×

Michezo

Haji Mwinyi Apewa Mkataba Kenya

IMEBAINIKA kwamba uongozi wa timu ya AFC Leopards ya Kenya umemalizana na beki wa kushoto wa Yanga, Mwinyi Haji na...

READ MORE

Mbao Yavuruga Sherehe Za Yanga SC Mwaka Mpya

KILICHOTOKEA jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ilikuwa ni noma sana. Yanga walichezewa mpira kama vile siyo mabingwa watetezi na...

READ MORE

FT: MBAO FC 2-0 YANGA UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA

FULL TIME Dk ya 94: Mwamuzi anamaliza mchezo, Mbao wanaendeleza rekodi ya kuifunga Yanga mfululizo, wanaibuka na ushindi wa mabao...

READ MORE

Sasa Ndiyo Mtaielewa Yanga

IKIWAKOSA nyota wake watano muhimu kwenye kikosi cha kwanza, Yanga itajitupa uwanjani leo Jumapili kuikabili Mbao FC katika mechi ya...

READ MORE

Omog Kasepa na Mabegi Saba

WAKATI Simba wakiota ndoto ya mwisho pale Mtwara usiku wa kuamkia leo Ijumaa, huku Dar es Salaam bosi wao aliyepigwa...

READ MORE

LIVE Kutoka Nangwanda Sijaona: Ndanda FC 0-2 Simba SC (KIPINDI CHA PILI)

MPIRA UMEKWISHAAAAA -Wanachofanya Simba sasa ni kuziba nafasi wanapokuwa hawana mpira lakini wanapoupata wanauchezea kuhakikisha wanabaki nao ili kuizuia Ndanda...

READ MORE

Tuache Kulalamika Kupita Kiasi, Mwaka 2018 Uwe Wa Vitendo

LEO ni Jumamosi ya mwisho kwa mwaka 2017 na hii ni makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu. Cha kujiuliza...

READ MORE

Chirwa, Kwasi Uso Kwa Uso Zenji

KWA sasa wote wawili hawapo katika vikosi vya timu zao, lakini Januari mwakani straika Obrey Chirwa wa Yanga na beki...

READ MORE

Yanga Yaizidi Ujanja Mbao Mwanza

YANGA imeizidi ujanja Mbao FC kwani licha ya kutanguliza watu wake wa kuweka mambo sawa, viongozi wa timu hiyo Tawi...

READ MORE

Tuko Tayari Kwa Ushindi Dhidi ya Mbao – Dismas Ten

LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya 12 inatarajiwa kuendelea siku ya Jumapili ambapo miongoni mwa michezo itakayochezwa siku hiyo ni...

READ MORE

Yanga Wataka Mtaro Unaoharibu Uwanja wa Kaunda Ukarabatiwe

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo.   UONGOZI wa Klabu ya Yanga ya...

READ MORE

Yanga Yawasili Mwanza Kuikabili Mbao FC

Kikosi cha Yanga kimetua salama Mjini Mwanza tayari kwa pambano lake la Jumapili dhidi ya wenyeji Mbao FC, pambano la...

READ MORE

Van Dijk Asaini Liver Kwa Rekodi Ya Dunia

  HATIMAYE Liver­pool wamekamili­sha mchakato wa kumsajili Virgil van Dijk kutoka Southampton kwa ada ambayo imeweka re­kodi.   Ada ya...

READ MORE

Hazard: Messi Ndiye Mchezaji Bora Wa Dunia

STAA wa Chel­sea, Eden Hazard amesema kuwa kwake yeye Lionel Messi wa Barcelona ndiye mchezaji bora wa dunia. Kauli hiyo...

READ MORE

Wenger: Mourinho Pambana Na Hali Yako

KOCHA wa Arsenal, Ar­sene Wenger amesema Jose Mourinho wa Man­chester United anatakiwa kupambana na hali yake na kuacha kulialia kuhusu...

READ MORE

Madaktari Wagundua Tatizo la Mbaraka Yusuf

Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuf amegundulika kuwa hana tatizo kubwa sana kama ilivyoelezwa hapo awali. Madaktari wa Afrika Kusini,...

READ MORE

Yanga Kuivaa Mbao FC Bila Ibrahim Ajibu

Pamoja na wachezaji kadhaa majeruhi ambao itawakosa katika mechi yao dhidi ya Mbao FC, Jumapili, Yanga itamkosa Ibrahim Ajibu. Yanga...

READ MORE

SPOTI HAUSI LIVE: Beach Soccer ni ya Kina Boban, Kaseja

Tazama Kipindi cha Spoti Hausi kupitia Global Tv Online, ambayo imefanya mahojiano na  Mratibu wa Beach Soccer kutoka TFF, Aaron...

READ MORE

MASOUD DJUMA: OMONG KANIACHIA MTIHANI MKUBWA

KOCHA aliyeachiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa Simba Mcameroon, Joseph Omog, Mrundi Masoud Djuma, amesema kuwa anasikitishwa na kitendo cha...

READ MORE

Simba Mmetia Aibu, Jipangeni Kimataifa

NI matumaini yangu mpenzi msomaji umesherehekea vyema Sikukuu ya Krismasi kwa amani na utulivu, kikubwa ni uzima na afya njema...

READ MORE

Hata Dk Shein Kaona Jipu la Zanzibar, ZFA Tupeni Majibu

SIKU kadhaa zilizopita Watanzania upande wa Visiwani walikuwa bize wakifurahia mafanikio ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes ambayo...

READ MORE

TFF Yapiga Marufuku Ndondo za Wabunge

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amefuta mashindano yoyote ya soka yaliyo nje ya mfumo wa shirikisho...

READ MORE

Buswita Aanza Mikwara Yanga

BAADA ya kufunga bao lake la pili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo amewaambia mashabiki wa timu hiyo:...

READ MORE

Simba Yawatupa Jukwaani Okwi, Niyonzima

KOCHA wa Simba, Masoud Djuma amesema kuwa kutokana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi raia wa Uganda kutokuwa sawa, amelazimika kumpatia...

READ MORE

Simba SC Yaifuata Ndanda Kibabe

KIKOSI cha Simba, kesho Alhamisi kinatarajiwa kwenda mkoani Mtwara kibabe huku kikiwa na lengo moja tu la kurudi Dar na...

READ MORE

Tambwe: Nawapa ubingwa Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe aliyekuwa majeruhi kwa kipindi kirefu ameibuka na kufunguka kuwa amerejea kwenye makali yake.   Tambwe...

READ MORE

ARSENAL KUMPIGA BEI SANCHEZ JANUARI KWA PAUNDI 35M

Klabu ya Arsenal inazidi kukosa uvumilivu juu ya Alexis Sanchez na inaelezwa kuwa wapo tayari kupokea ofa yoyote isiyopungua paundi...

READ MORE

Kauli ya Mwanjali Baada ya Kutemwa Simba

PAMOJA na kuachwa katika kikosi cha Simba hivi karibuni, aliyekuwa beki wa timu hiyo, Mzimbabwe, Method Mwanjali, ameisifia klabu hiyo...

READ MORE

OMOG AGOMA KUONDOKA

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon, Joseph Omog, amegoma kuondoka jijini Dar es Salaam akisubiria malipo yake kutoka kwa mabosi...

READ MORE

Omog: Nilikuwa Nina Presha Simba SC

ALIYEKUWA kocha mkuu wa timu ya Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon amefunguka kuwa kabla ya mabosi wa timu hiyo...

READ MORE

Malawi Yaichapa Tanzania Soka la Ufukweni

Timu ya Tanzania Bara kwa mchezo wa Beach Soka imefungwa mabao 7-6 na Malawi katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye...

READ MORE

Mrithi wa Omog ana Kazi ya Kupindua Rekodi Hizi

  LICHA ya kocha Joseph Omog raia wa Cameroon kutimuliwa ndani ya kikosi hicho, lakini takwimu zinaonyesha kuwa ipo kazi...

READ MORE

Spoti Xtra Lazidi Kushika Kasi Kitaa

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra ambalo ni gazeti dada la Championi, jana Jumapili lilizidi kucha­nja mbuga mitaani na...

READ MORE

Inogeshe Krismasi Yako kwa Kushinda Mamilioni ya Sokabet

Wakati mamilioni ya Watanzania wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na kuisubiri ile ya Mwaka Mpya, wewe unayo nafasi ya kuvuna...

READ MORE

Serena Williams Return After Giving Birth

Serena Williams will return to tennis in Abu Dhabi next week, almost four months after giving birth. The American, 36,...

READ MORE

Yanga Yakata Njia Ya Simba, Yaipiga Reha Bao 2-0

TIMU ya Yanga Dar African imeweza kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi Reha FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili...

READ MORE

Matokeo Ya Simba Yawatisha Yanga

BAADA ya juzi Ijumaa Simba kutupwa nje ya Kombe la Shirikisho (FA) na Green Warriors, watani wao Yanga wamefunguka kuwa...

READ MORE

Akili Za Kiuswahili Zimeiingiza Simba Kwenye Matatizo

SIMBA imeingia kwenye matatizo. Tena matatizo kwelikweli. Akili walizoingia nazo kwenye mechi ya Kombe la FA dhidi ya Green Warriors...

READ MORE

El Clasico: Messi Mbabe, Barcelona Yaitwanga 3 -0 Real Madrid Nyumbani

KLABU ya Barcelona imeipa kichapo cha bao 3-0 mahasimu wao Real Madrid katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka nchini...

READ MORE

EL Clasico: Messi vs Ronaldo Leo ni Vita ya Awababe

LEO ni vita ya kufunga mwaka kwenye Ligi Kuu Soka ya Hispania maarufu kama La Liga, nyota wawili kutoka timu...

READ MORE