×

Michezo

Tumia Bet Builder Upate Odds Kubwa na Meridianbet Leo

Je umepata taarifa kuhusu BET BUILDER?, Hii ni moja ya chaguo ambalo kwasasa litamba kwenye soko la ubashiri kwani ukitengeneza...

READ MORE

DStv Yazindua Kampeni Kubwa ya Kombe la Dunia 2026 Tanzania – Video

KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma yake ya DStv leo Mei 11, 2026 imezindua rasmi kampeni maalum kuelekea mashindano ya...

READ MORE

Yanga Yatozwa Milioni 30, Meneja Wake Afungiwa Michezo Mitatu

YANGA imetozwa faini ya Sh milioni 30 kwa kosa la wachezaji pamoja na maofisa wa benchi la ufundi kukataa kutumia...

READ MORE

Mashabiki West Ham Wakerwa na Uamuzi wa VAR Dhidi ya Arsenal

Mashabiki wa West Ham United F.C. wameonyesha hasira kubwa kufuatia uamuzi tata wa VAR uliowanyima bao la kusawazisha katika mchezo...

READ MORE

Arsenal vs West Ham ni Vita ya Ubingwa na Kushuka Daraja leo

Leo Mei 10 saa 6:30 usiku Uwanja wa London Stadium utakuwa mwenyeji wa mchezo wa Ligi Kuu kati ya West...

READ MORE

Tuzo za BMT 2025: Simba Yatwaa Klabu Bora ya Mwaka, Simbu Mwanamichezo Bora wa Kiume

Klabu ya Simba imeendelea kuthibitisha ubora wake katika soka la ndani na kimataifa baada ya kutwaa tuzo ya Klabu Bora...

READ MORE

USM Alger Yaichapa Zamalek Fainali ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)

Klabu ya USM Alger imepiga hatua muhimu kuelekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya kuibuka na ushindi...

READ MORE

Bruno Fernandes Kuongoza Mashambulizi ya United Dhidi ya Sunderland Leo

Leo Mei 9 saa 17:00 alasiri Uwanja wa Stadium of Light utakuwa mwenyeji wa mchezo wa Ligi Kuu kati ya...

READ MORE

TRA United Yaichapa Azam FC 4-1 Sheikh Amri Abeid, Arusha

Shughuli imehitimishwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid Stadium ambapo TRA United wameonyesha ubabe wao kwa kuibuka na ushindi mnono...

READ MORE

Bashiri na Meridianbet Ushinde Samsung A26 Leo

Kupitia promosheni kabambe ya Bet Online, mteja anaweza kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 na kutimiza ndoto zake. Changamkia...

READ MORE

Ali Kamwe Afunguka Sababu ya Yanga Kumfuta Kazi Kocha Pedro Goncalves

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, amesema sababu kubwa ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na Kocha, Pedro Goncalves ni...

READ MORE

Simba Wahamia KMC Complex Kwa Mechi Za Nyumbani

Klabu ya Simba SC leo Mei 7, 2026 wametangaza kuhamishia mechi zao za nyumbani katika Uwanja wa  KMC Complex kwa...

READ MORE

Nani Atatinga Fainali Europa? Villa vs Forest, Freiburg vs Braga Leo

Europa League kule Ulaya inazidi kunoga ambapo mechi za mkondo wa kwanza zilimazika vyema, huku sasa ni mechi za mkondo...

READ MORE

PSG Yatinga Fainali ya UCL kwa Mara ya Pili Mfululizo, Yakutana na Arsenal

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo kwa mara ya pili...

READ MORE

Yanga Waachana na Kocha Pedro Gonçalves, Moalin na Mabedi Kuchukua Majukumu

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana rasmi na kocha wake mkuu Pedro Gonçalves kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa hiyo inaeleza...

READ MORE

Wananchi Waendelea Kutamba Ligi Kuu Baada ya Kuifunga KMC 1-0

Klabu ya Yanga imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Usiku wa Maamuzi, Nani kwenda Fainali UCL Leo Bayern Munich vs Paris Saint-Germain

Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaingia...

READ MORE

Arsenal Watinga Fainali ya UCL kwa Mara ya Pili Baada ya Kuiondoa Atletico Madrid

Klabu ya Arsenal imeandika historia mpya baada ya kutinga fainali ya UEFA Champions League kwa mara ya pili, kufuatia ushindi...

READ MORE

Rais Samia Amteua Drogba Kuwa Balozi wa Tanzania Kuelekea AFCON 2027

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa zamani wa Timu...

READ MORE

Strait of Hormuz Yageuka Uwanja wa Vita Kati ya Iran na Marekani

Hali ya mvutano imeongezeka Mashariki ya Kati baada ya Iran kutoa onyo kali kuwa “bado wanaanza tu” kufuatia mashambulizi ya...

READ MORE

Nani Atavuka? Arsenal vs Atlético Madrid Baada ya Sare ya Awali leo

Leo Mei 5 saa 22:00 kwa saa za Afrika Mashariki, dimba la Emirates huko London litakuwa kinara wa mapambano makali...

READ MORE

Carrick Aibuka Shujaa Mpya Old Trafford, Cunha Aunga Mkono Ajira ya Kudumu

Kiungo mshambuliaji, Matheus Cunha ameendelea kumiminia sifa kocha wa muda wa Manchester United, Michael Carrick, akisema anastahili kupewa kibarua cha...

READ MORE

CAF Yamteua Mwamuzi Ndala Kuongoza Fainali ya Mamelodi Sundowns vs FAR Rabat

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Jacques Ndala, kusimamia mchezo wa mkondo...

READ MORE

Pep Guardiola Aongoza City Wakiwa na Malengo ya Ubingwa, Everton Wapigania Nafasi za Ulaya

Mechi ya leo Uwanja wa Hill Dickinson Stadium inachezwa kwa mara ya kwanza kati ya timu hizi, huku Manchester City...

READ MORE

Manchester United, Liverpool ni DO or DIE Kwenye Nafasi ya Tatu ya EPL

Mechi hii ya kihistoria inachezwa leo Uwanja wa Old Trafford kuanzia saa 17:30 jioni, huku timu zote zikiwa zimetofautiana kwa...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo: Simba na Yanga Kuamua Hatima ya Ubingwa Leo!

Leo, Mei 03, 2026, dimba la Meja Janerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam litashuhudia pambano la kihistoria kati ya Simba...

READ MORE

Bashiri Mechi za La Liga, Serie A na EPL Leo na Meridianbet … Barcelona, Arsenal

Kama kawaida Wikendi ni kwaajili ya soka na leo hii mechi nyingi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali kule Ulaya. Timu zinashuka...

READ MORE

Waamuzi wa Morocco Kuchezesha Dabi Uwanja wa Meja Isamuhyo Mei 03, 2026

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imewatangaza waamuzi kutoka nchini Morocco kwa ajili ya kuchezesha mchezo mkubwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atoa Onyo Kali Kabla ya Mchezo Dhidi Ya Simba

Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Pedro Soares Gonçalves, leo Mei 2, 2026 amesema kikosi chake kimekuwa na muda wa...

READ MORE

Makonda Afichua Mpango wa Kuwaleta Mike Tyson na Floyd Mayweather Jr. Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema yapo mazungumzo yanaendelea ili kuwaleta nchini mabondia Mike Tyson na...

READ MORE

Leeds United vs Burnley: Derby Moto la EPL, Jiunge na Meridianbet kwa Odds za Juu

Ikiwa wikendi imefika, na timu kibao zinashuka dimbani kwaajili ya kuchuana vikali kusaka pointi 3, basi leo hii una nafasi...

READ MORE

Semaji Simba Atangaza Viingilio vya Mechi ya Kariakoo Dabi, Uwanja wa Isamuhyo – Video

Mkuu wa Idara ya Habari wa Simba, Ahmed Ally leo Mei 1, 2026 amezungumzia viingilio vya mechi ya Kariakoo Dabi...

READ MORE

FIFA Yathibitisha Ushiriki wa Iran Kombe la Dunia 2026 Licha ya Mvutano wa Kisiasa

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amethibitisha rasmi kuwa timu ya taifa ya Iran itashiriki katika mashindano...

READ MORE

Iraola Aibuka Mpinzani Mkubwa wa Carrick Mbio za Kuinoa Man United

Kocha wa AFC Bournemouth, Andoni Iraola, ameibuka kama mpinzani mkubwa wa Michael Carrick katika mbio za kuinoa Manchester United, kwa...

READ MORE

Kobbie Mainoo Asaini Mkataba Mpya Manchester United Hadi 2031

Kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo ameongeza mkataba mpya wa muda mrefu utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2031, ikiwa ni...

READ MORE

SC Braga Kuwakaribisha SC Freiburg Nusu Fainali ya Europa leo

Leo Alhamisi tarehe 30 Aprili saa 22:00 Uwanja wa Estádio Municipal de Braga utakuwa jukwaa la pambano la kusisimua la...

READ MORE

Simba Yachekelea Ubingwa wa Muungano Cup 2026 – Video

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kuna raha kubwa kupata ubingwa kwa kumfunga...

READ MORE

Arsenal na Atletico Madrid Kukiwasha Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Ni Simeone vs Arteta Jumatano hii kwenye mbinu kali za kuamua matokeo ya mechi ya mkondo wa kwanza wa Ligi...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa: PSG Yashinda Dhidi ya Bayern Munich 5-4

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), wameanza utetezi wao wa kombe lao kwa ushindi wa kifasaha...

READ MORE

Nani Ataingia Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya? PSG Kukiwasha na Bayern Munich Leo Usiku

Jumanne hii katika dimba la Parc des Princes tutaenda kushuhudia vita ya mbinu ya walimu wawili kwenye mchezo wa kwanza...

READ MORE