×

Michezo

Yanga Yaifuata Zesco Usiku Kibabe

MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga unatarajiwa kusafiri kesho Jumanne saa 2:00 usiku kuwafuata wapinzani wao Zesco United watakaovaana Jumamosi...

READ MORE

Azam: Tutapindua meza kibabe Zimbabwe

IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa hawana mashaka na maandalizi ya kikosi chao, wana imani ya kupindua...

READ MORE

Taifa Stars Lazima Ishinde Ugenini

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana imejikuta ikipoteza mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya kufuzu Kombe...

READ MORE

Kaseja: Njooni Taifa Tumuue Sudan Leo

KIPA namba moja wa Tanzania, Juma Kaseja amesema kuwa haoni nafasi ya timu ya Taifa ya Sudan kuibuka na ushindi...

READ MORE

Video: Mbwana Samatta Ni Mdaiwa Asiye Na Fedha

Mmshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ajulikanaye kwa jina la Ally Samatta.

READ MORE

Video: Walichosema Kocha wa Taifa Stars na SUDAN Mechi Ya Kesho

 KAIMU Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mrundi, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo...

READ MORE

Mkwabi: Bosi Mpya Simba Achukue Tahadhari

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swed Mkwabi ambaye alitangaza kujiuzulu hivi karibuni, ametoa tahadhari kwa mwenyekiti mpya atakayepata dhamana...

READ MORE

Mtaalam Mpya Ashushwa Yanga

KUELEKEA mchezo wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United, mabosi wa Yanga haraka wamepanga...

READ MORE

Balinya Kimeeleweka, Ashindwe Mwenyewe Kuwaua Zesco

WAKATI wakijiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Zesco United ya Zambia, mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya amefanikiwa kupunguza kilo...

READ MORE

Mkude Atibua Mipango ya Mbelgiji Simba

KIUNGO Jonas Mkude unaambiwa amemtibulia mipango kocha mkuu wa kikosi cha Simba, Patrick Aussems kiasi kwamba bosi huyo ameamua kubadilisha...

READ MORE

Aveva Na Kaburu Wapewa Dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa dhamana aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Godfrey Nyange maarufu Kaburu...

READ MORE

Mbrazili Amkalisha Wawa Simba SC

STRAIKA mpya wa Simba, Mbrazili Wilker Henrique tayari ameshaanza mazoezi magumu ambapo kwa siku mbili pekee ambazo amefanya ameteka mazoezi...

READ MORE

Aliyewatikisa Zesco Atupwa nje Yanga

KIBOKO wa Jesse Were wa Zesco, Balama Mapinduzi wa Yanga ameondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza na timu hiyo katika...

READ MORE

Yanga Yamtangaza Mbadala Wa Dismas Ten

Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza Hassan Bumbuli kuwa Ofisa Habari wa klabu hiyo.

READ MORE

Said Ndemla yamkuta Simba

KIUNGO mwenye zali la kupendwa na mashabiki wa Simba, Said Ndemla anadodea benchi. Amekata tamaa ya kuvaa uzi wa kikosi...

READ MORE

Kocha Stars: Sheva ni bora kuliko Ajibu

HALI ya mambo kwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na timu hiyo hivi karibuni akitokea Yanga, sasa...

READ MORE

Kagere: Bocco ni pigo kubwa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, amesema kitendo cha timu yake kufunga idadi ndogo ya mabao kinatokana na kumkosa nahodha wa...

READ MORE

Video: JIMMY KINDOKI AMLIPUA MANARA ‘Anataka Kiti Changu’

MJUMBE wa kamti ya hamasa Jimmy Kindoki amewaasa wanayanga kuacha kufuatilia maneno ambayo yanaendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu Timu...

READ MORE

Mbelgiji: Kagere Funga Sana Baba

  Licha ya straika wa Simba, Meddie Kagere kuwa ndiye kinara kwenye orodha ya wafungaji akiwa na mabao matatu, kocha...

READ MORE

Video; Yanga Yatangaza Kupeleka Mashabiki Zambia Kupindua Meza

Kamati ya hamasa ya Timu ya Yanga imewataka mashabiki na wapenzi wa Yanga kujumuika kwa umoja katika safari ya kuelekea...

READ MORE

Liverpool, Chelsea Wapigwa Ligi ya Mabingwa Ulaya

LIGI ya Mabingwa Ulaya kwa hatua ya makundi ya 2019/2020 imeanza jana Septemba 17, 2019, kwa kushuhudia rekodi mbalimbali zikiwekwa...

READ MORE

Balaa la Samatta Champions League, Rekodi Alizoweka Hizi

  LICHA ya Klabu yake ya KRC Genk kufungwa mabao 6-2, nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta,  ameweka rekodi ya...

READ MORE

Boateng Akiri Ujinga Kununua Gari Tatu Kwa Siku Moja

  Boateng amesema alifanya ujinga mkubwa kununua gari tatu kwa siku moja ili apate furaha enzi zile akiwa Tottenham. Kiungo...

READ MORE

ILIKUWA KASEJA, Leo Kamusoko Kaachia Ujumbe Mwingine!

MECHI ya Ligi ya Mabingwa kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Zesco United kuwania kucheza hatua ya makundi ilikuwa na...

READ MORE

Miraji: Silaha Ya Aussems, Mbeba Mikoba Ya Okwi

MACHUNGU ya kidonda cha mashabiki wengi wa Simba cha kumpoteza straika wao kipenzi, Emmanuel Okwi raia wa Uganda yanaanza kupoa...

READ MORE

Rekodi Zaibeba Yanaga CAF

BAADA ya Yanga kutoka sare ya bao 1-1 na Zesco United juzi Jumamosi, mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa wasikate tamaa...

READ MORE

Makame ahakikishiwa namba Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemuingiza rasmi kiungo wake mkabaji, Abdulaziz Makame kwenye kikosi chake cha kwanza atakachokitumia...

READ MORE

Kocha Simba Awapa Yanga Mbinu 2 Kuimaliza Zesco

JAMHURI Kihwelo ‘Julio’, kocha wa zamani wa Simba na Dodoma FC, amesema kuwa bado nafasi ya Yanga kushinda mbele ya...

READ MORE

Kocha KMC: Tatizo ni Aiyee, Msuva, Kapera

KOCHA Mkuu wa KMC, Jackson Mayanja, amewataja wachezaji wake Salim Aiyee, James Msuva na Ramadhani Kapera kuwa ndiyo sababu kupokea...

READ MORE

Bil 20 Zamng’oa Mwenyekiti wa Simba, Swedy Mkwabi

SPOTI Xtra limejiridhisha kwamba kilichomng’oa Mwenyekiti wa Simba, Swedy Mkwabi kwenye uongozi ni Sh.Bil 20 za uwekezaji. Simba ilitangaza jana...

READ MORE

MOLINGA AKITUPIA TU, MILIONI 2 MEZANI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani Mwinyi Zahera ametenga kitita cha milioni mbili kwa ajili ya kununua mabao ya straika wake...

READ MORE

Kocha Yanga Awatoa Hofu Mashabiki, Zesco Tunawafunga – Video

KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amewasisitiza mashabiki wa timu hiyo kutembea kifua mbele wala wasitishwe na sare ya jana ya...

READ MORE

Mkude: Pacha yangu na Shiboub ni noma

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude amesema sasa ndani ya timu hiyo ni raha kwani ameanza kuelewana vyema na kiungo mwenzake,...

READ MORE

Burna Boy Amtimua Shabiki Ukumbini

MKALI wa Afro Pop kutoka Nigeria, Burna Boy amefanya tukio la ajabu mara baada ya kumtoa nje shabiki aliyekuwa hashangilii...

READ MORE

Kipensi Zahera Akitinga Taifa… Milioni Imeteketea

TAARIFA ikufikie kwamba kila ukimuona Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera akitinga uwanjani basi tambua kuwa zaidi ya Sh Mil...

READ MORE

Kocha Simba awazuia wachezaji kwenda gym

KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane ameweka wazi kuwa hakuna ruhusa kwa wachezaji wa Simba kwenda gym bila kupewa...

READ MORE

TFF yamfungia Kazi Ndayiragije

WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiendelea na mchakato wa kumtafuta kocha mkuu Taifa Stars kuna uwezekano mkubwa kocha mkuu...

READ MORE

Mayanga Atumia Mbinu za Yanga Kuimaliza Prisons

KOCHA Mkuu wa timu ya Ruvu Shooting, Salum Mayanga, amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kuvaana na Tanzania Prisons ya...

READ MORE

TFF: Amunike anatudai lakini…

SHIRIKISHO la Soka Tanzania ‘TFF’ limetoa ufafanuzi wa madai ya aliyekuwa kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Emmanuel Amunike...

READ MORE

Samatta: Van Dijk ataijua tu Tanzania

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amemchimba mkwara beki wa Liverpool, Virgil Van Dijk na beki wa Napoli, Kalidou...

READ MORE