×

Michezo

Kiungo wa Serengeti Boys Aibuka Mfungaji Bora Mashindano ya AFCON U17

Kiungo wa Serengeti Boys, Dismas Athanasi, ameibuka mfungaji bora wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya...

READ MORE

Live In-Play Booster Yaleta Mabadiliko katika Ubashiri wa Mubashara

Live In-Play Booster ni huduma ya Meridianbet inayowezesha wateja kubashiri mechi zinazoendelea (live matches) na kupata odds zilizoboreshwa papo kwa...

READ MORE

Senegal Watwaa Ubingwa wa AFCON U-17 Baada ya Kuifunga Tanzania Kwa Penalti (Picha +Video)

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imekosa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika...

READ MORE

Namba za Wachezaji England Zafichua Mfumo Unaotarajiwa

Timu ya taifa ya England imetangaza rasmi namba za wachezaji wake kuelekea Kombe la Dunia 2026, hatua ambayo imeacha dalili...

READ MORE

Colombia Kuivaa Costa Rica Katika Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa

Timu ya Taifa ya Colombia itashuka dimbani leo Juni 2 saa 02:00 usiku kuikabili Costa Rica katika mchezo wa kirafiki...

READ MORE

Tanzania Kukipiga na Senegal Fainali AFCON U-17 Rabat, Morocco Leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, itashuka dimbani leo Jumanne Juni 2, 2026...

READ MORE

Meridianbet Waja na Pirates Power Yenye Zawadi Kubwa kwa Wachezaji

Kama unatamani mchezo wenye burudani, msisimko na nafasi kubwa za ushindi, Pirates Power kutoka Meridianbet ni sehemu sahihi ya kuanzia....

READ MORE

Feitoto Kutocheza Mechi za Kirafiki za Stars Dhidi ya Uganda na Rwanda – Video

Nyota wa Taifa Stars na Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ atazikosa mechi za kirafiki za Stars kutokana na kuwa majeruhi....

READ MORE

Simba Kupambana na Mbeya City Saa 8 Mchana Badala ya Saa 10 Juni 17, 2026

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi mabadiliko ya muda wa mchezo wa NBC Premier League kati ya Mbeya...

READ MORE

Brazil dhidi ya Panama Mechi wa Kirafiki kuelekea Kombe la Dunia

Tofauti na michezo mingine ya kirafiki, hapa Brazil anabeba shinikizo kubwa kama timu inayotarajiwa kushinda Kombe la Dunia kundi C,...

READ MORE

Ujerumani Kukipiga dhidi ya Finland, Mchezo wa Kirafiki

Mchezo huu wa kirafiki utakaopigwa leo Mei 31 saa 21:45 usiku una umuhimu mkubwa kwa Germany, ambao wamefuzu kwa Kombe...

READ MORE

PSG Yatwaa Taji la Pili Mfululizo Ligi ya Mabingwa Ulaya, Yaifunga Arsenal kwa penalti 4-3

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imefanikiwa kutwaa taji la pili mfululizo la UEFA Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga...

READ MORE

Je ni Arteta au Enrique Kuondoka na Taji la Ligi ya Mabingwa Leo?

Dunia inaenda kushuhudia pambano la aina yake kabisa kwenye Fainali ya Ligi ya Mabingwa kule Ulaya ni PSG vs Arsenal....

READ MORE

Uchovu Watishia Ndoto za Arsenal Kwenye Fainali Dhidi ya PSG Leo, Vikosi Vipo Hapa

Arsenal wanatarajiwa kuingia katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) leo Mei 30,...

READ MORE

Raheem Sterling Akamatwa Achunguzwa Kwa Tuhuma za Dawa za Kulevya

Mchezaji wa zamani wa timu ya Timu ya Uingereza, Raheem Sterling amekamatwa na polisi kufuatia ajali aliyopata akiwa anaendesha gari...

READ MORE

Dakika 90 za Moto: Nice na Saint-Étienne Kila Mmoja Akitaka Ushindi

Kadri muda unavyozidi kwenda ndipo joto linavyozid kupanda kwa timu za Nice na Saint-Etienne kwani wote wawili wanahitaji nafasi ya...

READ MORE

Waziri Makonda Amteua Haji Manara Kuwa Msemaji Wa Timu Za Taifa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za...

READ MORE

Dai Dai ya Shakira na Burna Boy Yapingwa na Mashabiki wa Waka Waka

Wimbo mpya wa Kombe la Dunia 2026 unaoitwa Dai Dai kutoka kwa Shakira akimshirikisha Burna Boy umeanza kuzua mjadala mkubwa...

READ MORE

FIFA Yatangaza Rasmi Uwanja wa Ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026

Kombe la Dunia 2026 litaanza rasmi Juni 11, 2026 ambapo wenyeji Mexico watafungua pazia dhidi ya South Africa katika mchezo...

READ MORE

Fainali ya Conference: Crystal Palace vs Rayo Vallecano, Nani Ataandika Historia Leo?

Fainali ya Conference League inatarajiwa kupigwa siku ya leo kule Ujerumani huku kila timu ikiwa na uchu wa kufanya vizuri...

READ MORE

Aliyekuwa Mchezaji Wa Southampton Afariki Akiwa Na Miaka 21

Klabu ya Southampton F.C. pamoja na Royal Antwerp F.C. zimethibitisha kifo cha aliyekuwa mchezaji wao wa akademi, Victor Udoh aliyefariki...

READ MORE

Meridianbet Wafungua Milango ya Ushindi Kupitia Spinning Buddha

Meridianbet wameleta Spinning Buddha kwa wale wanaotaka zaidi ya mchezo wa kawaida. Hapa ni burudani iliyochanganyika na nafasi halisi za...

READ MORE

Morocco Kukipiga dhidi ya Burundi leo, Kuelekea Kombe la Dunia 2026

Leo Mei 26, 2026 saa 19:00 kwa saa za Morocco, Uwanja wa Stade de Marrakech utakuwa mwenyeji wa mechi ya...

READ MORE

Mexico Yakubali Kuwa Mwenyeji wa Timu ya Iran Kombe la Dunia 2026 Kufuatia Mvutano na Marekani

Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum ametangaza kuwa nchi hiyo itaihifadhi timu ya taifa ya Iran wakati wa mashindano ya 2026...

READ MORE

Salah Aweka Historia Liverpool Aaga Kwa Machozi, Apigiwa Shangwe na Mashabiki

Mohamed Salah ameweka historia ya hisia kali baada ya kuaga rasmi klabu ya Liverpool F.C. katika mechi yake ya mwisho...

READ MORE

Yanga Yarejea Kileleni Kwa Kishindo Baada ya Kuichapa Namungo 3-1

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello ametangazwa kuwa nyota wa mchezo baada ya kuiongoza timu yake kuibuka na ushindi wa...

READ MORE

Philadelphia Watafuta Makosa Ya Miami Kwa Kasi Ya Ziada Leo

Ingawa Inter Miami wana ubora wa majina, wamo kwenye shinikizo kubwa la kushinda kila mechi nyumbani. Katika mechi zao tano...

READ MORE

Fernandes Aandika Historia Ligi Kuu ya Uingereza, Amaliza Msimu na Assists 21

Bruno Fernandes ameendelea kuonyesha ubora wake ndani ya Manchester United F.C. baada ya kuweka rekodi mpya ya pasi za mabao...

READ MORE

Tazama Shangwe la Arsenal Baada ya Kukabidhiwa Kombe la Ubingwa 2025/26

Arsenal F.C. wameandika historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa Premier Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kusubiri...

READ MORE

Chalamila – ”Viwango ni Msingi wa Afya, Biashara na Uchumi Imara”

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uzingatiaji wa viwango katika uzalishaji wa bidhaa na huduma ni...

READ MORE

Vita Yakumaliza Msimu Leo, Leeds Kuamua Hatima ya West Ham United EPL

Saa 18:00 jioni leo, Mei 24, Uwanja wa London Stadium utakuwa Jukwaa la kukata tamaa na matumaini katika Ligi Kuu...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Equator ya Uganda Yanayowashangaza Watalii Duniani

Uganda ni moja ya mataifa yenye vivutio vya kipekee duniani, lakini miongoni mwa maeneo yanayowavutia zaidi watalii ni uzoefu wa...

READ MORE

Bruno Fernandes Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora EPL 2025/26

Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes ametangazwa rasmi kuwa Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya Uingereza 2025/2026 baada...

READ MORE

Video: Okello Afunguka Sababu ya Kufurahia Kulinganishwa na Chama

Mchezaji wa Young Africans S.C. Allan Okello amezungumza na Global TV kuhusu watu wengi kumfananisha na Chama. Amesema: “Napata nguvu...

READ MORE

Real Madrid vs Athletic Club: Vita ya Heshima na Tiketi ya Europa Leo

Mchezo huu wa mwisho wa ligi unakuja wakati Real Madrid wakiwa tayari wamejihakikishia nafasi ya pili, ilhali Athletic bilibao wanapigania...

READ MORE

De Zerbi Afunguka Mpango wa Kuibadili Spurs Baada ya Kunusurika Kushuka Daraja

Kocha wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi amesema tayari ana maono ya wazi kuhusu nini kifanyike kuirejesha timu hiyo kwenye...

READ MORE

Manchester United Yamtangaza Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu wa kudumu

  Manchester United imemtangaza rasmi Michael Carrick kuwa kocha mkuu wa kudumu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili...

READ MORE

Yanga Yarudi Kileleni Baada ya Ushindi Mnono wa 3-0 Dhidi ya Singida Black Stars

Yanga wamefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0...

READ MORE

Video: Shigongo Aitaka Serikali Kutunga Sheria ya Uwezeshaji Kiuchumi

Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo, ametaka kutungwa sheria maalumu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kuwasaidia Watanzania...

READ MORE

Video: Makonda Afunguka Sababu ya Rio Ferdinand Kutoposti Mitandaoni Akiwa Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema alimwomba mwanasoka wa zamani wa kimataifa kutoka Uingereza na Manchester...

READ MORE