×

Michezo

Tshishimbi Akubali Yaishe Yanga, Aomba Kusaini

KIUNGO mkabaji raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amekubali yaishe na kukubali kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga.Hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Wazir Junior Apewa Tuzo Ya Mchezaji Bora Mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom...

READ MORE

Breaking: Ninja Asaini Miaka Miwili Yanga

BEKI wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ leo Agosti 6 amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Ninja...

READ MORE

Young Africans Wamnasa David Richard

UONGOZI wa Klabu ya Young Africans (Yanga)  umekamilisha taratibu za kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa pembeni wa Alliance FC ya jijini...

READ MORE

Yanga Kuingia Kambini Agosti 10

Klabu ya Yanga leo Agosti 12, 2020 imetangaza kuingia kambini rasmi Jumatatu Agosti 10, 2020 kujiandaa na msimu mpya. Taarifa...

READ MORE

Simba Yatangaza Usajili Kabambe

IMEBAINIKA kuwa baada ya Simba kumalizana na usajili wa wachezaji wawili David Kameta na Charles Ilanfya, timu hiyo haina mpango...

READ MORE

Sinema ya Morrison vs Yanga Kumalizwa Agosti 10

SHIRIKISHO la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10,...

READ MORE

Samatta: Alikiba Usinifokee

NAHODHA wa timu ya taifa ya soka nchini (Taifa Stars) na mchezaji wa Klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu...

READ MORE

Tangalo Rasmi Miaka Miwili Namungo FC

  FREDDY TANGALO, kiungo wa Lipuli, jana Jumatano, Agosti 5, 2020, amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya...

READ MORE

Yanga Yaachana na Juma Abdul

JUMA ABDUL, ameachana na timu yake ya Yanga, jana Agosti 5, 2020, baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwenye suala la...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Aitisha Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Waziri Junior ametamba kuwa ametua ndani ya klabu hiyo ili kumaliza utawala wa muda...

READ MORE

Yanga Yajifungia Hotelini, Kumsajili Hassan Kessy wa Nkana

KAMPUNI ya GSM iliyochukua jukumu la usajili Yanga kwenye msimu ujao, imemuwekea kitita cha Sh 50Mil, beki wa pembeni wa...

READ MORE

Kiba: Magufuli Anaweza Kufanya Sapraizi SamaKiba

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba leo an Samatta wamezindua rasmi mchezo wao na Samatta ikiwa ni muendelezo wa...

READ MORE

Eymael Aigomea Adhabu ya TFF, Asema Aipo Kisheria

ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga, Luc Eymael amesema kuwa hakubaliani na adhabu iliyotolewa na Shirikisho la...

READ MORE

Simba Queens Kutangaza Ubingwa Leo

SIMBA Queens huenda ikatangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu endapo itaibuka na ushindi mbele ya...

READ MORE

Alikiba: Zamu Yetu Kuwapiga Team Samatta

MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuwa Team Kiba hawatakubali tena kufungwa na Team Samatta katika mtanange wa hisani wa...

READ MORE

Europa League Yafika Patamu! Man United Kucheza Leo

Siku tuliyokuwa tunaingoja hatimaye imewadia sasa Ligi ya Europa imerudi! Mashabiki wa soka ulimwenguni watashuhudia mashindano ya hadhi ya kidunia...

READ MORE

Zimbabwe: Rais Mnangagwa Aapa Kupambana na Wapinzani

Rais Emmerson Mnangagwa ameapa kupambana vikali na wapinzani na wanaharakati baada ya kuongezeka kwa maandamano. Pia, amevishutumu vyama na nchi...

READ MORE

Man U Yafunga Kazi kwa Sancho

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa tayari ameingia makubaliano na Manchester United na hivyo yupo tayri kudondosha saini kwa kandarasi ya miaka...

READ MORE

Man United Yamalizana na Sanchez

Manchester United hatimaye imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili nyota huyo raia wa Chilea...

READ MORE

Yanga Yatema Nyota 14 – Tshishimbi, Banka, Ngassa, Molinga…

YANGA Agosti 3, 2020 wametangaza nyota wake 14 waliowaacha huku mchezaji wao wa kigeni, Bernard Morrison, akiachwa kikosini kwa msimu...

READ MORE

Yanga Yasajili Mashine Nne kwa Mpigo

JEURI ya fedha! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa baada ya Kampuni ya GSM kutumia Sh milioni 210 kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Nyota Mpya Simba Atamba Kufanya Maajabu

CHARLES Ilanfya, straika mpya ndani ya Klabu ya Simba ambaye inaelezwa kuwa amesaini dili la kuitumikia klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Mauya: Nilishuhudia Mwenzangu Akichomwa Kisu Alipofunga Bao

MBIO za usajili wa wachezaji wapya kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2020/21 zimeanza kwa kasi ndani ya...

READ MORE

Maximo Rasmi Atuma CV Zake Yanga

JINA la Mbrazili, Marcio Maximo ni kati ya makocha 60 waliotuma maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao.   Yanga...

READ MORE

Sh mil 60 Zamzuia Beki KMC Kusaini Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa Sh 60Mil za kuuvunja mkataba kwenye klabu yake ya KMC, ndizo zimechelewesha mipango ya Yanga kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Simba Queens Kutangaza Ubingwa na Mechi Mkononi

KLABU ya Simba Queens huenda ikatangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu endapo itaibuka na ushindi mbele ya Baobab Queens,...

READ MORE

Mido Hatari: Ikipigwa Simu Tu, Nasaini Yanga Sc

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya soka ya Polisi Tanzania, Marcel Kaheza, amesema kwamba kila kitu kuhusu ishu yake ya kusaini...

READ MORE

 Kakolanya Akubali Yaishe Simba, Kutimkia Azam Fc

TETESI za usajili katika kuelekea msimu ujao, zinasema kuwa upo uwezekano mkubwa wa kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya...

READ MORE

Manara Amwaga Povu Kocha wa Simba Kufukuzwa

KLABU ya Simba imeelezea masikitiko yake juu ya uvumi unaoenea mitandaoni kuwa itamfukuza kocha wao mkuu Sven VanDenBroeck mara tu...

READ MORE

Simba Yatua Dar, Mapokezi Yake Acha Kabisa!

Mapokezi ya mabingwa wa Ngao ya Hisani, Ligi kuu na Kombe la Shirikisho, Klabu ya Simba baada ya kurejea kutoka Sumbawanga...

READ MORE

Makocha 60 Waomba Kumrithi Eymael Yanga SC

JUMLA ya makocha 60 wamewasilisha wasifu ‘CV’ za maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao wakimrithi aliyekuwa Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Simba Bingwa Kombe la FA, Yaipiga Namungo 2-1

TIMU ya Simba leo Agosti 2, 2020 imerejea kile ilichokifanya msimu wa mwaka 2016/17 baada ya kushinda mabao 2-1 mbele...

READ MORE

Ally Niyonzima wa Rayon Sports Asaini Azam FC

Azam FC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa wa Rwanda, Ally Niyonzima, kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa...

READ MORE

Mwamnyeto Atua Yanga Asaini Dili La Miaka Miwili

BAKARI Mwamnyeto beki kisiki wa Coastal Union leo Agosti Mosi amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Nyota...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aichimba Mkwara Namungo

WAKATI zikiwa zimebaki saa chache kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amefunguka licha...

READ MORE

Zawadi Mauya Atua Yanga, Asaini Miaka Miwili

  KIUNGO mkabaji wa Kagera Sugar, Zawadi Peter Mauya, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga SC. Mauya amesaini mbele...

READ MORE

Gari Latajwa Tshishimbi Kugomea Mkataba Yanga

ACHANA na dau la usajili alilolikataa la Sh 60Mil, gari aina ya Subaru Impreza nalo linatajwa sababu ya kiungo wa...

READ MORE

Fainali Kombe la FA: Arsenal vs Chelsea ‘Kukinukusha’ Kesho

Wikiendi hii pazia litafungwa kwenye moja ya mashindano maarufu Uingereza na Ulaya, Kombe la FA. Fainali ya kombe la FA...

READ MORE

Rutanga: Nimesaini Yanga, Kutua Nchini

NI rasmi sasa beki wa kushoto wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Rayon Sports, Eric Rutanga ni mali ya Yanga baada...

READ MORE