×

Michezo

Shabiki wa Real Madrid, Kula Eid na Mamilioni ya M-Bet

 KAMA ni zali,  basi limemwangukia shabiki wa Real Madrid, Gadi Majweka,  mkazi wa Morogoro ambaye atakula Sikukuu ya Eid bila...

READ MORE

Mrithi wa Makambo Yanga ni Hatari, Huyu Hapa!

WAKATI mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo akisaini miaka mitatu, Horoya AC ya Guinea, Yanga imeibukia jijini hapa kusaka mrithi wake....

READ MORE

SportPesa Mambo Ya Sevilla Yalivyo

UJIO wa kikosi cha Sevilla nchini si jambo dogo hata kidogo kwa kuwa tunakubaliana kuwa ni moja ya timu bora...

READ MORE

Makambo aaga Yanga, afunguka

MSHAMBULIAJI wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa sapoti waliyompa katika kipindi cha mwaka mmoja ambacho...

READ MORE

TFF hakikisheni ligi ya msimu ujao inapata udhamini!

LIGI Kuu Bara inaelekea ukingoni, timu nyingi zimebakiza wastani wa michezo miwili kabla ya kufi kia tamati mwishoni mwa mwezi...

READ MORE

Msolla Ampa Mchongo Ajibu

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla, amesema kuwa mafanikio aliyoyapata mshambuliaji wao Mkongomani, Heritier Makambo yametokana na malengo...

READ MORE

Okwi + Bocco + Kagere = Azam

AZAM FC imefunga mabao 50 mpaka sasa katika michezo yake 36 idadi hiyo ni sawa na mabao waliyofunga washambuliaji watatu...

READ MORE

ZAHERA: MAKAMBO NI MALI YA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesisitiza kuwa straika wa timu hiyo, Heritier Makambo hajauzwa na bado ni mali ya...

READ MORE

MASANJA Alivyomuiga MWALIMU KASHASHA SIMBA VS NDANDA – VIDEO

Muigizaji wa vichekesho pamoja ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za injli Emmanule Maarufu kama Masanja Mkandamizaji jana alikuwepo katika...

READ MORE

Simba Yawapiga Ndanda Bao 2-0, Bado Pointi 2 Watangaze Ubingwa

MABINGWA watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa...

READ MORE

Msolla asaka msaidizi wa Zahera Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla yuko kwenye mchakato wa kusaka kocha msaidizi mwenye vigezo ili aweze kumsaidia Mwinyi...

READ MORE

VIDEO: STEVE NYERERE Aiponda SIMBA SC – “YANGA Ina Mashabiki MIL 50”

 Msanii wa filamu Bongo, Steve Nyerere, ambaye ni shabiki wa damu wa klabu ya Yanga, amewataka mashabiki wa klabu...

READ MORE

Mamilioni ya Makambo kusajili mastaa Yanga

  UONGOZI wa Yanga umepanga kutumia mamilioni ya fedha watakayopata katika mauzo ya mshambuliaji Mkongomani, Heritier Makambo kwa ajili ya...

READ MORE

MAN CITY YABEBA KOMBE LA FA, YAIPIGA WATFORD BAO 6-0

MANCHESTER City jana iliweka rekodi ya kutwaa mataji matatu katika msimu baada ya kuichapa Watford mabao 6-0 kwenye mechi ya...

READ MORE

VIDEO: Kocha ZAHERA Amwaga ‘MACHOZI’ Hadharani Akiizungumzia Yanga

KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa wanayanga wanapaswa kuchangia timu yao kutokana na mara ya kwanza...

READ MORE

Makambo amtoa machozi Mzee Akilimali

BAADA ya mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo kuonekana akitambulishwa na mabosi wa Klabu ya Horoya AC ya Guinea, Katibu wa...

READ MORE

SportPesa Imeleta Msisimko wa Soka Ujio wa Sevilla

MIAKA ya 1990 hadi 2000, radio na TV ndiyo vilikuwa vyanzo pekee vya kuniweka karibu zaidi na msisimko halisi wa...

READ MORE

Niyonzima, Okwi Watengewa Mamilioni Simba SC

JEURI ya fedha! Hivyo ndivyo utakavyosema kwa viongozi wa Simba ambao wenyewe wametamba kuwa hakuna mchezaji yeyote watakayemuachia aondoke Msimbazi...

READ MORE

Ndanda: Simba wajipange, Tunatafuta Pointi Mbili Tu

KUELEKEA mchezo wao na Simba, Kocha wa Ndanda, Khalid Adam amefunguka kuwa wanahitaji pointi mbili kuwa na uhakika wa kubaki...

READ MORE

Samatta achukua ubingwa Ubelgiji, apewa mbuzi

  MBWANA Samatta ndiye Mtanzania wa kwanza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Ubelgiji sasa baba yake, Mzee Ally Samatta...

READ MORE

Kipa Mkenya: Nakuja kikazi zaidi Yanga

KIPA wa timu ya Bandari ya Kenya, Farouk Shikalo ‘Waza’ amekiri kufanya maongezi na viongozi wa Yanga juu ya kujiunga...

READ MORE

A-Z Makambo alivyosaini Horoya AC

STRAIKA wa Yanga, Mkongomani, Heritier Makambo, jana alfajiri alirejea nchini akitokea Guinea alipokwenda kusaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Horoya...

READ MORE

Yanga Yapewa Masharti Kumng’oa Lyanga Coastal

WAKATI Yanga wakiwa katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Coastal Union, Ayoub Lyanga, meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo ametoa...

READ MORE

MANARA Awachambua Team KIBA – Video

TAASISI ya SamaKiba Foundation inayomilikiwa na msanii wa Bongo Fleva Ali Saleh Kiba na nahodha wa Taifa Stars ambay pia...

READ MORE

Msolla Aliamsha Dude Yanga, Ataka CV

SIKU chache tangu aanze kufanya kazi ndani ya Klabu ya Yanga, mwenyekiti mpya klabuni hapo, Dk Mshindo Msolla amewataka watendaji...

READ MORE

Kipa Simba apishana na Kakolanya Yanga SC

KIPA wa Simba anayeichezea Ndanda FC kwa mkopo, Said Mohamed ‘Nduda’ amesema yupo tayari kuitumikia Yanga msimu ujao.   Kauli...

READ MORE

Wachezaji Wote Yanga Waitwa Klabuni, Ishu ya Mshahara Yatajwa

VIONGOZI wapya wa Yanga, juzi Jumatano walikutana na wachezaji wa timu hiyo na kuzungumza nao kwa takribani saa moja na...

READ MORE

KASHASHA: Chama Hatadumu Simba, Anacheza Mpira wa Majukwaa – Video

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Alex Kashasha,  ameichambua mechi ya Ligi Kuu kati ya Simba na Mtibwa Sugar iliyochezwa jana...

READ MORE

Bosi mpya ambakiza Ajibu Yanga

KUELEKEA kipindi cha usajili, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amefunguka kuwa mshambuliaji na nahodha wa timu hiyo, Ibrahim...

READ MORE

Bil 1.5 inawashusha hawa kiulainii Yanga

UONGOZI wa Yanga umepanga kumkabidhi Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera kitita cha Shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili...

READ MORE

BREAKING NEWS: MAKAMBO ATIMKA YANGA, AJIUNGA HOROYA AC

TAARIFA zilizosambaa kwa kasi mitandaoni zinaeleza kuwa Klabu ya Horoya AC ya nchini Guinea imemsajili mshambuliaji matata wa Klabu ya ...

READ MORE

Simba waweka kikao cha Niyonzima, Kapombe

UONGOZI wa Simba umeanza rasmi mazungumzo na nyota wake ambao mikataba yao inaelekea kumalizika mwisho wa msimu huu wakianza na...

READ MORE

Simba Yaitungua Mtibwa, Yanusa Ubingwa!

BAADA ya kupata matokeo mabaya kwa michezo miwili mfurulizo, Timu ya Simba imeibuka na ushindi mnono wa bao 3 -0...

READ MORE

Msomaji: Betika limenipa Sh milioni tatu

MSOMAJI wa muda mrefu wa Gazeti la Betika, Samora Magaya mkazi wa Lindi, amefunguka kuwa, gazeti hilo limemfanya ashinde kiulaini...

READ MORE

Kakolanya Aomba Radhi Yanga SC

SIKU chache baada ya kufanikiwa kuvunja mkataba na Yanga, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya amewaomba radhi...

READ MORE

Simba Yashtukia dili la Mtibwa na Yanga

SIMBA inajua kwamba Mtibwa itakomaa leo Alhamisi ndani ya Uwanja wa Uhuru lakini Kocha Patrick Aussems amesisitiza ni ya kufa...

READ MORE

Magari ya ‘Bure’ Haya Hapa, Njoo Jumamosi Uchuke la Kwako! – Video

Kampuni ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd, inakuletea mnada mkubwa wa hadhara utakaotikisa jiji la dar es salaam,...

READ MORE

Simba, Yanga Zawekewa Kamera

BODI ya Ligi iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoa tahadhari kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Mbelgiji Avuta Bonge la Straika

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa bado hajaridhishwa na safu yake ya ushambuliaji huku akipendekeza kwa uongozi...

READ MORE

Wawa arejea, aiwahi Singida United

BEKI kisiki wa Simba Pascal Wawa anarejea Uwanjani wiki ijayo kuwavaa Singida United, mara baaada ya kukaa nje ya Uwanja...

READ MORE