×

Michezo

Niyonzima Anusurika Kupigwa Kisu India

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika kufanyiwa oparesheni mguuni mwake baada ya vipimo vya uchunguzi wa jeraha lake kutoka na...

READ MORE

Simba Yapewa Siri Za Al Masry

MARA baada ya Simba kufanikiwa kufuzu kucheza Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baadhi ya Wabongo wakawa wanamtaja...

READ MORE

BUKU TU, SHIMO LINATEMA Mil. 100, 000, 000

NDANI ya miaka kadhaa iliyopita kumekuwa kuki­ibuka kampuni nyingi zinazojihusisha na masuala ya michezo ya kubashiri, miongoni mwa kampuni hizo...

READ MORE

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili kwa mara ya nne mfululizo...

READ MORE

Kisa Yanga, Majimaji Yaongeza Dozi

KUELEKEA mchezo wao wa Kombe la Shirikisho, kikosi cha Majimaji kimelazimika kufanya mazoezi yake mara mbili kwa siku ili kuweza...

READ MORE

Simba SC Yapania Kuipa Dozi Mbao FC

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amefunguka kuwa ni lazima waifunge Mbao FC ili wasikaribiwe na watani zao wa...

READ MORE

DAKIKA 450 YANGA KITAELEWEKA

BAADA ya Yanga kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Shelisheli na kufanikiwa kufuzu hatua...

READ MORE

Spoti Hausi Live: Bocco Atangazwa Kuwa Mfungaji Bora VPL

Spoti Hausi wachambuzi wako wanaazungumzia mambo mbalimbali kutokana na mbio za ubingwa Tanzania Bara, mbio za ufungaji bora wa Ligi...

READ MORE

Henry Ampa Makavu Neymar

NYOTA wa zamani wa Arsenal na Timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry amesema anaamini Neymar hawezi kukimbia kivuli cha...

READ MORE

Matokeo Ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jana

Wednesday, 21 February 2018 KCCA (Uganda) 1-0 CNaPs Sport (Madagascar) (1-2) Mbabane Swallows (Swaziland) vs Bantu (Lesotho) (4-2) Aduana (Ghana)...

READ MORE

Rais wa FIFA Infantino Atua Nchini, Amtaja Samatta

  RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amewasili nchini leo alfajiri Feb. 22, 2018 kwa ajili ya...

READ MORE

Cannavaro Apata Pigo Akiwa Sheliheli

WAKATI akipambana kuitumikia klabu yake iliyoko nchini Shelisheli kucheza mechi za kimataifa, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amepatwa na...

READ MORE

Chirwa Ashangaa Milioni 150 za Yanga

BAADA ya kuwepo kwa taarifa mbalimbali zikimhusu straika wa Yanga, Obrey Chirwa raia wa Zambia kugoma kuichezea timu hiyo, mwenyewe...

READ MORE

YANGA IMESONGA MBELE KWA JUMLA YA MABAO 2-1

DAKIKA 4 ZA NYONGEZA Dk 90 Yanga inapata kona dakika za mwisho kabisa Dk 89 shambulizi kali wanafanya St Louis,...

READ MORE

KIMENUKA! Mashabiki Wavamia Uwanja Kisa Penati – Video

MASHABIKI wa Klabu ya Mangolo hivi karibuni walikinukisha na kuvamia uwanjani wakati wa mechi yao dhidi ya Chasimba FC maeneo...

READ MORE

Niyonzima Awasili India Kutibiwa

Kiungo wa Klabu ya Simba, Haruna Niyonzima ameondoka nchini na tayari amewasili yuko nchini India tayari kuanza matibabu. Niyonzima amekaa...

READ MORE

Tambwe: Yanga Inavuka Leo, Wala Msiogope

KIKOSI cha Yanga, leo Jumatano kinashuka uwanjani kupambana na St Louis ya Shelisheli katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa...

READ MORE

MESSI AWEKA REKODI KUIFUNGA CHELSEA UEFA

NYOTA wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amevunja rekodi ya kutofunga goli lolote dhidi...

READ MORE

OKWI AMPONZA CHIRWA YANGA

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameonekana kumuumiza kichwa straika wa Yanga, Obrey Chirwa ambapo imebainika kuwa ndiye chanzo cha...

READ MORE

LIPULI WASAKA POINTI 10

BENCHI la ufundi la Klabu ya Lipuli FC ya Iringa limefunguka kuwa kwa sasa linajipanga kuhakikisha linavuna pointi 10 kwenye...

READ MORE

TANZANIA YAONGEZEWA TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA

  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limeamua kuongeza tiketi za kwenda kushuhudia michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini...

READ MORE

FT: Gendarmerie 0 – 1 Simba

Klabu ya Simba wakiwa ugenini nchini Djibouti wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gendarmerie, bao la Simba likiwekwa...

READ MORE

WASHINDI WA SPOTI HAUSI ALHAMISI YA FEB. 8 WAANIKWA – VIDEO

GLOBAL TV ONLINE kupitia kipindi chake cha Michezo cha Spoti Hausi kinachoruka kila Alhamisi, saa 10:00 imewatangaza washindi wa shindano...

READ MORE

KOCHA YANGA: TUTASHINDA BILA CHIRWA

KIKOSI cha Yanga, kimeondoka jana asub­uhi kwenda Shelisheli kwa ajili ya mechi yake ya marudiano ya Ligi ya Mab­ingwa Afrika...

READ MORE

Kibadeni Amaliza Vita ya Ubingwa Simba, Yanga

KOCHA na mche­zaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni ‘King Kibadeni’, amefunguka kuwa kama Simba itaendelea na moto ilionao, basi...

READ MORE

Mfaransa Abadili Mbinu za Ubingwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, anataka kubadili mbinu za kuhakikisha anachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu...

READ MORE

Yanga Yatumia saa 72 Kupangua Hujuma

YANGA ni kama imefanikiwa kwa asilimia kubwa kukwepa hujuma za wapinzani wao, St Louis ya Shelisheli, baada ya kutuma viongozi...

READ MORE

Yanga Yampa Hofu Mkude

BAADA ya kutoa sare dhidi ya Mwadui FC, kiungo wa Simba, Jonas Mkude, ameingiwa na hofu ya kushushwa kileleni na...

READ MORE

Yanga Yamuandaa Tambwe Spesho Kwa Simba

YANGA imeweka wazi kwamba haitamtumia, Amissi Tambwe mpaka watakapojiridhisha kuwa hana pancha kabisa ingawa Spoti Xtra linajua kuwa wanamuweka fiti...

READ MORE

WACHEZAJI 20 WA YANGA KUIVAA ST. LOUIS JUMATANO

KIKOSI cha Yanga Sc kinatarajia kusafiri kesho asubuhi kueleka Shelisheli tayari wa mchezo wa marejeano na wenyeji St Louis Fc...

READ MORE

Ngoma, Yondani Waongeza Nguvu Yanga

WAKATI Donald Ngoma na Kelvin Yondani wakirejea katika kikosi cha Yanga, timu hiyo kesho inaondoka kwenda Shelisheli tayari kwa kurudiana...

READ MORE

Tambwe: Okwi Hamuwezi Chirwa

STRAIKA wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amewachambua Obrey Chirwa wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba halafu akasema Okwi hamuwezi...

READ MORE

Hali ya Bocco Baada ya Kuumia Jana Kwenye Mechi na Mwadui

  KLABU ya soka ya Simba SC kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya mshambuliaji wake...

READ MORE

NGOMA, YANGA WAFANYA KIKAO KIZITO

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, jana Alhamisi ulitarajiwa kukutana na kufanya kikao na mshambuliaji wa timu hiyo, Donald Ngoma kwa...

READ MORE

FT: KUTOKA KAMBARAGE SHINYANGA, MWADUI FC 2-2 SIMBA

  MPIRA UMEKWISHAAAAAAA   -KADI: Sangija analambwa kadi ya njano kwa kuzuia mpira haujapigwa. -Krosi ya Kichuya, mpira unaokowa na...

READ MORE

SpotiHausi Live: Chuji Afunguka Alivyoipandisha Coastal VPL

-Kupitia SpotiHausi  leo Alhamisi, kiungo wa zamani wa Yanga, Athuman Idd ‘Chuji’ ambaye kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Coastal...

READ MORE

DULLAH MBABE AMTWANGA MMALAWI

Bondia Dullah Mbabe wa nchini jana alimtwanga kwa TKO raundi ya tatu, bondia  wa Malawi, Felix Mwamaso,  katika pambano lililokuwa...

READ MORE

Liverpool Yapiga Mtu 5, Sergio Mane Acha Kabisa

Timu ya Liverpool ya Uingereza imeishushia kipigo cha mbwa mwizi timu ya Porto baada ya kuinyuka bao 5-0 mchezo wa...

READ MORE

Madrid Yaitwanga PSG ya Neymar, Ronaldo Aweka Rekodi

KLABU ya soka ya Real Madrid imeishushia kipigo cha bao 3-1 timu ya Paris Saint German – PSG anayoichezea Mbrazili,...

READ MORE

Yanga Yaitwanga Majimaji 4G

KLABU ya Yanga imeinyuka kipigo kikali cha bao 4-1 timu ya Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa...

READ MORE