×

Makala

UNATAKA KURUDIANA NA EX WAKO ? NI VIZURI UKAYAFAHAMU HAYA

NI IJUMAA nyingine tunapokutana jamvini! Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni...

READ MORE

Mobeto Na Zari Nyota Zao Zinaendana

WIKI hii ilikuwa ‘busy’ sana na masuala mbalimbali yaliyotokea kwenye kinyan- g’anyiro cha Shindano la Miss Tanzania 2018, ambapo mrembo...

READ MORE

Vyuo Vikuu 10 Bora Zaidi Barani Afrika

1  University of Cape Town – Cape Town, South Africa The University of Cape Town (UCT), kiko katika miteremko ya mlima uitwao...

READ MORE

JINSI YA KUIPATA AMANI YA MOYO PENZINI !

UKIFANYA utafiti kwa vijana wengi kwa sasa kuhusu suala la amani ya moyo katika uhusiano wao, asilimia kubwa watakuambia hawana...

READ MORE

ZIJUE ATHARI ZA KUOA MWANAMKE MZURI ALIYEKUZIDI KIPATO !

AWALI ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata...

READ MORE

MCHIMBA KABURI AFICHUA SIRI BIASHARA YA MAITI ZA WATOTO

MIONGONI mwa matukio ya kutisha ambayo ukisimuliwa lazima ushike tama ni pamoja na madai kwamba, wapo watu ambao wanafanya biashara...

READ MORE

UNATEGEMEA AKUFURAHISHE LAKINI UNAISHIA KULIA ? SOMA HAPA !-2

NI wakati mwingine mzuri tunapokutana jamvini kujadili mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili kuhusu mada hii...

READ MORE

DIRISHA HALIFUNGWI KWA KUFULI

SHOGA mwaka ndiyo huooo unakatika leo mwezi wa tisa keshokutwa tu mwakani, shangaashangaa mjini hapa, kama ni msimu embe ndiyo...

READ MORE

MAKONTENA YA MAKONDA YAIBUA GHOROFA ZA LUGUMI

DAR ES SALAAM: Kufuatia kushindwa kununuliwa kwa makontena 20 yanayotajwa kuwa ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

ANAYEMFANYIA HAYA MUMEWE ILI KUMTULIZA NI BOGASI

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambapo tunazungumzia mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi.  Namshukuru Mungu kwa...

READ MORE

RAIS JPM AMEMPONZA MAKONDA?

KWA waliosoma Biblia, kisa cha Yusufu na baba yake, Yakobo hakiwezi kuwa kigeni. Yusufu alipendwa mno na baba yake, alikuwa ni...

READ MORE

KILA MMOJA ANALALAMA ‘MAANDALIZI’!

KARIBU jamvini mpenzi msomaji kwa kuwa Mungu ametujalia siha njema na tumekutana tena leo kwa mapenzi yake. Nalazimika kuileta mada...

READ MORE

WAZAZI NI KIKWAZO CHA NDOA YAKO? SOMA HAPA

  NIANZE na neno kidogo; uhusiano sahihi ni ule ambao una manufaa ya baadaye. Nikusihi rafiki, hakikisha unaishi na mtu...

READ MORE

KWA HILI LA DKT. MWAKYEMBE, BONGO MOVIE MSHINDWE WENYEWE

JUMANNE wiki hii baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kutembelea ofisi za Global Publishers...

READ MORE

SHIMO LA PANYA HALIZIBWI KWA MKATE

ALIYEKU-DANGANYA siku hizi maneno ya kwenye kanga yanatumika kuchamba nani? Heeeeeloooo utajibeba mwaka huu kama siyo kujiangusha, upo nyonyo? Siku...

READ MORE

HATARI YA KUKOSEKANA KWA FURAHA KWENYE PENZI LAKO!

KARIBU kwenye ulimwengu wa elimu ya mapenzi na maisha. Tukubaliane kwamba wote tunazaliwa tukiwa safi ‘watakatifu’ kabla ya kukutana na...

READ MORE

UNAACHA NYAMA NYUMBANI, UNAKIMBILIA MISHKAKI BAA !

NIPO tena nimejaa tele kama tui la nazi, ushindwe wewe tu uniungie kwa samaki au maharage! Halooo ehhhh! Mama matashtiti...

READ MORE

USICHOKIJUA KUHUSU KOFI ANNAN

JUMAMOSI iliyopita ya Agosti 18, mwaka huu Afrika na dunia ilipata pigo. Baada ya Nelson Rolihlahla Mandela na waasisi wengine...

READ MORE

EPUKA USHAURI HUU NI SUMU KWENYE PENZI LAKO!

KARIBU mdau wa safu hii tuendelee kupeana ‘madini’ juu ya maisha ya mapenzi. Kama mada hii inavyojieleza, si kila unapopatwa...

READ MORE

Jakarta, mji unaozama kwa kasi ya juu zaidi duniani

Mji mkuu wa Indonesia Jakarta ni nyumbani kwa watu milioni 10 lakini mji huo pia unazama kwa kasi zaidi duniani....

READ MORE

UMUHIMU WA FARAGHA NA MAKOSA YA WANAWAKE

TENDO la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima ya mapenzi. Ni kama vile kachumbari...

READ MORE

NDOA SIYO UMEME WA LUKU!

OHH mke wangu kila nikirudi anavimba domo, kunipakulia tu shida nikisema hivi visingizio kibao! Heee heeeiyaaaa, utalalama sana mwaka huu,...

READ MORE

MADHARA YA PENZI LENYE SABABU MBOVU

KARIBUNI jamvini, mahali ambapo tunajadili changamoto na mafanikio ya uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla. Tukubaliane wadau kuwa, lengo...

READ MORE

KWENYE UHUSIANO KUNA MAZOEZI NA MECHI, UPO WAPI ?

 UNAPOBAHATIKA kuingia kwenye uhusiano bila kupitia sarakasi za kutosha mshukuru Mungu. Wengi sana wamejikuta wakiangua vilio kwa kuteswa na mapenzi....

READ MORE

KUKABILIANA NA MAUMIVU KWENYE TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE

TATIZO hili kitaalamu linaitwa ‘Dyspareunia ‘. Maumivu hutokana na suala kubwa la matatizo katika tendo la ndoa au’ sexual Dysfunction’...

READ MORE

MTI WA MBUYU HAUKATWI KWA SHOKA

NDIYO hivyo sema wee mpaka koo likauke na sauti isitoke kabisa elimu yangu kama maji, usipoyanywa utapikia ugali ule, hee...

READ MORE

REKODI 4 Z A DC JOKATE HIZI HAPA

  JULAI 28, mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua aliyekuwa mshindi wa...

READ MORE

KIJANA ASIMULIA SIKU ZAKE 335 ZA MATESO NA MACHOZI

HUJAFA hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema, pindi unapomuona, dereva wa basi aliyefahamika kwa jina la Peter Mbwana (pichani), mkazi wa Machimbo-...

READ MORE

HIZI NI HATARI SITA ZA KUTOA MIMBA

HII ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake. Kutokana kuongezeka kwa idadi...

READ MORE

CHUNGA SANA USIKOSEE KUOA , KUOLEWA

UHUSIANO wa kimapenzi siku zote unajengwa na imani. Wapendanao wanapaswa kuaminiana kwa asilimia mia. Waswahili wanakuambia bora ukosee njia lakini...

READ MORE

ATHARI ZA MWANAMKE KUTOFIKA KILELENI KWENYE TENDO LA NDOA

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila...

READ MORE

NYAMA YA BUCHANI HAILALI!

MAMA wa mashangingi wote mjini nimeingia, kungwi niliyepigwa mishale mingi, haloooo ehhhh na utachina mwaka huu! Shoga upo? Kama nakuona...

READ MORE

IJUE SIRI YA KUIPATA NDOA HARAKA !

RAHA ya uhusiano wa mapenzi, ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana...

READ MORE

MWANAMKE KUKOSA MSISIMKO WA TENDO LA NDOA

  TATIZO hili la mwanamke kukosa msisimko wa tendo la ndoa kitaalamu tunaita ‘Female Sexual arousal disorder’. Mwanamke akiwa na...

READ MORE

KUNA TATIZO KWA MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME?

DUNIA inakwenda kwa kasi kwelikweli, yale ambayo miaka kadhaa iliyopita yalikuwa hayawezekani, hivi sasa yanawezekana.   Utandawazi umeleta mabadiliko makubwa...

READ MORE

UMRI WA UHUSIANO UHESHIMU!

UKIWA huumizwi na historia ni rahisi sana kufanya maamuzi ya ghafla. Watu wa aina hii wapo sana katika jamii yetu,...

READ MORE

JEMBE LA MJINI HALINA MAKALI

SHOGA upooooo? Ni Jumatano nyingine tunakutana tena katika kona yetu hii ya kujimwayamwaya, kujiachia na kupata elimu au siyo shoga?...

READ MORE

Viumbe Wanane Wa Majini Wanaoishi Muda Mrefu Zaidi

  Samaki aina ya Koi — huishi hadi  miaka 225 Ni samaki wanaopatikana eneo la Japan. Kobe na kasa —...

READ MORE

SILAHA MUHIMU ZA KUMFANYA AFURAHI MUWAPO FARAGHA

TENDO la ndoa (kwa wanan­doa) si tu linatumika kubore­sha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa inay­oweza...

READ MORE

KUKU WA KIENYEJI YAKE PUMBA

KAMA nakuona unavyotikisa kichwa na kujiuliza leo Anti ameleta kuku na pumba tena? Na utatikisa kichwa na mijicho kuitoa sana...

READ MORE