×

Michezo

Spoti Hausi: Madee Atoa Mkwanja kwa Arsenal Imsajili Aubameyang

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Leo mgeni wetu ni Rapa Hamad...

READ MORE

Rage: Simba Sc Hawawezi Kutwaa Ubingwa

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameibuka na kusema kuwa, ndani ya klabu hiyo kuna tatizo...

READ MORE

Chirwa Aiondoa Yanga Mapinduzi Cup, URA Yatinga Fainali

Ikiwa ndiyo siku ya kwanza anaichezea Yanga katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, mshambuliaji Obrey Chirwa amekosa penalti ya mwisho...

READ MORE

Safari ya Coutinho Barcelona

KIUNGO mpya wa Barcelona, Phillippe Coutinho, juzi alitam­bulishwa kwenye Dimba la Camp Nou, kama mchezaji mpya wa timu hiyo akitokea...

READ MORE

Mrundi Ampiga Biti Kwasi

  BENCHI la ufundi la Simba chini ya kaimu kocha wake mkuu, Masoud Djuma, raia wa Burundi, limempa tahadhari beki...

READ MORE

Rage: Simba SC Hawawezi Kutwaa Ubingwa

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameibuka na kusema kuwa, ndani ya klabu hiyo kuna tatizo...

READ MORE

Mrundi: Kwasi Hana Namba Simba SC

BENCHI la ufundi la Simba chini ya kaimu kocha wake mkuu, Masoud Djuma raia wa Burundi limempa tahadhari beki mpya...

READ MORE

Mcameroon Awapa Yanga Mbinu Za Kuiua URA

KIKOSI cha Yanga, leo kitapambana na URA ya Uganda katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi inayoendelea kutimua...

READ MORE

HUYU NDIYE DIDA, ALIOKOA PENALTI 3 FAINALI

NÉLSON de Jesus Silva ndiyo jina lake halisi, lakini watu wa mpira walimfahamu zaidi kwa jina la Dida. Enzi zake...

READ MORE

Zidane: Siogopi Kutimuliwa Madrid

Kocha wa Real Madrid Mfaransa Zinedine Zidane amesema hana presha na kazi yake kwani anajua hawezi kuwa kocha wa timu...

READ MORE

Baada ya Kipigo cha URA, Simba Warejea Dar Vichwa Chini

BAADA ya jana jioni Klabu ya Simba kuondoshwa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuchezea kichapo cha bao 1-0 kutoka...

READ MORE

Kisa Kipigo cha URA, Omog Aivuruga Simba

Kung’olewa kwa Simba katika michuano ya Kombe la Mapunduzi baada ya kuchapwa bao 1-0, kumezua mjadala mpya kuhusiana na Kocha...

READ MORE

Simba ‘Yang’olewa Meno’ na URA, Yaondolewa Mapinduzi CUP

Rasmi Simba wameng’olewa katika michuano ya Mapinduzi kwa kuchapwa bao 1-0 na URA ya  Uganda. Kipigo hicho leo kwenye Uwanja...

READ MORE

Tambwe Hali Tete, Aenguliwa Kikosini

Wakati klabu ya Yanga leo ikitarajia kuingia dimbani kucheza na Singida United kwenye michuano ya Mapinduzi, imemrejesha Dar es salaam...

READ MORE

Niyonzima Arejesha Matumaini Simba

WAKATI wenzake wakiwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi huko visiwani Zanzibar, kiungo mchezeshaji wa Simba, Mnyar­wanda, Haruna Niyonzima yeye...

READ MORE

IFM Mabingwa Wa Soka la Ufukweni Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu

Chuo cha IFM kimetwaa ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar es Salaam baada ya...

READ MORE

Timu Tatu Zamuibukia Ronaldo Madrid

STAA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo inasemekena amepokea ofa kutoka klabu tatu za Ulaya. Real Madrid ilipokea ofa tatu, wiki...

READ MORE

Okwi na Niyonzima Kumbe Lao Moja

EMMANUEL Okwi amewaambia mashabiki wa Simba kwamba licha ya yeye kutokuwa sehemu ya kikosi kwa sasa katika michuano ya Mapinduzi...

READ MORE

Deal Done: Coutinho Asepa Liverpool, Atua Barcelona

KIUNGO mahili wa Timu ya Taifa ya Brazili, Philippe Coutinho ameihama klabu yake ya Liverpool na kusaini kwa miamba wa...

READ MORE

Madaktari wa Kairuki Wagongwa 10-3

    TIMU ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, imejikuta katika wakati mgumu baada ya kupokea kichapo kikali...

READ MORE

Sokabet, Championi Kuendelea Kunogesha Tena Leo Beach Soccer

MICHUANO ya Soccer Beach inayodhaminiwa na gazeti namba moja la michezo Tanzania la Championi na Kampuni ya Kubashiri Michezo ya...

READ MORE

Kwasi: Nitawafunga Mpaka Mkome

WAKATI Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma, akiamini Asante Kwasi atawasaidia kutwaa mataji msimu huu, beki huyo amepania kufanya mambo...

READ MORE

Mohamed Salah Atwaa Tuzo y Mchezaji Bora wa Afrika

Mohamed Salah amempiku mchezaji mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane na mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kutwaa Tuzo ya Mchezaji...

READ MORE

Droo ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Saports

Ile droo ya 32 Bora za mashindano ya Azam Sports Federation Cup imefanyika leo Ijumaa, Januari 5, 2017 ambapo makundi...

READ MORE

Yanga SC Yavunja Rekodi Mapinduzi, Yanusa Nusu Fainali

MLINZI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy jana Alhamisi alikuwa shujaa wa timu yake baada ya kufunga bao pekee katika...

READ MORE

Ninja Wa Yanga SC: Nimewafunga Midomo

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefunguka kuwa amewafunga midomo wale wote waliokuwa wanabeza uwezo wake huku wengine...

READ MORE

Global TV Online: Fuatilia Spoti Hausi leo saa 10:00 Kuhusu Kombe la Mapinduzi

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi...

READ MORE

Tetesi Ulaya: Mourinho Huenda Akajiuzulu Man U

KLABU ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, wana hofu kuwa Kocha wo mkuu, Jose Mourinho anaweza kujiuzulu mwishoni...

READ MORE

Msuva Atua Bongo Kupumzika, Apokelewa Kwa Mahojiano (Video)

MSHAMBULIAJI  wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, leo...

READ MORE

Mane, Salah Wakodiwa Ndege Kwenda Ghana

KLABU ya Liverpool imewakodia ndege mastaa wake wawili, Sadio Mane na Mohamed Salah ambao wanakwenda kushiriki utoaji wa Tuzo za...

READ MORE

Beki: Yanga Nipeni Fedha Zangu Au Nisepe

BEKI wa kushoto wa Yanga, Haji Mwinyi ameibuka na kusema kuwa mipango yake kutaka kuondoa kwenye timu hiyo ipo palepale...

READ MORE

Jazz Yatibua Bethidei Ya Lebron James

UTAH Jazz iliumaliza mwaka 2017 kwa ushindi wa mbinde dhidi ya Cleveland Cavaliers katika siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa mkali,...

READ MORE

RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM

      SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani...

READ MORE

Kauli ya Babu Seya Baada ya Kumuona Rais Magufuli – Ikulu

MWANAMUZIKI nguli wa Dansi Nguza Vicking “Babu Seya” amesema ana furaha kubwa kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

FIFA Yaipa Shavu Tanzania

Tanzania imeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufanyia mkutano wake mkuu wa kila mwaka ambao utashirikisha Mataifa 19...

READ MORE

Man United Yashinda 2-0 Dhidi ya Everton Martial, Jesse Lingard Watupia

MANCHESTER United wameshinda bao 2-0 dhidi ya Everton na kushika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza....

READ MORE

Baba Atoa Mwaka Mmoja Msuva Kwenda Ulaya

BABA mzazi wa mwanasoka wa kulipwa, Simon Msuva anayekipiga katika Klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi ya nchini Morocco, mzee Happygod...

READ MORE

Kwasi: Hakuna Kama Tshishimbi Yanga SC

BEKI mpya wa Simba, Asante Kwasi, raia wa Ghana, ameibuka na kusema kuwa, katika wachezaji wa Yanga, Papy Tshishimbi ni...

READ MORE

Mechi ya VPL Yaahirishwa Mbeya Kutokana na Mvua Kubwa

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mbeya City na Kagera Sugar uliokuwa umeahirishwa na kupangwa kufanyika katika Uwanja...

READ MORE

Omog: Sasa Nitapumzika Kwa Amani

BAADA ya Joseph Omog kufungashiwa virago ndani ya Simba na kuondoka haraka nchini kwenda kwao, mwenyewe amesema kwa sasa atapata...

READ MORE