu jamvini mdau.  Mada hapo juu ni swali ambalo...

READ MORE

UMEUMIZWA PENZINI, HUJUI HATMA YAKO? JIFUNZE

 MAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma kwa...

READ MORE