×

Michezo

Fungua Mwaka Kwa Faida Kwa Kubashiri Na Meridianbet

Mwaka 2022 unaanza kwa michezo ya kukata na shoka kunako mchezo wa soka. EPL katika ubora wake wikiendi hii. Anza...

READ MORE

Simba, Azam ni Tambo Tu

IKIWA imebaki siku moja kukamilisha hesabu za mwaka 2021, Januari Mosi 2022 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati...

READ MORE

Djuma Azitaka Asisti 15 Yanga

BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amefunguka moja ya malengo yake ni kuhakikisha anatoa pasi nyingi za mabao kuanzia...

READ MORE

Nkane Aaga Rasmi Biashara United, Sasa Kutua Yanga

ALIYEKUWA mchezaji wa Biashara United ya Mara nafasi ya kiungo mshambuliaji, Denis Nkane (18) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo...

READ MORE

Simba Waja na Mikakati Mipya Kufuzu Robo Fainali CAF

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mulamu Ng’hambi, amesema wamepanga kuja na mikakati mipya itakayowawezesha kufuzu hatua ya Robo...

READ MORE

Namungo Watangaza Makocha Wapya

Klabu ya Namungo imetangaza benchi jipya la ufundi la klabu hiyo. Imemtambulisha Hanour Janza ambaye ni raia wa Zambia kuwa...

READ MORE

Sure Boy Amuondoa Mukoko Yanga

HUENDA kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe akatua kwa mkopo Azam FC katika usajili huu wa dirisha dogo. Usajili...

READ MORE

Diarra Ampa Mbinu Mshery Yanga

BAADA ya kutua Yanga, kipa Aboutwaleeb Mshery, amefunguka kuwa ana matumaini makubwa yakupata nafasi katika kikosi cha kocha Nabi kwani...

READ MORE

Van Persie Amlilia Gyan

MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United na Arsenal, Robin van Persie ametuma salamu za rambirambi na kutoa heshima kwa mchezaji...

READ MORE

Zlatan: Mabao Mengi ya Pele ya Offside

Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic hajaonesha kukubali uwezo wa mfalme wa Soka kutoka nchini Brazil Pele. Licha ya Pele...

READ MORE

Kisubi: Utu Wangu ni Bora Kuliko Kitu

  ALIYEKUWA kipa wa Simba Sc, Jeremiah Kisubi amewashukuru uongozi na mashabiki wa klabu hiyo kwa kipindi alichohudumu huku akisema...

READ MORE

Pablo Amhofia Chama Shirikisho Afrika

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameichungulia droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrikana kufunguka kuwa, wanatarajia...

READ MORE

Metacha Asalim Amri kwa Chama, Diarra, Yondani

KIPA wa Polisi Tanzania, Metacha Mnata amesema tangu aanze kukaa golini hajawahi kukutana na changamoto kama aliyowahi kupata kutoka kwa...

READ MORE

Sakata la Aubameyang Arsenal, Alan Shearer Afunguka

Nyota wa zamani wa Newcastle Utd, Alan Shearer amesema anaamini wachezaji wa Arsenal wamekubaliana na maamuzi ya kocha wao Mikel...

READ MORE

Wanaopandisha nauli Kukiona

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi...

READ MORE

Morrison Anaitaka Azam FC

UNAAMBIWA pamoja na Kiungo Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison kukosekana kwa muda ndani ya timu hiyo akiwa...

READ MORE

Ibrahim Ajib Asajiliwa Azam FC, Atangazwa Rasmi

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi...

READ MORE

SportPesa Waiongezea Mkataba Namungo FC

KAMPUNI ya michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, imeongeza mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini timu ya Namungo ya Ruangwa,...

READ MORE

Simba Yasitisha Mkataba wa Ibrahim Ajibu – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Simba umethibitisha kusitisha mkataba wa kiungo fundi Ibrahim Ajibu. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba...

READ MORE

Chama Kufuata Nyayo za Okwi

HABARI za kurejea nchini kwa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ zimepamba moto kipindi hiki cha...

READ MORE

GSM Yawafanyia Kufuru Mastaa Yanga

WADHAMINI wa Yanga ambao ni GSM, wamewafanyia kufuru mastaa wa timu hiyo kwa kuwapatia vocha yenye thamani ya Sh milioni...

READ MORE

Hitimana Ataja Sababu za Kuondoka Simba

BAADA ya Klabu ya Simba kutangaza kufikia muafaka wa pande mbili kuvunja mkataba wa kocha msaidizi wa timu hiyo, Hitimana...

READ MORE

Simba Yajipiga Kifua Kundi D

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mulamu Nghambi amesema wamepanga kuhakikisha Simba inapata ushindi katika mechi mbili za mwanzo,...

READ MORE

Rasmi: Mshery Mali ya Wananchi

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi golikipa wao mpya, Aboutwalib Hamidu Mshery ambaye amesajiliwa katika dirisha hili dogo la usajili akitokea...

READ MORE

Diarra Awapa Wakati Mgumu Yanga

WAKATI mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga Djigui Diarra akitimka kwa ajili ya kujiunga na kambi ya Timu...

READ MORE

Gendarmerie: Tupo Kundi Zuri

KLABU ya US Gendarmerie ya Djibouti imesema imepangwa kundi zuri na Simba Sc ya Tanzania hivyo wanao uhakika mkubwa wa...

READ MORE

Mukoko Agomea Mkataba Mpya Yanga

HABARI si njema kwa mashabiki wa Yanga kutokana na kudaiwa kuwa kiungo mkabaji wa timu hiyo, MukokoTonombe kugomea mkataba mpya...

READ MORE

Kipa la Kimataifa Linakuja Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa Yanga kuvunja benki na kwenda kumnunua kipa wa St George ya Ethiopia,Charles Lukwago ambaye ni kipa...

READ MORE

Sakata la Mshery Kutua Yanga Laibua Mapya

Kama ulidhani dili la kipa wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Msheri kujiunga na Yanga limekwisha, sahau kwani baada ya Mtibwa Sugar...

READ MORE

Torres Atua Barca

Nyota wa kimataifa wa Hispania Ferran Torres amekamilisha dili lake la kujiunga na FC Barcelona akitokea Manchester City dili linalotajwa...

READ MORE

Nyota Cambiasso Atua uingereza

Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka katika kituo cha kufunzia soka cha Cambiasso Sports, Omary Mvungi akiwa na mchezaji wa...

READ MORE

GSM Wamzuia Saido Kuondoka Yanga

WAKATI mkataba wake ukielekea ukingoni, nyota wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amezuiwa kuondoka na mabosi wa timu hiyo na...

READ MORE

Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting

  KOCHA Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ amechana na Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani. Mkwasa ametaja sababu ya kuachana na...

READ MORE

Baada ya Kimya Kirefu Barbara Aibuka

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwa ni kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana...

READ MORE

Okwi, Aucho Watoswa Uganda Cranes

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’, Milutin Sredojevic ‘Micho’ ameita kikosi cha wachezaji 23, kitakachoingia kambini...

READ MORE

Mashabiki Al Ahly Waendelea Kumkataa Miquissone

Licha ya Pitso Mosimane kuwapa Al Ahly taji la CAF Super Cup bado mashabiki wameendelea kumkosoa hasa baada ya Al...

READ MORE

Breaking News: Simba Waachana na Kocha Hitimana

Kocha msaidizi wa Simba, Hitimana Thiery amefikia makuliano ya kuachana na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga na Simba kwa ajili...

READ MORE

Kifaa Kipya Yanga Kutua Dar Kesho

WINGA wa TP Mazembe, Chico Usindi Wakubanza, tayari ameshaaga huko kwao DR Congo na kujiandaa kwa safariya kutua Tanzania kuanza...

READ MORE

Phiri atuma salamu Simba, Yanga

MSHAMBULIAJI wa Zesco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri ambaye Simba na Yanga zimekuwa zikionesha nia ya kumsajili kwenye usajili...

READ MORE

Simba Kundi Moja Na Rs Berkane Kombe La Shirikisho

LEO droo ya makundi imepangwa nchini Misri kikosi cha Simba kimepangwa kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS...

READ MORE