×

Michezo

Kikosi cha Simba Kitakachovaana na Mbeya City

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza kwenye mchezo wa ligi ya NBC dhidi ya Mbeya City, utakaochezwa majira ya saa 10:00...

READ MORE

Kisa Chama, Pablo Abadili Mfumo Simba

 BAADA ya ujio wa Clatous Chota Chama ndani ya Simba ni wazi sasa Kocha Pablo Franco itamlazimu kubadili mfumo ambao...

READ MORE

Morrison:Kuanzia Benchi Sio Tatizo

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa, hana shida na kuanzia benchi ndani ya kikosi hicho, kwani ni jambo...

READ MORE

Chama Hesabu Zake ni Makombe

CLATOUS Chota Chama, nyota wa Simba Sc amesema kuwa ni furaha kubwa kwake kurejea ndani ya timu hiyo. Chama aliibuka...

READ MORE

Martial Afunguka Kugoma Kucheza Man United

ANTHONY Martial, mshambuliaji wa Manchester United amekanusha madai ya Kocha Mkuu Ralf Rangnick kwamba hakutaka kuwa sehemu ya kikosi kilichotoka...

READ MORE

Unaambiwa Suala la Simba Kumsajili Mnigeria, Picha Lipo Hivi

KIUNGO Mnigeria, Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki...

READ MORE

Haji Manara: Tukae Wiki Tanga Tufungwe?

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa isingekuwa rahisi kwa Yanga kufungwa kwenye mchezo wao wa jana kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Yanga Yaitungua Coastal Mkwakwani

YANGA imefanikiwa kuondoka  na alama zote tatu mbele ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa...

READ MORE

Yanga Yamalizana na Kiungo wa TP Mazembe

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji, Chicco Ushindi aliyekuwa akiitumikia klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo. Chicco anakuwa mchezaji...

READ MORE

Kipa wa Simba Aibukia Yanga

Aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba, Milton Nienov kabla ya kuchimbishwa leo Januari 16 ametambulishwa ndani ya Yanga.  ...

READ MORE

Yanga Kutangaza Mashine Mpya Mkwakwani Leo

KLABU ya Yanga, leo Jumapili imepanga baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union, kumtambulisha nyota wake wa kimataifa ikiwa ni...

READ MORE

Simon Msuva Apandiwa Dau Simba na Yanga

WAKATI dirisha dogo la usajili hapa nchini likifungwa usiku wa kuamkia leo Jumapili, kulikuwa na mchuano mkali kwa timu za...

READ MORE

Chama Afanyiwa Kufuru Simba

UKISIKIA watu wanakwambia Simba wamefanya kufuru, basi amini kwamba ufanikishaji wa kuipata saini ya kiungo Mzambia, Clatous Chama imetumika gharama...

READ MORE

Kiungo Mnigeria Afunguka Yaliyojiri Simba

KIUNGO Mnigeria, Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Fahyma: Kila mtu anaachika

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Faima Msenga almaarufu Fahyma anasema kuwa, anajijua yeye ni mrembo mno, lakini suala la kuachana au kuachwa...

READ MORE

Tuzo Yampa Hasira Mkude

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amefunguka kuwa kuchaguliwa kwake kuwa Mchezaji Bora wa Simba kwa mwezi Desemba, kumempa motisha ya...

READ MORE

Kosa la Msimu Uliopita, Yanga Wanalipika Tena Msimu huu…

  NIANZE na kuwakumbusha namna msimu uliopita ulivyokuwa laini kwa Yanga na hasa mwanzoni lakini mwishoni mambo yakawa tofauti kabisa....

READ MORE

Pablo Ampiga Chini Shiboub Simba SC

BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha mkuu, Pablo Franco, raia wa Hispania, limeachana na mpango wa kumpa mkataba...

READ MORE

Mayele atuma Salamu Coastal Union

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa kwa sasa malengo yao yote ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mchezo wao...

READ MORE

Ruvu Shooting Yaweka Wazi Usajili Wao

IKIWA imebaki siku moja kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, Ruvu Shooting FC kupitia kwa ofisa habari wake, Masau...

READ MORE

Mbeya City Wanahitaji Sare tu kwa Simba

KUELEKEA mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba, benchi la ufundi la Mbeya City limetamba kuwa licha ya ubora walionao...

READ MORE

Pablo: Tumetimiza Malengo Mapinduzi Cup

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amefunguka kuwa lengo alilopanga kulipata kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi limetimia kwa asilimia...

READ MORE

Simba ni Chama la Kibingwa

EBANA Simba ni raha sana na kama unawachukua Simba kwa miaka ya hivi karibuni, basi ujiandae kununa sana. Simba juzi...

READ MORE

Mabosi Yanga Waingilia Usajili Simba SC

MABOSI wa Yanga Jumatano walikutana kujadili nafasi za kuzifanyia maboresho katika usajili wa dirisha dogo na kati ya hao ni...

READ MORE

Kiungo Yanga: Huyu Sakho ni Balaa

KIUNGO mchezeshaji wa zamani wa Yanga, Amri Kiemba, amefurahishwa na kiwango na aina ya uchezaji wa kiungo Msenegali wa Simba,...

READ MORE

Nabi Atua na Mzuka Kama Wote Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, juzi alfajiri alishuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini...

READ MORE

Moses Phiri: Yanga ni Timu Kubwa, Fei Toto ni Bonge la Mchezaji

UNAPOLITAJA jina la Moses Phiri, basi linakuwa sio geni tena kwa mashabiki wa soka nchini ambao wanafuatilia kwa karibu zile...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Breaking: Chama Awasili Tanzania Kujiunga na Simba

HATIMAYE aliyewahi kuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Clatous Chota Chama, amewasili nchini jioni hii ya leo Januari 14,...

READ MORE

Simba: Salam Ziwafikie

Baada ya usiku wa Januari 13, kufanikiwa kunyakua Kombe la Mapinduzi Cup kule visiwani Zanzibar na kuandika historia kwa kulinyakua...

READ MORE

Kufuru! Simba Watua Kibabe Dar

Kikosi cha Timu ya Simba wenye masknani yake katika Mtaa wa Msimbazi kimewasili Jijini Dar es Salaam leo mchana, Ijumaa,...

READ MORE

Mashindano Ya Afcon, Kandanda La Epl Na Serie A Zote Kutoa Burudani

Mashindano ya AFCON yanaendelea kushika kasi viwanjani. Kule barani Ulaya, EPL na Serie A nako mambo ni moto. Wikiendi hii,...

READ MORE

Kisa Kumkosa Chama, Wananchi Kusimamisha Nchi

IKIWA imebaki siku moja kufungwa kwa dirisha la usajili Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha amesema wanatarajia kushtua Tanzania kwa...

READ MORE

Kisa Kipigo cha Azam, Nabi Arejea kwa Hasira

KAMA kuna watu walikuwa na stresi jana ni mastaa wa Yanga. Kocha Nesreddine Nabi amewapigia simu viongozi akawaambia; “Niwakute wachezaji...

READ MORE

Hatimaye Chama Arejea Simba

KLABU  ya Simba leo Januari 14, 2022 imethibitisha  kukamilisha usajili wa kwa kiungo mshambuaji  wa Zambia Clatous Chota Chama. Chama...

READ MORE

Mbeya City Kamili Kuwakabili Simba

BAADA ya Bodi ya Ligi kutangaza mabadiliko ya ratiba kwa baadhi ya michezo ya Ligi Kuu Bara, Wagonga Nyundo wa...

READ MORE

Simba Sc Watwaa Ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2022

Simba SC imeandika hitoria mpya baada ya kubeba Kombe la Mapinduzi kwa kuitandika Azam FC kwa goli 1-0 katika uwanja...

READ MORE

Refa Aliyevurunda Mechi ya AFCON Jana Alikuwa Mgonjwa

Mkuu wa waamuzi wa #AFCON2021 Essam Abdel-Fatah amefichua kuwa Janny Sikazwe alijihisi vibaya kiafya (KIHARUSI CHA JOTO) wakati wa mchezo...

READ MORE